MADIWANI WABANWA UKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 июн 2024
  • TANGA: Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Buriani, amewataka watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kuwajibika katika majukumu yao ili kupunguza hoja za ukaguzi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
    Ushauri huo ameutoa jana wakati wa kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kujadili hoja za CAG katika Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.
    Imeandaliwa na Amina Omari
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
  • СпортСпорт

Комментарии •