Kwani gathariki yeye ndio Mzee Sana zaindi anaweza ongelele tu hii shamba,allikua kiogozi alishidwa kutusaidiea, wakubwa wakikuja ground yeye ndie kujua Sana najua Sana members walikua 581
The question is where did Delamare a British got this land from and how.. lets start from there .... The people sitting there are locals whom i believe are owners collectively though ancestors..
Huyu Kipkulei kwani yeye ndie alizaliwa na bikira Maria ndivo anyakue mashamba yote na wengine wambaki bila? Mlimwachilia sa babu gani? Hii ni Serikali aina gani inaona injustice and just looks the other way
Wewe shinda apo ukipeana story za jaba apo na bb mdogo anatongozwa na we zako apo 😂 😂 pea wazee 🎤 nawaona apo wenye walikuwa hiyo tym ya mzungu wapeane hiyo story mzuri, unaongea nkama ulikuwa mfanyi kazi wa mzungu, viongozi wa Mt kenya mtachanuka mutuite sherehe tu sherekee
At least ako bold.........he is man enough....Wewe sema ni story za jaba tu......address issue yenye ana ongelelea.....Story za bibi yake zinaingilia wapi?Ulienda shule kufanyanaya nini?
Kwani gathariki yeye ndio Mzee Sana zaindi anaweza ongelele tu hii shamba,allikua kiogozi alishidwa kutusaidiea, wakubwa wakikuja ground yeye ndie kujua Sana najua Sana members walikua 581
My Mca😊😊😊😊😊
Umaskini itawasumbua mkipigania shamba si yenu,,, This is my MCA
Toeni office ya shamba Nakuru huko kunawakora wengi sana
Kenyan land should be given to Kenyans..and no single individual, no matter who he is, should be allowed to own more than 200 acres of land.
Fisi anatetea fisi wenzake...............eeeeeh
tugege twa hatupangwigwi mnajua ruto arap mashamba ni nani
The question is where did Delamare a British got this land from and how.. lets start from there .... The people sitting there are locals whom i believe are owners collectively though ancestors..
I have missed mhesh Gathariki sana. We really lost by electing Gituku as a MCA
Ngunia
Nimeona my uncle hapo nyuma Mr Joshua Mereu.
Hakuna cku utakalia hicho kiti tena sahau kabisa
Kuna shamba tuna nunua na sasa tuna vote ballot
Sasa ni pesa tunatoa , tutanunua kisha baadae,, Ifike kama hii ya ndabibi 😢😢 chindwe in jesus name 🙏
Hii ni lugha Gani jameni
@@phineasmauta1 typing error sorry
Huyu Kipkulei kwani yeye ndie alizaliwa na bikira Maria ndivo anyakue mashamba yote na wengine wambaki bila?
Mlimwachilia sa babu gani? Hii ni Serikali aina gani inaona injustice and just looks the other way
Lord Delemea alitoa mashamba wapi,?
Mheshimiwa umenena 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ile makosa mulifanya ni kuchagua arap mashamba
Juu babako alikua mfanyi kazi kwa msungu shamba ni yako na babako
So ndio ulikua ushaguliwe ili uweze ku bandilisha kila kitu
Wewe nimnandi kalenjin
agiiikuyu aitu wooi
Udaku regime mliichagua wenyewe
Nauliza swali tu, kwanini hatupewi barabara
🤣🤣🤣🤣🤣na hata hupati kura
Gathareki Wacha story yajamba
Wacha uwongo kamano
Unakaa dugu ya ruto
Nivizuri tujue ukweri wa mambo.tusije tukakosana bure
Kwahivyo wewe mkora niwewe unatuma watu unyakue shamba hilo juu unajua history za shamba
Imagine babako/babu yako alikua snitch
This is a story teller not a leader. .
What is the end game for this long narrative,, ?..verbal diorhrea
Katharaki Wacha mdomo mingi wewe
Wewe shinda apo ukipeana story za jaba apo na bb mdogo anatongozwa na we zako apo 😂 😂 pea wazee 🎤 nawaona apo wenye walikuwa hiyo tym ya mzungu wapeane hiyo story mzuri, unaongea nkama ulikuwa mfanyi kazi wa mzungu, viongozi wa Mt kenya mtachanuka mutuite sherehe tu sherekee
Waaaaaah
Leta uhondo kwa inbox yangu 😂
At least ako bold.........he is man enough....Wewe sema ni story za jaba tu......address issue yenye ana ongelelea.....Story za bibi yake zinaingilia wapi?Ulienda shule kufanyanaya nini?
@@kymkkm1078
Mko na mambo aky
@@kymkkm1078 nlikuwa shure kujua hesabu ya pesa ingine nkakuachia unisomee nkt