🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 66

  • @NeemaJohn-qu4oz
    @NeemaJohn-qu4oz 7 месяцев назад +5

    Damu ya yesu ikufunike kila unapokanyaga Kibali afya malaika wa ulinzi asikupungukie Ameen

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 7 месяцев назад +1

    Makonda mungu Akutagulie kwa kazi yako ya kuja kukopoa jiji la Arusha na wananchi wake walio teswua miaka mingi na tunakuomba utepelee hospital ya mount meru watu wanakufu kama kuku juu ya kukoza kutibiwa juu hawana pesa hospital ya serikali wakuu na wazimamizi wamefanya hospital ya serikali kua nyumba ya Biashara

  • @salomefelix2052
    @salomefelix2052 7 месяцев назад +2

    Mmmh kweli haya MAJINA YA PAULO...NI YA KITUME,,MTUME PAULO...Ana MUNGU HUYU.🎉🎉🎉

  • @JosephJasson-d6x
    @JosephJasson-d6x 7 месяцев назад

    Mungu wa mbingu na nchi akutunze mtumishi wa Mungu

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 7 месяцев назад +3

    Team Msoga gangster wakiona hivi wanaumia sana maana kazi hawawezi kazi yao roho mbaya na majungu

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 7 месяцев назад

      Na ndio waliompelekea kutolewa kwenye uenezi. Wamejisumbua tu, kwani huyu si mtu wa kawaida. Mungu amtunze Magufuli namba 2

  • @EllyJacksonAkyoo-op7jc
    @EllyJacksonAkyoo-op7jc 7 месяцев назад

    Makonda eee karibu Arusha babaaa
    Damu ya yesu ikutamie

  • @saidaamir4462
    @saidaamir4462 7 месяцев назад

    Damu azizi ya YESU,ikakutangulie popote utakapokanyaga

  • @LucasNtalima
    @LucasNtalima 7 месяцев назад +1

    Makonda Mungu azidi kukubariki na kukuinua Mungu amekupa kipaji Cha uongozi hakuna awezaye kuzima, .

  • @lizzyCoyi9307
    @lizzyCoyi9307 7 месяцев назад

    Karibu makonda arusha🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 7 месяцев назад +3

    Mheshimiwa Paulo Makonda karibu tunakuomba uanze na hili la waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha tangu mwaka 2000

  • @lulumatawalo7805
    @lulumatawalo7805 7 месяцев назад +2

    Kibali na neema ya Mungu juu ya Paul Makonda. Glory to God.

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 7 месяцев назад +1

    Huyu mtu si wa kawaida. Mungu aendelee kumtunza na kumtetea.❤❤❤🎉🎉👍👍👏👏👏👏

  • @matildayasini1777
    @matildayasini1777 7 месяцев назад

    Mnaomchukia Makonda mtalaanika na Mw/Mungu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 7 месяцев назад +2

    Makonda hakika ana nyota sana na watu.Kila la eri Mako

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 7 месяцев назад

    MHESHIMIWA PAUL MAKONDA KARIBU SANA NDANI YA MKOA HUU GENEVA OF AFRICA

  • @AnnaNelson-f8x
    @AnnaNelson-f8x 7 месяцев назад

    Mungu akulinde brother

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 7 месяцев назад +1

    Mbona mongers hatukusikia amepokerewa kama makonda acheni maneno makonda mpeni maua yake🎉

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 7 месяцев назад +2

    Makonda hatari sana sana

  • @DATUSKAMINYOGE-p4t
    @DATUSKAMINYOGE-p4t 7 месяцев назад

    Bg up Mr makonda

  • @JaphetSaimalye
    @JaphetSaimalye 7 месяцев назад

    Karibu arusha mhe.makonda na ujisikie uko nyumbani tunakupenda

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 7 месяцев назад

    Karibu Arusha 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 7 месяцев назад

    MUNGU AZIDI KUKUONEKANIA na KUKUTENDEA, MAKONDA.

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 7 месяцев назад +2

    Yani watanzania niwajinga Sana wanakaririmaisha wanaona makonda anaweza waletea maendelewo bilakatiba mpya dahh sijuitutaendelea linijamn

    • @ZenaMwakalambile
      @ZenaMwakalambile 7 месяцев назад

      Kila kitu ni hatua,makonda sahz kwaanachoonyesha katiba nayo tutaifuata.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 7 месяцев назад +2

      Watanzania sijui nani aliwaroga

    • @jacksonmsola154
      @jacksonmsola154 7 месяцев назад +2

      Unaweza ikawa na Katiba Ila usiwe na maendeleo

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 7 месяцев назад +1

      @@jacksonmsola154 hujui maana katiba nzuri

    • @WinfredCharles-ij2ib
      @WinfredCharles-ij2ib 7 месяцев назад

      Unaweza ukawa na katiba mpya isifaatwe tunaangalia upendo alio nao kwa wananchi kwani wewe inaonekana nimkandamizaji ngeumana

  • @LizzyMbegga
    @LizzyMbegga 7 месяцев назад +1

    Namkubali sana huyu jamaa ,huna baya chapa kazi

  • @ElizabethMwenda-su8tx
    @ElizabethMwenda-su8tx 7 месяцев назад

    Makonda ww ni nabii,endelea kuwakomboa watu wanyonge,umeturudishia imani ya JPM,chapa kazi

  • @SurprisedBoomBox-yq2pt
    @SurprisedBoomBox-yq2pt 7 месяцев назад

    Rais 2030

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g 7 месяцев назад

    Bola wangemwacha kwenye ukatibu tu ili Sasa nasisi wananchi wamikoa mingine tumfulahie mh rais aliyekushauli umtoe huyu mwamba dah alikudanganya aisee tumeumia sana. Jaman wanafulahia wananchi wa Arusha peke yao jaman imeniuma sana mm angebaki kuwa mwenez tu

  • @anthonymtui5719
    @anthonymtui5719 7 месяцев назад

    Sound inakatakata sana wazeee wa neeia

  • @josephsevelinibeho1223
    @josephsevelinibeho1223 7 месяцев назад

    Namuona rais ajaye apa

  • @ChikuRashid-yg3jp
    @ChikuRashid-yg3jp 7 месяцев назад

    Makonda upo juu unaupendo saana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 7 месяцев назад

    Daa gari za utalii ndo zimembeba Paul MAKONDA.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 7 месяцев назад

    Swali wakuu wa mikoa mingine nao wamepokelewa hivyo au 😮

  • @ElizabethMwenda-su8tx
    @ElizabethMwenda-su8tx 7 месяцев назад

    Makonda watanzania tunaimani chapa kazi,ututee wanyonge

  • @WinfredCharles-ij2ib
    @WinfredCharles-ij2ib 7 месяцев назад

    Wakandamizaji hawawezi kumpenda makonda

  • @marymgimwa
    @marymgimwa 7 месяцев назад +1

    🎉

  • @rahamankajubu8201
    @rahamankajubu8201 7 месяцев назад

    Makonda hafai kuongoza Mkoa cha kwanza anaushawishi mkubwa kwa vijanaa inaitaji kumpa wizara ili kukisaidia chama kwa upana, zaidi

  • @DATUSKAMINYOGE-p4t
    @DATUSKAMINYOGE-p4t 7 месяцев назад

    Wanao mchukia Paul makonda wanafeli wapi?

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 7 месяцев назад +1

    CDM kumsema makonda ni kumupa nyota Kila Konamunamuombea mabaya

  • @DominikiKristiani
    @DominikiKristiani 7 месяцев назад

    Siku ukitaka uraisi wewe sema tuko nyuma yako

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 7 месяцев назад +1

    Kiongozi anatakiwa awe anakubalika hivi msiokubalika inatakiwa muondoke kwenye ofis za selikari

  • @Mrvwmsani-eq3pc
    @Mrvwmsani-eq3pc 7 месяцев назад

    Kama rais ivi 😂😂😂

  • @saidaamir4462
    @saidaamir4462 7 месяцев назад

    Kachape kazi maguful no mbili ww,,Roho wa MUNGU akakujaze mapaji ya roho mtakatifu,,ukafanye kazi Kwa sifa na utukufu wa MUNGU

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 7 месяцев назад

    Chawa kazini.!

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 7 месяцев назад

    Shida ya vyombo vya habari mmekosa kazi za kufanya

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g 7 месяцев назад

    Yani nimejikuta hadi laia jaman machozi yamenitoka kwa fulaha sijui kwanini

  • @KitejaMwangi
    @KitejaMwangi 7 месяцев назад

    Nenda uwaelimishe baba wa kazi ccm ndio

  • @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
    @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 7 месяцев назад +1

    Jembe ni jembe TU hata apewe cheo Cha chini anaupepo cheki nyomi ya watu anapendwa sana

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 7 месяцев назад

    Jamani Watanzani jiulizeni ni Mkuu wa Mkoa yupi amefanya maandamano kama huyu? Ningemshauri Rais kufukuza huyu mtumishi anae fanya sherehe

    • @n.dvillagirl3272
      @n.dvillagirl3272 7 месяцев назад +1

      Acha wivu naroo mbaya
      Nyota yamakonda hata awee chini yabahari atangaa tu Mungu kampa hakuna wakumyanganya❤❤❤

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 7 месяцев назад

      Shetani mkubwa ww acha wivu utakufa mapema, jamaa anapiga kazi huyu anatakiwa kuwa rais nchi ingekaa sawa

    • @luthermartin1098
      @luthermartin1098 7 месяцев назад

      @@martinabayyo9982 mpuuzii ,ukiulizwa shetani unawza kuonesha ,kuwa na adabu

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 7 месяцев назад

    Ama kweli MUNGU humpaamtakaye kaka kachape kazi kalifuate kilalilo lahaki MUNGU hatakuacha wala hatakupungukia ukitenda vema utapata vema

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 7 месяцев назад

    Watu hawana Kazi na Babake Sabaya /CCM Arusha naye amejua kuandaa mapokezi ya Pacha wa Mtoto wake Sabaya. Wakuu wa Mikoa kibao wamehamishwa na Wameenda Mikoa kipya na hawajafanya Ujinga I huu wa Kuchezea Oesa na Muda wa Watu tena watumishi wa Umma mishahara ni Kodi za Wananchi.

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 7 месяцев назад

    Mwamba

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 7 месяцев назад

    Mwamba huyo