"KAA NA NGOMBE ZENU,SIWABEMBELEZI!" PRES.RUTO LOSES HIS TEMPER OVER KENYANS OPPOSING VACCINATION

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 231

  • @kenya1455
    @kenya1455 18 дней назад +30

    Peleka hasira mbali. Nyama tumekuwa tukikula miaka yote hatujakufa

    • @JophasJohn-oh8zu
      @JophasJohn-oh8zu 18 дней назад +1

      Kweli kabisa

    • @mulijosh3379
      @mulijosh3379 18 дней назад +1

      It's not about kukufa, it's about quality meant for exportation, ata avocado tunakuanga na hatujai Kufa, but not all avocado are fit for exportation

    • @Ibrahim-hs3cq
      @Ibrahim-hs3cq 16 дней назад

      Thank you for educating the uneducated ​@mulijosh3379

  • @stephenmathini9621
    @stephenmathini9621 18 дней назад +17

    Lies every day😂😂😂😂

  • @martinkioko303
    @martinkioko303 18 дней назад +9

    Lipia wale wameshidwa na fees ya university ama wagonjwa wale wameshidwa kulipia bill za hospitali hii upuzi ingine wachana nayo kabisa

  • @millieonwonga
    @millieonwonga 18 дней назад +12

    😂😂😂 ati utusaidie.... Aki hii mtu iende dunia ingine tu

    • @Itd-g3m
      @Itd-g3m 18 дней назад

      Imagine eti!!!!... Lazima anapata Billions profit from the deal 😮😮 anaona Kenyans ni mafala kweli!!!! 😢😢😢😢😢

  • @georgeoderoh8547
    @georgeoderoh8547 16 дней назад +1

    I have lived on Aerica for 30 years! This is definitely a lie. How I wish this president would focus on more important things. From planting maize in Zambia and now this!

  • @JacksonMutembei-p7u
    @JacksonMutembei-p7u 18 дней назад +20

    I wonder how people sit and listen to this person

  • @JKa-l8x
    @JKa-l8x 18 дней назад +7

    😂😂wajinga waliisha

  • @erasmiswai7120
    @erasmiswai7120 17 дней назад +1

    Mimi nipo tanzania 🇹🇿 nampenda sana rais ruto na mwaka mwingine ata pita nanina ona magavana wanaenda kufutwa kazi ambao ni wezii ata ongoza tena awamu nyingine maana amechaguliwa na bwana na wa kenya mwakahuu naomba muwekeze kwenye kilimo na ufugaji mtayaona mafanikio kwa jina la yesu mubarikiwe sana

  • @VinicentMutua
    @VinicentMutua 17 дней назад +2

    Kwani dunia ni gapi? Yaani huyu msee na uongo aki😂😂😂😂😂

  • @nestagoldly7279
    @nestagoldly7279 18 дней назад +23

    Mr president what about kenya meat commission now u wants to start another company of money swindling

  • @endtimeswatch524
    @endtimeswatch524 17 дней назад +1

    Wah may the Lord arise in Kenya now and have mercy on helpless kenyans

  • @FAITHWANGUI-p8k
    @FAITHWANGUI-p8k 18 дней назад +6

    Hatutaki

  • @mwatelaedward1638
    @mwatelaedward1638 18 дней назад +4

    Kwani ni ngombe zote zinachinjwa. Yangu si ya nyama yangu ni ya maziwa tena yangu na family yangu. So please yangu haidungwi hiyo chanjo yenu

  • @johnwaithira7085
    @johnwaithira7085 16 дней назад +1

    From being an mp to president ndio umejua chanjo

  • @youthrep2097
    @youthrep2097 17 дней назад +1

    Kaa na ngombe zako zetu hatuna hanja na chanjo nyama zetu soko hapa kenya inatutosha we need our lights

  • @AhmedHassan-rw9ie
    @AhmedHassan-rw9ie 18 дней назад +5

    Churchill live show 😂

  • @AustineKoech
    @AustineKoech 18 дней назад +9

    Dunia gani hiyo,Mars ama Jupita?

  • @mainajohnmacharia900
    @mainajohnmacharia900 18 дней назад +8

    Ndunga ngombe yako

  • @paulapaula-ri3uw
    @paulapaula-ri3uw 18 дней назад +4

    Bill Gate take that money to hospitals we are not fools you willnot conterminate our livestock nor our agriculture through GMO. God forbid and protect us from this this man our choice our fate thank you sir.😊

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 18 дней назад +1

    Kama nikusaidia ungetimiza ahadi ulizoahidi kwanza .sahii company nyingi zimehama Kenya vijana hawakazi .😢😢

  • @David-s4g
    @David-s4g 18 дней назад +2

    Etty nyama ipelekwe Dunia ingine😂😂😂😂 khaii kweli huyu ni Mr lies

  • @GingerBreadMan76
    @GingerBreadMan76 18 дней назад +1

    look like he going to cry

  • @Vivi-y6s
    @Vivi-y6s 18 дней назад +5

    International thief

  • @JosephBidii-k6i
    @JosephBidii-k6i 18 дней назад +1

    Anasaidia nani huyu hajui majuku yake..... kweli kenya kwisha😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @janewandungu3922
    @janewandungu3922 18 дней назад +2

    Hauna maneno ingine ya maana unaeza ongea isipokua ya ngombe na mashinda ya kenya ni nyingi kuliko ngombe ....

  • @lparasianlalampaa4280
    @lparasianlalampaa4280 17 дней назад +1

    Big no

  • @marywambui1082
    @marywambui1082 18 дней назад +2

    Juzi umesema ety maziwa ulisema tubaiwe 50,000 kwa litre

  • @erickmwangi4705
    @erickmwangi4705 14 дней назад

    Mr.president be wise n remain mum.

  • @njukiaeunice8376
    @njukiaeunice8376 18 дней назад +2

    H😂😂😂😂😂...ugonjwa gani...Billgate

  • @kevo9152
    @kevo9152 16 дней назад

    He is soo greedy. Yeye anafikiria tu kuuza kila kitu left right and center. Kenyans got values and morals.

  • @Itd-g3m
    @Itd-g3m 18 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 Lazima you are getting something Huge 😂😂😂😂😂😂 sio bure eti unawalipia

  • @Smith-p1j
    @Smith-p1j 18 дней назад +4

    Tutakaa na ngombe zetu. Chango tumia kwa Familie yako..

  • @godfreynjoroge4115
    @godfreynjoroge4115 18 дней назад +5

    Wewe Wacha uongo tunakujua sana why do you insist on it kama Kuna ugonjwa wa ngombe sio wewe unafaa kusema ni veterinary wanafaa kusama Soo don't give us more problems

  • @jbprinters
    @jbprinters 18 дней назад +9

    hatutaki bei mzuri

  • @ReubenNgure-r5f
    @ReubenNgure-r5f 18 дней назад +2

    May God of heaven not allow Anything ur planning to go through in Jesus name.from Financial bill, agriculture nd etc

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 18 дней назад +6

    😂😂😂😂😂😂Uongo

  • @marionkarugia
    @marionkarugia 18 дней назад +3

    Watu sio wajinga Ruto😂😂😂

  • @jedidahnthenya
    @jedidahnthenya 18 дней назад +5

    Unataka kuduga sumu tukule tufe

  • @GraceWangui-v8g
    @GraceWangui-v8g 16 дней назад

    Dunia ingine?? 😅 Mars or Jupiter?😂😂😂

  • @alicewamae6652
    @alicewamae6652 17 дней назад

    Please pray for president.

  • @stevegatimu323
    @stevegatimu323 18 дней назад +2

    Let those exporting meat vaccinate there cattles kwani ni lazima.

  • @kenya1455
    @kenya1455 18 дней назад +4

    Huu ni uongo tu.

  • @emilyobiri1716
    @emilyobiri1716 18 дней назад +2

    😂😂😂😂muongo mara millioni.

  • @muchunumuchunu
    @muchunumuchunu 18 дней назад +1

    😂😂😂😂 people still listen

  • @nickomwamwa4027
    @nickomwamwa4027 18 дней назад

    Mungu saidia kenya

  • @ibranur94
    @ibranur94 18 дней назад +1

    No problem 2027 itafika tu

  • @japhetitharu118
    @japhetitharu118 18 дней назад +1

    Sawa mmi nitakaa na yangu, hvyo president amesema kaa mtu hataki akae nisione mtu kwangu eti Ngombe shindano period..

  • @BMA19051
    @BMA19051 15 дней назад

    nchi ingine ama dunia ingine

  • @esthernjoroge231
    @esthernjoroge231 18 дней назад +2

    Dudia ingine ama ichi ingine 😂😂😂😂😂

  • @marynjeri8115
    @marynjeri8115 18 дней назад +4

    Umekuwa waziri wa kilimo?

  • @JoshuaNzoka-ti1uf
    @JoshuaNzoka-ti1uf 17 дней назад

    Sasa kama unatuibia hapa kenya ukipata dunia igini tutapata kitu kweli

  • @JacksonmuderemaMartin
    @JacksonmuderemaMartin 18 дней назад +4

    Wacha kulaghai wakenya

  • @TerryNjoroge-yc6cb
    @TerryNjoroge-yc6cb 18 дней назад

    The moment he opens his mouth, lies pour out like rivers

  • @marionkarugia
    @marionkarugia 18 дней назад +12

    Toa abductees Ng'ombe zetu wachana nazo

    • @nathanbiwott9902
      @nathanbiwott9902 18 дней назад

      Wewe ndo fala Gachietha the impeached fella ndo ana abduct watu.

  • @mugoyazipporahmoraa9444
    @mugoyazipporahmoraa9444 18 дней назад +5

    Hatukuamini kila kitu unasema ni uongo

  • @MMuthoka
    @MMuthoka 18 дней назад +3

    Hakuna BCG for new born imagine 😢

  • @dougiekiarie3761
    @dougiekiarie3761 15 дней назад

    😂😂😂😂nitaeka nitapanga maneno haya c mageni

  • @dorcasmaina2363
    @dorcasmaina2363 17 дней назад

    Nyama yetu haina ugojwa........hatutaki....

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 18 дней назад +1

    Kunyue mwenyewe hio dawa na ama undungwe uongo 💯💯dunga wanandi wenzako

  • @kevo9152
    @kevo9152 16 дней назад

    Hii story ya vaccination haikua kwa agenda ya campaign. He should focus on issues affecting us.

  • @maghetto8975
    @maghetto8975 16 дней назад

    Mr. Promises, tutatenga tutatenga, tutauza, tuta, tuta, Mr tuta, tumechoka buana!!!!

  • @sebizzchahronke
    @sebizzchahronke 18 дней назад +2

    Asipite nayo mwaka😂Wacha imtoke

  • @jedidahnthenya
    @jedidahnthenya 18 дней назад +4

    TUTAZIKULA ZOTE TUONE UTADUGA NINI.

  • @karambufavoured8156
    @karambufavoured8156 18 дней назад +1

    Nitakuja kuongea nikipata ngombe..but for now wacha nimwache aongee hiyo kitu imtoke😂

  • @TribalChief-q4b
    @TribalChief-q4b 18 дней назад +1

    Uyu angefaa Aishi planet Mars aki

  • @Mzalendo-n8q
    @Mzalendo-n8q 18 дней назад +2

    Hio pesa wataka kulipia chango ya ng'ombe..tumia hio pesa kisaidia mambo mengine muhimu zaidi..

  • @emmanuelmutuku3456
    @emmanuelmutuku3456 18 дней назад

    Hiyo hapana Mr. Ruto 😢

  • @GingerBreadMan76
    @GingerBreadMan76 18 дней назад +1

    kWENDA mafi hii

  • @goskyWS-1
    @goskyWS-1 18 дней назад +1

    Bona ulazimishe NGOMBE kuchanjwa badala ya watu kupewa dawa?

  • @MarimSali
    @MarimSali 17 дней назад

    Kwani dunia ni gapi jo ata mm sijui ???????¿

  • @jjclara668
    @jjclara668 18 дней назад

    Sasa mnauza nyama na wakenya hawajawai kuonja nyama miaka

  • @thomaslightfoot6599
    @thomaslightfoot6599 13 дней назад

    Kaa na pesa yako nani........

  • @sirjoejoe8813
    @sirjoejoe8813 17 дней назад

    Take care of SHA first,weka madawa kwa hospitali,lipa madaktari,shule hazina waalimu wakutosha,clinical officers not paid.Priorities is what we need to look at.Nobody said chanjo ni mbaya,lakini sio kuambia watu they have to na hakuna ugonjwa imetokea .

  • @thomaslightfoot6599
    @thomaslightfoot6599 13 дней назад

    If you're a wise Leader,you take triffle matters very seriously, belittling yourself to a level you shouldn't.All Kenyans want is working for them.....Just keep quiet and work.....or keep answering us and we get even more irate..

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 18 дней назад +4

    Bill gates product 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gideonashindu3668
    @gideonashindu3668 18 дней назад

    I really dont understand why mr. President is actively advocating for vaccination of cows as if its a matter of national interest. We've been consuming indigenous cow products since time immemorial but no complications of any sort has ever been raised based on the meat we consume, why now? Mr. President kindly divert your energy on matters such as lowering the cost of living, free education system, solve the health crisis your administration created, creating condusive environment for creation of job opportunities and many more issues affecting local mwananchi.

  • @JosephMdogo-u1y
    @JosephMdogo-u1y 18 дней назад

    😂😂😂😂😂😂umetuweza

  • @stanslouskimani6385
    @stanslouskimani6385 17 дней назад

    Na pesa ya kahawa inaeda wapi?

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 18 дней назад

    What’s so relieving, vaccinating a healthy cow or providing education and health to the herder . And by the you don’t help anyone, it’s a right to provide services to every citizen as a government using tax money, not yours. This guy is unhinged no doubt.

  • @marvinodhiambo8362
    @marvinodhiambo8362 18 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dunia ingine gani?

  • @annnjokinjoki8544
    @annnjokinjoki8544 18 дней назад +1

    BCG vaccine hakuna mbona huogopi watoto wakufe

  • @Pundit3957
    @Pundit3957 18 дней назад

    😂😂😂😂😂😂 nkt. Ata wakenya wengi wameshindwa kula nyama due to hard economic times alaaaa.

  • @jedidahnthenya
    @jedidahnthenya 18 дней назад +2

    Lies.

  • @binamwithaga
    @binamwithaga 16 дней назад

    Ugonjwa upi. Tell us

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 18 дней назад

    Treasury wamesema hakuna pesa za chanjo 😂😂😂 kwenye ulikuwa unataka kukula kumefungwa, ng'ombe zetu niza maziwa sio za kuuza nyama

  • @Ithaelk
    @Ithaelk 16 дней назад

    So the meat we eat has never been safe?

  • @doublecross7913
    @doublecross7913 18 дней назад

    Tena utusaidie na we were to pay for it

  • @EmmanuelOtieno-w4u
    @EmmanuelOtieno-w4u 18 дней назад +1

    Watu wamekuwa wakilipia chanjo kuanzia lini

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 18 дней назад

    Eh hatutaaaki,ni lazima?...hatutaaaki,if that chanjo is so great why don't vaccinate yourself and leave us alone.......

  • @bradoxidenoor4678
    @bradoxidenoor4678 18 дней назад

    Imagine those who are opposing the animal vaccinations have no single sheep leave of herd. Most of them are farmers who have export products like tea, coffee, flowers, and Miraa.

    • @mwangibeatrice8205
      @mwangibeatrice8205 18 дней назад

      Masaai wanaopose na wako na ngombe mingi kuliko wewe

  • @lydiahkiragu2857
    @lydiahkiragu2857 16 дней назад

    Jisu!!!!!!?

  • @Pgmvibes
    @Pgmvibes 17 дней назад

    I think Ruto has a great vision for this Country

    • @lpk-d4k
      @lpk-d4k 17 дней назад +3

      Aki mko na jokes! 😂😂😂

    • @listerkemuntomiroro6934
      @listerkemuntomiroro6934 16 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @adammwinyi9816
    @adammwinyi9816 18 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sammutuku729
    @sammutuku729 18 дней назад

    Yaani huongo na muongo ni mtu mwingine mmbaya sana ata tuuze nyama dunia ingine dunia gani hiyo😂😂😂😂kweraaa

  • @kingdennis5550
    @kingdennis5550 18 дней назад

    Tukae vile tulikua tunakaa...life was still going on

  • @skysimba8953
    @skysimba8953 18 дней назад

    Huyu kichwa chake ni kizuri kweli? 😂😂😂

  • @rachaelmarisia2214
    @rachaelmarisia2214 18 дней назад

    Ni kama huyu zakayo anatuona kama matako yake🥺

  • @margaretavisa7674
    @margaretavisa7674 18 дней назад

    Tutakaa na ngombe zetu

  • @FredrickKaloki-d6y
    @FredrickKaloki-d6y 17 дней назад

    Kwenda dunia yengine😂.....hamtaki tuuze nyama yetu nje 😂😂....mnatakaa uzia watu nyama ya ugonjwa😂😂...sisi miaka yote twakula hatugonjeki😂😂..ata watoto wetu sikuhizi hatupeleki chanjo....unalazima gani na hizo chanjo ...ata unaongea na hasira ...ten minutes unaharbu kuongelea chanjo we n kasongo kweli😂

  • @NaphtaliKioko
    @NaphtaliKioko 18 дней назад

    Tupee maboy's achana na mambo ya ngombe tafadhali