CAPTEIN IBRAHIM TRAORE : AFRIKA NI TAJIRI ,TAZAMA ANAYOYAFANYA BUKINAFASO.
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Ibrahim Traore anasema Afrika ni tajiri kutokana na wingi wa rasilimali asilia zilizopo barani humo.
Afrika ina akiba kubwa ya madini, mafuta, na gesi, ambayo inatoa fursa kubwa za kiuchumi.