UHIFADHI WA WOSIA
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Mratibu wa ofisi ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kanda ya kati, Dodoma, Wakili Neema Ahmed, akielezea juu ya taratibu za kuandika na kuhifadhi wosia katika kipindi cha redio Arise and Shine FM ya Dodoma.
Video Credit to Arise and Shine radio.