If I ever dislike any of these kind of teachings tafadhalini mnibebe mnipeleke Mathare Mental na m-make sure nimetandikwa viboko kaa 12. One for every disciple!
240p for real??? kwani you shot the video with a potato??? how am i supposed to view this on 120 inch screen?? kama ni mbs sema i will mpesa nkt otherwise add "hii ni audio" kwa title
this guy is such a great storyteller....
Jaymo your a living legend big up wisdom for boy child
Good to know that I got some1 who thinks like me in regards to bible teachings / interpretations.
Uko to sawa babah.
Yesureeeh asifiwe
More of this guy tafadhali fantastic work
Hata kama Niko wa kwanza sitaki likes zenu 😂🤣😂gonga like kama umekubali
Love this
huyu msee mwingine ni listener mmzuri sana
Ukweli 😂 😂 😂
Ni Jamo na Cliff
My 2 best buds far far away from home😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Manze Jah akubless na more life tuzidi kukucheki.Wisdom na facts mbaya
Wisdom number five 🤣🤣🤣
Jaymo nailed it bro
Fr yu guys are goin' far..[254] #Jaymo #Chris
Another level.Big up Jaymo
Tactic #1& #4: Real life application budah!
Amen ongeza sauti good job
Jamo tema ulale waaah!
Nice i like your creatity
Ogopa yesule Ali escape langata cemetery alafu akavuluka nyumbani bila ndege
The quality though
If I ever dislike any of these kind of teachings tafadhalini mnibebe mnipeleke Mathare Mental na m-make sure nimetandikwa viboko kaa 12. One for every disciple!
Oh James you are so creative imeweza 😆😆😆😆😆
Nakama miguu zako Zina tupa yesule anaziosha
Manze quality. 240p haidai.
Watu wanauza mandizi na wanatembeza nyaunyo mbaya 😂Wewe ni mwise, Wiser Than wisdom itself 💯
Whoever wrote the Bible alikuwa mzinga na mihadarati mahali
Hio swara ya kuacha ngori zipige wananchi..ndio politicians wanatuchezea for 5yrs alafu wanakuja tukiwa njaa. Chwani chwani wanakua relected.
Jaymoo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥noma sana😂😂
Ongeza table kubwa na time imeweza kakishika!
Zimewashika hivi na bado hamjasukuma hii mzinga .
@jaymoulemsee😅
Lazima libation ku appease the ancestors 😅
La sivyo unafail bila mpango😂😂
wise
Yesureeeeee
Cliff ndo amebuy hio tei... Naona akiset pace...
Sasa kunahii story ya Jonah aliconvert a whale into sgr ikamvukisha the other side of river Nile ikamtema puu
😂😂😂😂😂😂😂😂 soma bibilia ulewe/huelewe
upload a quality copy 1080p
Cliff kazi yake ni kuchachisha tu😂😂😂...
Yesurey....
Steve Harvey of kenya
Heheee jamo😁
"lazaro alikuwa bro ya hao madame"........napenda vile Jaymo hupigia huyu muriu wake story....
Nyahunyus lazima....+44
Ata sio lazima likes
not clear!!!!!
My best part from 13:19 to 13:37 Lol
Njaa ingine ni gani
Njaa ya vitu yote by the way😅😅
Quailty
Hapo kwa poko ndio bado nawaza
Jaymo ana maneno kweli. lol hahahahahahha
😂😂😂😂💯
Kama wewe hujai gonga huyu poko rusha mawe😂😂😂
🔥🔥🔥🔥🇰🇪
jaymo wee ukona ujinga sana..ati poko alikutwa na kila mtu hio mtaa. LOL
Wisdom will kill you😂😂😂
Hio stori ya poko mmeingilia sana mabro 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
😂😂😂😂ati 🍺hufanya watu wakuongelee
The first bar talk was better
Maskio zenu ni ndogo...
Hii jaymoh nayo ilibore
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣😂🤣😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mko chonjo 😂😂
ningefanya CRE pale high school ka ungekuwa mode
Na sio ATI nini
240p for real??? kwani you shot the video with a potato??? how am i supposed to view this on 120 inch screen?? kama ni mbs sema i will mpesa nkt otherwise add "hii ni audio" kwa title
Una tubeba fala ati 120 inch screen 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe sio target market ya Jaymo Ule Msee. Ukiona 240p fikiria focus yake iko wapi...
@@coolbeansforeverke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂adi narealise your a very wise human being😅😂uyu wa 120inch screen hana smartphone🖐😂😂ama ni Tablet?
😂😂
Hahahahahaha
😂😂