Nitakushukuru Bwana| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024
  • Tuseme nini kwa Mungu Baba Mwenyezi kwa wema wake, fadhili zake, upendo na ukarimu wake ulio mkuu, ila tumshukuru kwa mioyo yetu na matendo yetu. Barikiwa unaposkiza maandiko matakatifu ya Zaburi hii ya Daudi.
    Zaburi 9:1-6
    "Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu. Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako. Kwa maana umenifanyia hukumu na haki Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki. Umewakemea mataifa; Na kumwangamiza mdhalimu; Umelifuta jina lao milele na milele; Adui wamekoma na kuachwa ukiwa milele. Nayo miji yao uliing'oa; Hata kumbukumbu lao limepotea."
    Shukrani:
    Kanisa: AIC Milimani Nairobi-KE
    Kwaya: Mabalozi Choir
    Mwalimu:Daudi T. Shigela
    Producer: LMJ Studio
    Lokesheni: Garden City Mall
    #Albumlaunch
    #MabaloziChoir
    #AICMilimaniNairobiKE

Комментарии • 17