Hongereni saana, ila Bolt wawe na mfumo wa kublock namba au majina ya wateja wote wakorofi, aki request tu imtambue ili kupunguza changamoto kwa madereva au wakati mtu ana sajili kwenye app aweke na bank details zake ili zikatwe moja kwa moja na hata akisitisha huduma lazima mum charge kiasi cha pesa ili wasirudie kufanya ujinga kwenye biashara za watu
Milad ayo njoo utuhoji na sisi madreva ajue uchungu tunaopitia Makato makubwa bei nikidogo sana na haswa nyakati za usiku hakuna usalama sana hadi wezi wamo humu ndani wanariqwest ukienda bila uwangarifu au umakini unaenda kuibiwaa na bolt hawana msana njoo ongea nasi ujue uchungu tunaopitia zaid WATU wanachuma pesa tunawaingizia sisi harafu bado hasara kwetu bei sio lafiki kwetu madreva
Bolt ni nzuri na nimefanya nao kazi kwa miaka mitatu lakini changamoto huko njiani ni nyingi changamoto kubwa kuna maeneo tunapata shida kupakia abiria hasa maeneo ya ferry kivukoni,airport na maeneo mengine . Ferry walemavu hawaruhusu kupakia na Wanasema ipo kisheria kua ni eneo lao na request inakupeleka kule, nilikamatwa ikanitoka elfu thelathini bila msaada wowote na nimeenda kuchukua abiria wa bolt
Mna potosha jamii umeni sikitisha mno hadi wewe millard una potosha mna muhoji mtu ofisini hauoji madereva wa kweli ebu fanyeni utafiti vizuri haku ela huku ndo ukweli tunafanya hii kazi kwaajili ya kuto kuwa tegemezi yaani huyo ana danganya mno hivi aliwaambia kuhusu makato ya asilimia 25 ya kila safari utakayo pata na ali waambia bei kuwa chini mno kwa safari unayo enda na bado bei ya mafuta kuwa juu sana
Hawa jamaaa Kuna wakati wanazingua sana hasa usiku juzi nilikua na ofa nilirequest kutoka kariakoo kwenda mbagala ikaja 2500 kila anaekuja anakukataa anakuambia pesa ni ndogo mpaka nikakereka
Am wondering why hapa Tanzania watu wanatumia magari magari ambayo ni conventional cars na sio hybrid..matokeo yake gari zinatumia fuel nyingi, pia matokeo yako mtu anaweka ma mtungi ya gesi
😢😢😢 msirudie tena kudanganya jamii watu wasije kujiunga wakitegemea hizo ela na wakaja jutia na kuwa laani

Bolt napenda sana kuitumia wKwNza nipeni likes zangu
😂😂😂😂😂😂uongo watu wanafanya kwasababu hawana kazi nyingine huyo ni muongo huna gari babu
Rudia tena kuongea
Ili usikiwe
Bolt waongo hakuna dereva wa kujisifia kuwa ana maisha mazuri kwa kuendesha na bolt. Huku bolt hakuna maisha, ni basi tu watu hawana kazi za kufanya.
Mna potosha jamii umeni sikitisha mno hadi wewe millard una potosha mna muhoji mtu ofisini hauoji madereva wa kweli ebu fanyeni utafiti vizuri haku ela huku ndo ukweli tunafanya hii kazi kwaajili ya kuto kuwa tegemezi yaani huyo ana danganya mno hivi aliwaambia kuhusu makato ya asilimia 25 ya kila safari utakayo pata na ali waambia bei kuwa chini mno kwa safari unayo enda na bado bei ya mafuta kuwa juu sana
Hawa jamaaa Kuna wakati wanazingua sana hasa usiku juzi nilikua na ofa nilirequest kutoka kariakoo kwenda mbagala ikaja 2500 kila anaekuja anakukataa anakuambia pesa ni ndogo mpaka nikakereka
Am wondering why hapa Tanzania watu wanatumia magari magari ambayo ni conventional cars na sio hybrid..matokeo yake gari zinatumia fuel nyingi, pia matokeo yako mtu anaweka ma mtungi ya gesi
Madereva tujuane hapa
Tatizo lipo kwenye bei
Pikipiki hakuna ee?
Wakwanza like zenu