Follow Bugatti VS Nyago Man : EnClames ( official Music Video ) ☆
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- #FollowBugati #NyagoMan
Plz subscribe my RUclips channel
Audio pro Alex Sound
Video Director Side pro Aka Petit director
Bugatti Vs mBuzi
#Mateteeeee #KiruwiiihBisoshiiiGm
Mbuzi Lama Mbuzi Umepigaje Hapo 🎉🎉🎉🎉🎉
Mbona hiii ngoma kali ivi dah mmeupiga mwingi❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bugati wewe mkali sana mungu akulinde tu
Eboko, Respect to you
akuna alo zidi mwenzake wote wako vizuri saana kila mtu ameonesha umairi wake nimependa saana
Nakubali 👍💪
Mimi sinaga mshabiki wa yeyote ila kazi nimeiyona Follow ananyota fulani ivi ongera kwa ote✌️
Waliorudisha iyi nyimbo mara kumi ni nani tujuwaneeeeeee
Ngoma kali daaaha ila akuna bingwa kama oska ahiiiiii 🎉🎉🎉🎉
Hata usi sema sana bro una juwa sana bro good job follow bukati
Kazi nzuri mwenyezi mungu akujalie 🙏
Respect kwa Follow Bugatti 👌💥💥💥💥
Tuseme tu ukweli jamani nyago alishinda bwana
Follow Bugati ❤❤❤Umeuwa kwenye hili ngoma kabisa
Only one King 👑 Follow u are bigger than any Artist here in the Camp Naikubali sana pia Nyango huko ft but mkubwa ni mkubwa Siku Zote Follow Bugati 🙌🙌🙌🏆🏆🏆🏆🏆 King 👑👑👑👑👑 Tumekupa Mauwa yako My big brother 🦾🦾🦾🤝🤝🤜🤛
Is your Boy. A boy of yesterday MD From 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪 God bless 🙏 you follow for your Talents Mondi wa Camp
King 👑
❤❤❤❤
King 👑 it follow
🔥
Iyo funga mwaka
Follow follow forever babaang❤ ukuimb san ila iyo kidog imekutambulisha vizur💪💪💪❤
Asante saaaaana wote wawili iyosiyo kazi yamchezo
Waiseeeeeee🎉nyago
Muna weza ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nzuri
Nzuri sana aki ❤❤❤❤❤
full vibe 🔥🔥🔥, funga mwaka
Nimependa sn
Ongereni watoto wangu wakazi tuchape kazi sasa mana mmejijuwa mkali ninani katiyenu tufanye mziki wakimatahifa sasa see by BEkanize og congratulations kwawote.
Follow is the best one
Ni Moto 🔥
Follow ameuwa kinyama🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hawa miamba wawili wamehimba pamoja 🎉🎉 ni vizuri sana 🎉🎉🎉
Hii funga mwaka 👏🏾👏🏾big job guys ❤
Team follow tujuane🔥🔥🔥🔥
Tupo
❤❤
Conception nzuri sana
Vizuri sana wa dogo wangu kwa kufanya ngoma ya pamoja❤🇨🇩
Good Sana nyago
Nyago na follow wote mumeupiga mwingi🔥🔥🔥 wote mupo vizuri kama una kubali like apa🔥🔥❤️❤️🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Follow nakupenda sn t brooo ❤❤❤
huwezi kumweza follow
Good job follow Bugatti ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Seen by Director Sebastin nimekubali🎉
Duh🎉🎉🎉🎉 congratulations Kwa kuungana kwenu😂😂😂
Follow bugati umeuwa sana ni 🔥🔥🔥🔥
Nyango br0 wewe nimkali 💅🤘🤟🤙🤞🖕🖖☝️👆👇✊👊🖐️✋🤚👋🤏👌✌️sana tene sana 💯💯💯💯💥💥🔥🔥gisi ninavyo kuku Bali sijuwe wewe ni sème je tu mkali sana❤❤❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇿🇲🇿🇲🇿🇲❤️💚🧡💛
Kiboko 🔥
Follow ndo msaniii pekeee Nyarugusu ❤❤❤
Petit nyago nitafute .
Nimimi ANANA.
najuwa umenielewa
Nyago man 😂follow Bugatti siyo wa levo zako big up sana kapulu mateteee🥰🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤🎉BIG UP SANA VIJANA .MMEUPIGA MWINGI
Follow ali imba vizuri sana kwenye iyi wimbo nasema ukweli mimi ni msani mwenzake wote niwezangu ila ukweli ndo huu😂😂😢😢
TEAM FOLLOW 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ameuwa
nakubali❤
Nyago 🙌🙌100%🦁🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤ get ur flower Flow Bugatti🎉
Yaaan kiukweli hii ni funga mwaka pia mumeupiga mwingi sana mnastaili kupewa mauwa yenu Ila nyago man anaweza sana kafanya vyema zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hapa Akuna Ngoma Kweli Tutowe Ushabiki Pemben Ni Jina Ndo Itatembez Hii Ngoma😢😢😢
Yamim nimewakubali
Ni kweli kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏
@@ChenchiKingya kwako hiko wapi tuone
Ngoma ina vibe hii ni hatari 😅❤️🔥❤️🔥 Team nyago njooni hapa tumshangaze huyo Bugatti. #EnClames👏👏
Bebero team 🐐🐐
@@deco_479 kengeee
Tupo pamoja apa beberooooh nyago man
❤❤❤❤❤ yaani niatar kaka zangu nawahamini sana kazi nzuri
Ongereni wadogo zangu❤
Follow ameuwa kweli
Niko zangu Mozambique sisi uku tunasapoti follow buggatti kapull mateteeeeeeeee❤
NIC from Burundi 🇧🇮❤❤❤❤❤❤❤❤
Ngoma kali ihiii😂
Nyago wewe mbuzi subiri ukachingwee wee Bebero Kweli Kweli wee subiri upele kwe kumbucha ufanyiwe kazi yaku gawana minofu❤❤❤ from marekani New Mexico 4:19
Team follow 🎉🎉🎉🎉
Vesi kali follow 🔥🔥🔥
Follow bugatti for lifee❤❤❤ we love follow
Follow Bugatti sasa vimba sasa ❤❤❤❤❤ lum cache mikono juuuu
Akuna kama follow hapo camp
Nawahami sana wasani wa nyarugusu camp ❤❤❤❤mjiamitu ma kaka zangu
Nyago man umeuwa 🎉❤
Nyago ni mkubwa
Ngoma kali ya mwaka
Beberooooo
Búle búbashaaa búle búbashaaaaa😂🗝️
ebembe to the world ndo sasa hime fika ndo tulikuwa tuna kisubiri big up sana follow na nyag man mbuzi ya kibemebe❤🔥❤🔥🔥
Nyago Man nimkali Bwana 📢
follow ongera sana brother ❤❤❤
Follow iko ♥️♥️♥️♥️
Big up sana mdogo wangu follow umejua kunifuraisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kuna sehemu follow kasema ukienda ulaya marekani adi congo yeye amevuna ,,, uho ni uongo ,Mimi Niko marekani ila sijawai kusikia ngoma yake
Follow umeuwa wew mkali sana a dogo
FOLLOW FOLLOW FOLLOW. NIMEKUITA MARA NGAPA KUANZIA LEO MIMI NDO CHAWA WAKO PRO MAX 👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umenifuraisha mfalme
Follow na nyago asante sana kwakuchangamsha game ya nyumbani mziki nikama tena ndo umezaliwa upya wimbo umeshawishi watu tena kuanza kufatilia mziki wa nyumbani ivyo naamini wengine sasa watatowa nyimba sababu walikuwa naogopa kwakuwa awapati views kufikisha 1k ilikuwa shida ila wewe umeongoza ❤❤❤❤
Naikubali ngoma iih
Kama una mpenda nyago man like hapa
Follow Bugatti 🔥🙌
Nyago man🎉🎉
Follow ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Follow Bugatti 🔥💯💪
Nyago akuna bigwa ka yeyee
Nice❤❤❤
Ongeren wazee kazinzuri
Kazi nzuri sana
Follow Bugatti kama Follow sasa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Toto lalembembe nakukubali sana
FOLLOW 🔥🔥🔥🔥FOLLOW JUUUUU🔥🔥🔥
Huyo mfupi Amekaweka mpaka katoto kake nakichwa kikubwa lakini wapii
Team follow Bugatti tuko hapa mdawøse ❤❤💯✅️
Follow Bugatti anajua sana hakuna walinganiswa naye mashabiki wa follow nipeni like zangu
Follow u the goat 🐐❤
Follow Bugatti 💥💥💥
Tuna semaga ebembe the world 🌍🌍
Like ya petit director please 🙏🙏
Tuna kubali Sana bana #nyago_man ❤❤❤❤❤❤#kiruwibisoshi gonga like ❤❤❤❤❤
❤🔥🔥 collaboration nzuri
Mmeuwa wananguuuuh🔥🔥🔥🔥