@@Mkemwemachoir hii account ni official kwa ajili ya kazi za @MkemwemaChoir siyo kila sehem kwaya iliposhiriki video mna rekodi na kuweka kwenye account yenu
Mimi nawapenda ila nitafurahi zaidi mukirudia kwa hiyi style ya uimbaji tafadhali na pia kuna watu ambao siwaoni tena wale wote waliokuwa wakiiimba huko nyuma please muwatafute mukajiunge tena ninajuwa inawezekana kabisa. Ni hayo mawili tu mukiyafanyiakazi nitakuja kufurahi ❤
Asante sana Kwa ushauri mtu wa Mungu tutafanyia kazi.kuhusu waimbaji walikuwa zamani zile wakitumika wote wapo, isipokuwa Mmoja tu ndio ametangulia mbele za haki. Wengine usishangae kueakosa humu zipo sababu za msingi mfano tumehudumu siku hiyo Yuko safari au anaumwa nk na baadhi Yao wamehama wanaishi nje ya eneo letu hao hautawaona wanamtumikia hapa Bali wataendelea kumtumikia Mungu huko huko walikohamia
Original one, nacho kisikia sasa ndo Ile mke mwema haswaa✔️
Yaaani kaka umenena vyema yaaani hawa walikuwa wameitwa na Bwana kabisa wee ona mpaka sasa bado twabarikiwa haswaaaa
Jaman huu wimbo unanikumbusha kitu ambacho sitakisahau maisha nawapenda sn sn
Amen
Tunabapenda sana
nyimbo tamu kweli
Nyimbo nzuli
Wimbo mzurii saanaa
Ubarikiwe mpendwa wetu usisahau kushea na kulike bila kusahau ku- subscribe Ili uendelee kupata hii huduma
Nyimbo nzuri sana sijui wakat mwingine mnakwama wapi❤
Kumradhi mtu wa Mungu tushauri tufanyeje?
@@Mkemwemachoir hii account ni official kwa ajili ya kazi za @MkemwemaChoir siyo kila sehem kwaya iliposhiriki video mna rekodi na kuweka kwenye account yenu
Mbarikiwe, kazi yenu ni njema.
Mimi nawapenda ila nitafurahi zaidi mukirudia kwa hiyi style ya uimbaji tafadhali na pia kuna watu ambao siwaoni tena wale wote waliokuwa wakiiimba huko nyuma please muwatafute mukajiunge tena ninajuwa inawezekana kabisa. Ni hayo mawili tu mukiyafanyiakazi nitakuja kufurahi ❤
Asante sana Kwa ushauri mtu wa Mungu tutafanyia kazi.kuhusu waimbaji walikuwa zamani zile wakitumika wote wapo, isipokuwa Mmoja tu ndio ametangulia mbele za haki. Wengine usishangae kueakosa humu zipo sababu za msingi mfano tumehudumu siku hiyo Yuko safari au anaumwa nk na baadhi Yao wamehama wanaishi nje ya eneo letu hao hautawaona wanamtumikia hapa Bali wataendelea kumtumikia Mungu huko huko walikohamia
@@MkemwemachoirAsante sana kwamajibu nimekuelewa, barikiwa sana .