DAKIKA 20 ZA MOTO BUNGENI SAKATA LA SUKARI | SPIKA AMBANA WAZIRI BASHE, MWIJAGE AZUNGUMZIA YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии •

  • @AmmanyaMzazi
    @AmmanyaMzazi 6 месяцев назад +31

    Mpina forever....yule Mwamba Alikuwa SAHIHI Sana.
    Unafiki huwa Haudumu MLIMWONEA SANAA MPINA

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 месяцев назад +18

    Hapo ni suala la kujichafua na kujikosha kujikuna na kujichekesha pongezi kwa mpina watanzania wote nyuma yako umetupenda tunakupenda mpina mungu akulinde

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +32

    Mpina ndiye amebakia mbunge wa wanainchi pekee. Hongera sana Mpina na aibu kwako Bashe na wabunge mlio mfukuza mbunge anayetetea mbunge wetu. Mungu ndiye hakimu wa wanainchi wa Tanganyika.

    • @JohnGoryo
      @JohnGoryo 6 месяцев назад +1

      Hakuna ukijuacho ww tulia

    • @charlesjohnjohn7953
      @charlesjohnjohn7953 6 месяцев назад

      Hacha uongo Bashe sukari kwasasa hivi inauzwa tshs 3000-3200 kwa kilo.

  • @BoayHotay
    @BoayHotay 6 месяцев назад +75

    Mungu mbariki Luhanga JoelSon Mpina wamekuonea bure Leo wanaanza kushikana masharti wale waliokupinga

  • @ellymartin9343
    @ellymartin9343 6 месяцев назад +28

    Mleta hoja angesubiriwa arudi ndipo muendelee na hizo hoja, hongera Mpina.

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 6 месяцев назад +40

    Hongera Mh Mpina ULIPIGA KWENYE MSHONO. (WANAHANGAIKA KUJIOSHA KWA WANANCHI)

  • @samwelsimon6842
    @samwelsimon6842 6 месяцев назад +13

    Hivi Mh Bashe ana ugomvi gani na Kagera sugar limited, anaulizwa sukari ya Tanzania Bei gani, anasema kagera sugar wanataka wauze rejareja 4000, kitu ambacho sio sahihi.
    Suala la sukari linatakiwa liwekewe mkazo wa kina, watu wenye masirahi Yao wasihusike katika mfumo huu wa sukari.
    Kipekee viwanda vya Tanzania vinafanya kazi kubwa sana, nashauri watu watembelee viwanda kujionea uhalisia

    • @khadijauledi3293
      @khadijauledi3293 6 месяцев назад

      YAAN EEEH KAGERA KAGERA IMEMKAA MDOMONI

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 6 месяцев назад

      Kagera wapigaji tu hata kipindi cha Magu walizingua sana wanamatatizo sana maji wanayo ya kutosha ila uzalishaji wao ni kinoko sana

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 6 месяцев назад +37

    Mpina ❤🎉 MwenyeEnziMunguMlezi Yuko Pamoja Na watenda Haki

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 6 месяцев назад +44

    Kumbe mheshimiwa Mpina Yuko sahihi.kwahiyo alipwe posho zake zote kwa Siku hatahuzuria bungeni

    • @aidanexson1634
      @aidanexson1634 6 месяцев назад +1

      Mpina alikosoa ila hakutoa maoni Nan apewe tender ya sukari nchini

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 6 месяцев назад +47

    Kumbe mh. Mpina alikuwa sahihi. Mhusika amejulikana Si awajibishwe? Mpina hoyeeeeeeerrr

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 6 месяцев назад +2

      Mpina alisema hata kama katolewa suala la sukari litaendelea

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 6 месяцев назад +3

      MPINA HAYUPO BUNGENI WAZO LAKE LIMESIMAMA BUNGENI.TENA LINA MASHAMBULIZI YALEYALE ALOONGEA MPINA.BIG UP MPINA.

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot 6 месяцев назад

      Serkal ingeshindwa kujib majib ya mpina,,that's why walimtoa

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 6 месяцев назад +19

    AlHaamduliLLAHI.
    Haki ipatikane dhidi ya viwanda vyetu nchini na vilevile Kwaajili ya wananchi. Spika Dr Tulia hongera sana kusimamia haki.

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 6 месяцев назад +1

      Japokuwa spika akiona kama mpina amekurupuka,kumbe alikuwa sahihi

    • @jumaally4263
      @jumaally4263 6 месяцев назад +1

      Tatizo ukiwa mkweli unatengenezewa zengwe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +19

    Bashe analeta risti ya wakati wa viwanda havizalishi.lakini bei viwanda wanapokuwa wazalisha tunanunu hapa nilipo 2,500, 2,800 na 3,000/= sasa hiyo 4,000/= yeye Waziri ana marafiki wake wafanya biashara walete sukari ndiyo shida yake na wanampa cha juu. Bashe acha kutudanganya sisi wanainchi danganya hao wabunge wako wa CCM kwa sababu mko kwa ajili ya CCM siyo wanainchi wa Tanganyika. Wewe endelea tukipata KATIBA tutawashitaki. Wakina Bashe. Sasa hivi huwezi kuwaburuza vijana wa Tanganyika tena.tumewachoka na ukaji wenu.

    • @MalandoJilala
      @MalandoJilala 5 месяцев назад

      Bunge lenye umaskin wa akili

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 6 месяцев назад +53

    VIVA KOMREDI MPINA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI....NA WATANZANIA WOTE TUNAKUOMBEA DUA NA MAOMBI UBARIKIWE MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU!

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 6 месяцев назад +1

      Kila anayeipinga serikali kwako ni mzalendo,akili mavi kweli

    • @RobertGwelela-zq2fr
      @RobertGwelela-zq2fr 6 месяцев назад

      Acha hiyo tabia mbaya ya kutokana watu,kama huna hoja ni bora ukae kimya.Alichokosea Mpina kutoa taarifa kabla Spika kuutolea maelezo ushahidi aliomkabidhi,Si kama anaipinga Serikali.Na kama ni mfuatiliaji mzuri mara nyingi serikali ikikosorewa aliyeikosoa anaweza kuitwa mpingaji au mchochezi japo sio wote ila wengi wao huitwa hivyo.​@@walidmgonja3644

    • @IbrahimMuro-q4z
      @IbrahimMuro-q4z 6 месяцев назад +1

      Hamtutei kbs

    • @amanipaulo9695
      @amanipaulo9695 6 месяцев назад

      Serikali haipingwi inakoselewa na kuikosoa serikali nikuitakia mema kuliko anayesifia wakati wote @walidmgonja3644

    • @Hasnspop
      @Hasnspop 6 месяцев назад +4

      ​@@walidmgonja3644Wewe ndio Mavi sasa😂😂😂😂

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 6 месяцев назад +9

    Jibu rahisi ni Sisi Bei Iko juu, naona mnayumba maelezo mengi mno. Mpina Mungu akupe nguvu.

  • @-vw9yz
    @-vw9yz 6 месяцев назад +10

    Spika kwa ufanunuzi wako upo sahihi, Mh Bashe jitahidi kumuelewa Mh Spika, na kuuchukua ushauri wake katika kutunga sheria bora ya uhifadhi wa Sukari.

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 6 месяцев назад +13

    Mbona mmerudi kwa mpina, mrudisheni msema ukweli huyo, spika ubarikiwee

  • @ProphetM-c9o
    @ProphetM-c9o 6 месяцев назад +6

    MPINA apewe maua yake. Hakika Mungu hamtupi mja wake. Lakini pia Mungu hamfichi mnafiki fungu lake.
    Kwa maelezo hayo tu, hata mtoto mdogo ameshajua kuwa Mpina alikuwa sahihi, lakini tu kwa sababu viongozi wa sasa wanalea MAFISADI na kuwakandamiza wanaowafichua MAFISADI, ndo maana MPINA alifanyiwa vile alivyofanyiwa na hoja yake ikafutiliwa mbali.
    Mungu mkubwa. Ipo siku tutapata Kiongozi Mzalendo asiyelea MAFISADI.

  • @pamaco_wa_viwanda
    @pamaco_wa_viwanda 6 месяцев назад +4

    Bashe ni mwizi

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 6 месяцев назад +11

    Bunge la tZ,milele haliwezi kupanga bei ya sukari.
    Sukari ya tZ,inapaswa kuwa pia inauzwa nje,sii siku zote gap gsp,gap,mara cjui vuwanda kukomaa!-ufusadi ndio unakomaa

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 6 месяцев назад +23

    Mpina oyeeeeee

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 6 месяцев назад +13

    Iliyo hifadhiwa itauzwa kabla muda wake haujaisha, na badala yake watahifadhi sukari mpya kutoka viwandani ndani ya nchi. Watabadilishana viwanda na hifadhi. In'Shaa-Allah.❤🇹🇿🕊️ 😂

  • @Dominaevance
    @Dominaevance 6 месяцев назад +3

    Unamtoa Bungeni Mpina unabaki na Lusinde na Msukuma afu unajadiri Mambo ya Kitaifa, Mpira kwapani Mpina he is very Smart Kwa alichokisema Mpina hakuna sehem ya Bashe kuponea

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 6 месяцев назад

    Hongera Sana mh, Speaker pokea maua🎉🎉yako,
    Lkn km unavyosema HAKI isimamiwe kwa wote naomba Sana Mmbunge Mpina apate haki yake maana mfumo wa uagizaji Sukari unaonekana kuwa na utata.

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 6 месяцев назад +27

    Mpina OYEEEEE

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 6 месяцев назад +6

    Shida siyo viwanda vyetu! Ni nyie Serikali wakija wawekezaji m awapiga mkwara mnataka kuweka Bei zenu mpate shilingi za kampeni na magari. MPINA Mungu akuinue.

  • @oscarkallinga8343
    @oscarkallinga8343 6 месяцев назад +7

    Kama hali yenyewe ndiyo hii,Mpina wamemtoa wanini Bungeni? Kweli sikuzote ukweli husimama pekeyake aisee.Mungu Msimamie Luhaga Mpina.

  • @staffordsilwimba7989
    @staffordsilwimba7989 6 месяцев назад +3

    Safi sana wa mbozi umeongea ukweli mm nimetimiza miaka 32 nimetumia ni sukari ya Zambia na Malawi mpaka nahisigi hatu a viwanda Tanzania Tanzania

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 6 месяцев назад +13

    MPINA anafit presidential post.

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so 6 месяцев назад +7

    Speaker a bright lady

  • @edgarmwambapa2789
    @edgarmwambapa2789 6 месяцев назад +9

    Stukagaaa dada yangu usije ingizwa mkenge
    Na kwakweli umestuka mbeya moja uyo msomalai achana nae dada nakupenda

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 6 месяцев назад +10

    Spika wetu ni wadunia tulia katuliakweli msomi wa sheria na msomi kweli ubarikiwe mh

  • @SelemanMhana-ol7tk
    @SelemanMhana-ol7tk 6 месяцев назад +2

    Dr.Mpina ilikuwa apasuwe jipu mkaona atawapasuwa wengi patanuka mkamsafirisha kwanza maana yake akirudi yale majipu yatakua yamekaukiana mwilini. Dr.Mpina anajielewa sana

  • @alexkatama4341
    @alexkatama4341 6 месяцев назад +1

    Spika akiamua kuwabana wajanja anaweza..ila sijui kwanini wakati fulani anaacha...Hongera sana mpina..time will tell..facts kama hizi wabunge wetu hawana uwezo wa ku analyse???

  • @martinnkuba6683
    @martinnkuba6683 6 месяцев назад +11

    Kumbe mpina alikua sahihi angekuwepo hapo pasingetosha

  • @georgegilbertkaizilege5347
    @georgegilbertkaizilege5347 6 месяцев назад +21

    Spika leo ulikuwa vzr Tanzania tunauana Uganda bei iko chini lakini huku kwetu Kagera ukipatikana na sukari ya Uganda

  • @Chagosi_Gerald
    @Chagosi_Gerald 6 месяцев назад +7

    Mwijage anaelimu ya darasani tu😂😂😂

  • @Adonkamotci
    @Adonkamotci 6 месяцев назад

    Bashe Ni mwana siAsa Ayupo kupi gania Wana Nchi mdanga nyifu mfanya Bia shala 2 mpina mzalendo mwenye uTu pamoja sana mu Eshimiwa mpina 👏👏

  • @adamzablon8939
    @adamzablon8939 6 месяцев назад +5

    Kwa maoni yangu,nadhani adhabu ya kumwadhibu mbunge ni kuwaadhibu wanainchi wake pia ambao hawana hatia,naomba mbadilishe adhabu zenu zimhusu yeye lkn aendelee kuchangia vikao vya bunge,
    Hatukatai adhabu lkn mnawaadhibu wanachi wa jimbo lake pia.
    Kwani mkimnyima posho zake na kukata mishahara yake kwa miezi kadhaa lkn akaendelea kuhudhuria vikao vya bunge haitoshi hiyo adhabu?
    By Apostle A.Zablon.

    • @joyceKingu
      @joyceKingu 6 месяцев назад

      Nakubaliana kabisa

  • @chiefjuma9384
    @chiefjuma9384 6 месяцев назад +2

    #Kitu_njema in shaa allah mungu abariki taifa letu❤❤

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 6 месяцев назад +10

    Sukari itunzwe bohari kama chakula kingine.

  • @dobidotz3696
    @dobidotz3696 6 месяцев назад +19

    Kama umemuelewa Speaker Tulia, gonga like hapa

    • @aidanexson1634
      @aidanexson1634 6 месяцев назад +4

      Binafsi ciwaelewi watanzania nikiripoti kutoka malawi

    • @aidanexson1634
      @aidanexson1634 6 месяцев назад +1

      Kwa sababu sukari inayoweza kuagizwa kutoka nje inatakiwa ipitie wap ndo maana Bashe alipendekeza ipitie NFRA sisi watz tupendekeze

    • @alliepeppino8883
      @alliepeppino8883 6 месяцев назад +2

      Wanafikiiiiiiii.....tuacheni

    • @WilliamJohn-gh6kv
      @WilliamJohn-gh6kv 6 месяцев назад

      tumemuelewa mpina tu hapo

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 6 месяцев назад +6

    Watanzania mmeona jinsi waziri Bashe ameshindwa kujibu maswala ya spika.Huyu ni mpiga dili hafai kuwa waziri

  • @tp-kh8hl
    @tp-kh8hl 6 месяцев назад

    Uyu speaker ni mfano wa wanawake magenious afrika mashariki na kati kusini kaskazini mwa jangwa la sahara!...maswali yake uwa ni ya logic sanaaa❤❤

  • @eliasjoseph9712
    @eliasjoseph9712 6 месяцев назад +4

    Leo umenikuna Sanaa, hawa mawaziri kanjanja wanatunga sheria zinazotoa gap kwa wafanyabiqshqra wa sukari

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 6 месяцев назад +2

    God Bless Mpina,🙏🙏, ni Mbunge makini sana, sio hawa wengi wapiga makofi.

  • @kasigababa8596
    @kasigababa8596 6 месяцев назад

    Mpina the Hero, utabaki kuwa Shujaa wetu

  • @EsterEmanueljelly
    @EsterEmanueljelly 6 месяцев назад +1

    Spika nakupenda sana wewe kichwa chako nizaidi ya wanaume Ishirini kwa kichwa chako kimoja

  • @StevenLuge
    @StevenLuge 6 месяцев назад +2

    Taaarfaaa...ulinyamazishwa kwa kuhongwa Bandari hyo....jose

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 6 месяцев назад +4

    Sababu za kumpa adhabu Mpina kila Jimbo wananchi tuwe makini awamu hii wengi tutawapunguza 2025

  • @bakarimahenge
    @bakarimahenge 6 месяцев назад +2

    amakwer mnajikosha mungu mjarie mnyonge mwenzetu mpina aliyasema kaonekana msaliti leo wanajikosha

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 6 месяцев назад +5

    Mh.mpina angekuepo pangekua patam

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 6 месяцев назад +12

    Bashe msanii sana kama hamjui

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 месяцев назад +1

    Mpina nakupa pongezi zooooteeee mzalendo shujaa tz

  • @kassimkunta1974
    @kassimkunta1974 6 месяцев назад

    Mama samia hapa unajembe dada tulia katulia sana hilijembe apewe mji wake❤❤❤

  • @HekimaKimola
    @HekimaKimola 6 месяцев назад +7

    Speaker smart sana kazi nzuri Mhe. Speaker

    • @hamisimwinzagu6624
      @hamisimwinzagu6624 6 месяцев назад

      Hakuna cha kazi mzr bhana mboni habatirishi adhabu ya mpina

    • @HekimaKimola
      @HekimaKimola 6 месяцев назад

      @@hamisimwinzagu6624 kama Mpina ameonewa mbona kanuni za Bunge ziko wazi nini anatakiwa kufanya

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 6 месяцев назад

    Be blessed 🙏 mpina, wabunge wengine wako kulinda ufisadi tu

  • @luicempupe3014
    @luicempupe3014 6 месяцев назад +4

    Honger Mpina

  • @cHin91O
    @cHin91O 6 месяцев назад +2

    very smart madam Speaker

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 6 месяцев назад +2

    TANZANIA YETU BHANA... WATU NIWAONGO WAONGO WAONGO. Duuuu!! SiJui wanataka mpaka wananchi waandamane au!! ETI WANANCHI WATENDEWE HAKI, NIAJABU sana.

  • @lovenessmohamedy6329
    @lovenessmohamedy6329 6 месяцев назад

    Mwijage alikua na point sema amekatizwa

  • @josemalley1691
    @josemalley1691 6 месяцев назад +6

    Dada Tulia leo nalala usingizi mzuri big brains huwa zinanipatiga amani .

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 6 месяцев назад +5

    safi Dana spika kwanini NFRA wasinunue sukari na kuhifadhi?

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 6 месяцев назад

    Mwanisongole uko vizuri na umesema ukweli

  • @MenelusCzar
    @MenelusCzar 6 месяцев назад +6

    Yaani hatuwazi kuzalisha 🥹

  • @JeyJeydoctar-gq1bw
    @JeyJeydoctar-gq1bw 6 месяцев назад +1

    Uko vizur sana spika I love you

  • @AbdulkarimYakub
    @AbdulkarimYakub 6 месяцев назад

    Mh,spika wasikudanganye,bei ya sukari inapanda kulinganaa na tatizo kushuka kwa ushuru wa forodha (madawa)pia matajiri wanapandisha bei kwa ajili ya mafanikio ya mapato binafsi Sheria sukari nchini kuuzwa TSH 2200 pesa tanzania bunge isiwaa ngalie majayant (wananchi kwanza)ipange bei ya tsh2000---2200wskibisha niite bungeni nakuja kutoka ufafanuzi asante

  • @IsackHizza
    @IsackHizza 4 месяца назад

    Kwakweli maisha ni magumu ila kwasababu mnakula tu kiulaini Mungu nae anawaona mtaalaaniwa wote kwa kulindana.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 месяцев назад +4

    BASHE ANA SURA YA KUTIA HURUMA. ANAJUWA ANACHOKIFANYA. SIMBA MWENDA KIMYA NDIYO MULA NYAMA

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 6 месяцев назад +5

    MH spika kama unasoma comment za watu sukari ikipotea wabunge wengine wana campuni zao tena wengine wanatudhurumu mfano shehe frani apo kanidhuru ml 50 je ni haki

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 6 месяцев назад

    Huyu spika is matured , anawainjoy tu, wanajigonga gonga tu!

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 6 месяцев назад

    Swafii spika una hekima za kushusha presha hata KWA si nje

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +6

    Bandari leo watanganyika wanahamishwa karibu Dar yote. Pole sana hakikisha mnapewa viwanja vya kwenda kujenga na pia wawape fidia nzuri. Temeke yote iliyo karibu na Bandari wote warabu wanachukuwa! Poleni sana!

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 6 месяцев назад

      Hatuwez kupata maendeleo bila kupisha mirad panapotakiwa kupishwa

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 6 месяцев назад +1

      Hatuwakubali Waarabu wachukue chochote. Sisi ndio wenye asset tujenge wenyewe kwa pesa zetu. Tulishamaliziana na waarabu mwaka 1963. Wakachukue ardhi ya Samia kama anayo.

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 6 месяцев назад

    Mrudishe mpina wetu bungeni we love him

  • @JoffreySanga
    @JoffreySanga 6 месяцев назад +4

    MPINA alipiga kwenye Mshono

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 6 месяцев назад +1

    Dr Tuali Leo ametulia na yupo makini zaidi.
    Hakika jina la mtu kweli baadhi yake huwa linasibu ❤😂😂

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 6 месяцев назад +9

    Mmemuonea mpina

  • @eddyempire9797
    @eddyempire9797 6 месяцев назад +1

    Mh Mpina ❤

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 6 месяцев назад +3

    Sukali inazwa kwa Bei ya juu zaidi hapa tanzania wananchi tunateseka sana

  • @bonifassimon7909
    @bonifassimon7909 5 месяцев назад

    Mwijage unamuhaibisha raisi wetu na kukifedheesha chama embu kuwa mkweli tafadhari sukari inahifadhika mpaka muaka miwili pili msumbiji bei ni 1900 na vurugu zote zile hapana mnatuumiza sana wananchi viva luaga mpina wewe ni mtumishi kweli

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 6 месяцев назад

    Dada yangu #Tulia ulmkosea sana kaka yako #Mpina

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 6 месяцев назад +5

    KAZI IYO NI YA MPINA

  • @JaphetBilaliye
    @JaphetBilaliye 6 месяцев назад

    Safi sana hii inatutia moyo

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 6 месяцев назад +14

    TULIA LEO UMENIFURAHISHA SANA.

    • @alliepeppino8883
      @alliepeppino8883 6 месяцев назад +2

      Kwanini atoe adhabu kabla ajajadili kesi hakuna chochote hapo

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 6 месяцев назад

    mh sipika safi sana wakupemitanotena ,bungeletu likomotomoto, kwaumakiniwako

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +1

    Waziri sukari ya mashamba yetu ni 2500 mpaka 3000. Wabunge wanashida na viwanda vya ndani wanacho taka ili waweze kula cha kwao tu. Mmegawa hata Bandari ili itakuwa mashamba

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 Nchi yangu Tanzania 🇹🇿, naipenda kwa moyo wooooteeee.... 60 yrs plus tunapanda basi la vyamaa, ukabila, udini na Ukandaa. Lini tutapanda basi la Tanzania 🇹🇿 kwanzaaa?. Kuna haja ya KATIBA MPYA HAKIKA.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 6 месяцев назад

    Mpina is not guilty. Mpina mumemuziba mudomo na kudharau ushahidi wake. Mpina ni mbunge musomi bungeni. Bashe ni muhujumu uchumi. Time will tell Bashe ni mjanja, kawaziba macho wote. Bashe sio mbunge mtanzania wa kawaida. Bsshe ana ujanja kuwashinda wabunge wetu wengi eliku yawo ni ndogi. Kuwadangsnya na kizungu cha reja reja ni lahisi sana. Hapo Bashe anatupiga

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 6 месяцев назад

    Bashe ni mjanja sana,kwani anajua Wanainchi WENGI sio waelewa ndio maana anatumia nafasi ya kuficha ukweli,ila Iko siku Mungu atamuumbua

  • @JaphetJairos-n4l
    @JaphetJairos-n4l 6 месяцев назад +13

    Sipika kuna mda una akili but umemkosea sana mpina luhaga

  • @Really-football
    @Really-football 6 месяцев назад

    Mbunge wa dunia umejishushia heshima kubwa sana, muombe radhi mpina ubaki na heshima yako.

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 6 месяцев назад +8

    Leo nimekapenda haka ka speaker kwa sababu kanajitahidi kujustify kumtoa Mpina bungeni

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 6 месяцев назад +1

      Mpina katolewa bungeni kwa kuita press na kuvunja sheria za bunge muwe mna fatilia mambo, halafu Mpina alikuwa hatak nfra walete sukar kwa kigezo viwanda vya ndani vitakufa

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 6 месяцев назад +6

    SUGAR CARTERLS. Acheni kuumiza wananchi

    • @missguga7389
      @missguga7389 6 месяцев назад

      Na walimtumia MPINA kuendeleza ucartel watanzania amkeni

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 6 месяцев назад +6

    Mpina alikuwa sahihi Mungu akutangulia

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 6 месяцев назад +3

    Hongera sana luhanga mpina walikuonea sana

  • @GreceMwalende
    @GreceMwalende 6 месяцев назад

    Mwango 5000

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 6 месяцев назад +5

    Sukari iwe inatunzwa,tZ?
    "Ikipigwa "nanyi wapiga makofi maambiwa iliyeyuka?
    Naye ataesema hivyo ni huyo huyo mwijage!

  • @mgeninyimbile5452
    @mgeninyimbile5452 6 месяцев назад +1

    Huyu alijinadi Sana mtoto wa masikini nchi ngumu Sana hii

  • @JacksonGeofrey-e3x
    @JacksonGeofrey-e3x 6 месяцев назад

    Pamoja sana spika

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 6 месяцев назад +8

    Spika Yuko sahihi,Sukari iwe inatunzwa

  • @CanuteTemu-bo9zx
    @CanuteTemu-bo9zx 6 месяцев назад

    Swanglish katika bunge la Tanzania. Waziri Ba😮na wengine
    Hatuna gepu
    Kimeshamachua
    I am kaming
    Brazil kwa Ajili ya maturity yake
    Pointi thrii ziro
    Retail prais elfu nne
    Amendment......
    Ndiyo inakuwa added....
    Geming sapplai