WAKONGO WACHARUKA YANGA HAWAKUFANYIWA VURUGU WASITAFUTE SABABU/ATAJA MAZITO WALIOKUJA NAYO TANZANIA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • СпортСпорт

Комментарии • 143

  • @rashidmkwinda23
    @rashidmkwinda23 Месяц назад +7

    Aliyemuangalia huyo dada Mkorogo wake kama mimi naomba LIKE😂😂😂😂😂

  • @CatherineLekule-l7z
    @CatherineLekule-l7z Месяц назад +11

    Mliwafanye fujo Taifa star kabla hatujasahau mazembe mkawapiga Yanga, kwa hilo tunaungana kama Taifa kuwashikisha adabu mtakoma kesho wallah

  • @MmandaNicetas
    @MmandaNicetas Месяц назад +3

    I love 💚 yanga kushinda kawaida tomorrow mazembe wanakula tatu (3)

  • @HarunaValentini
    @HarunaValentini Месяц назад +2

    Mimi nipo Congo humu hapafai hata kidgo

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj Месяц назад +1

    Yanga wachawi mazembe wameshtuka

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Месяц назад

    Umeongea vzr dada shida ya sisi bongo hawaamini kufungwa

  • @HamisWawila
    @HamisWawila Месяц назад +2

    Mazembe Kataeni mtengu yanga wachawi haoo

  • @DanielMsangi-u7c
    @DanielMsangi-u7c Месяц назад

    Mimi naitwa Daniel Msangi ni Mtanzania ila wakongo tunaomba mshinde leo goli 4

  • @Elizabethdaniel-y2u
    @Elizabethdaniel-y2u Месяц назад +1

    Simba ndo Timu inaendana Kongo na Zambia mashabiki wakifika huko wapo nyumbani ubaya ubwela

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 Месяц назад +7

    Evidence mutaikuta Lupaso kwa MKAPA:-
    Gusaaa
    Achiaaa
    TWENDE kwao

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y Месяц назад +1

    Mim naitwa Abdul nishatembea nchi nyingi za africa kiukwel Tanzania Sisi raiya ni wastarabu Sana kuna nchi wanaishi hawana mtu wa wanatabia mbaya Sana tena nawashauri Sana ndugu zangu wa Tanzania nisiendekeze siyasa tukafata vyama upizani tukavunja Amani nchi yetu ni nzuri Sana tunaishi kiupendo hata Kenya wanataka Sana nchi yetu iharibike ushauri wangu tumuunge mkono mama samia tumpe kura awe tena raisi ikiezekan apigwe kumi

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 Месяц назад +1

    UNAWASINGIZIA LIPOPO HEEE , UTAWAKUTA LUBUMBASHI KWA UONGO WAKO HUO.

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 Месяц назад

    Wakongo mmezoea vurugu,sisi tutawapiga kwa magoli uwanjani kesho

  • @HamisiMaluwa-r1o
    @HamisiMaluwa-r1o Месяц назад

    Yanga ume cheza na mazembe na mazembe wame wapiga yanga acha unafki ww

  • @leebronkasianh5296
    @leebronkasianh5296 Месяц назад

    Yanga chezeni mpira,msitegemee Imani za kishirikina,kwani wakikataa kupanda basi mlilopeleka Kuna shida gani? Huyu dada shabiki wa mazembe kaongea vizuri sana,mpira ni mchezo sio uhasama.

    • @NillanMjunga-fr5ze
      @NillanMjunga-fr5ze Месяц назад

      Ww ujielewi umemuona yanga analazimisha wapande au muandishi anahoji?

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 Месяц назад

    Safi mazembe .mzee mpili kaumbuka

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Месяц назад

    Cheki jisura lake lile, hawana hela aisee wanatumia majaribu sabuni wang'ae..wana wivu maana wachezaji wao tunao..hahahaha

    • @badimfinanga
      @badimfinanga Месяц назад

      Level nyingine kweli!! Shirikisho mpob!!!

  • @ramadhanishoka154
    @ramadhanishoka154 Месяц назад +1

    Mnaomba msamaha wann na hamkufanya vurugu kwenu

  • @ShamteHajji
    @ShamteHajji Месяц назад

    Mbona mnaanza kuogopa kigo kipo pare pare lazima tulipiz mm kesho nakuja na jiwe langu mpila ukiisha tu nakutafuta ww ulie na sula mbila usoni

  • @DianaMosha-y8c
    @DianaMosha-y8c Месяц назад +1

    Mama acha hayo mafuta dah

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 Месяц назад

    Nyie Mazembe mnatuzoea kifala, mje mtufanyie Simba fujo siku moja muone..

  • @Tassyomy
    @Tassyomy Месяц назад

    Mliomba Msamaha Wa Nini Na Ikiwa Fujo Hamjatufanyia Mbwa Nyie Tulieen Yaan Mkitaka Muondoke Kwa Aman Hii Mech Msishinde Tena Mkubali Kufungwa Mkishinda..Maanina Ninyi Chamoto Mtakiona....🤪

  • @HappyLongRiver-eo2ue
    @HappyLongRiver-eo2ue Месяц назад

    Kazi kesho wanayo kenge ai

  • @sultanmbogo860
    @sultanmbogo860 Месяц назад

    huyo mmama anaongea nini viongozi wamekiri kosa yeye anakataa hawajafanya vurugu

  • @FrankKikambako
    @FrankKikambako Месяц назад +6

    Wakongo lini mlishawahi kuwa na ustaharabu hata wa wenyewe kwa wenyewe

  • @Esther-v9s8n
    @Esther-v9s8n Месяц назад

    MSITUTAJE SIMBA NI LEVEL NYINGINE WEWE

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Месяц назад

    Duu Huyu Mwanamke mkorogo umeenea hadi kwenye Nanii. Sura ina mabaka . Anaonekana ni mjuzi wa kusuka kwenye Nanii umbile lake anaonekana kazee sababu ya mkorogo.
    Kajitetea Mwacheni YANGA tuna Amani hatuwezi fanya uupuzi wanajua uupuzi ni Wale Wang'oa Viti

  • @Aed126
    @Aed126 Месяц назад

    Wakongo man wastaarabu hapo utuache 😂

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y Месяц назад

    Haina haja ya kulipa kisasi sisi si washamba mashabiki walipihwa kweli nnae rafiki yangu hadi simu aliporwa

  • @Macamp312
    @Macamp312 Месяц назад

    Hv hizi media wanalipaa hawa waandishii waooo maana wanauliza maswali ya ovyo ovyoo tuu hawana creativity ya maswal ambayo yanamfanyaa mtu kufungukaa😂😂😂😂

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 Месяц назад +2

    Nyie mlienda kulewa kucheza mpira au kulewa

  • @mwinyiali3467
    @mwinyiali3467 Месяц назад

    Uyo dada mkologo umempunguza akili ya kufikiria

  • @MwijaiAdam
    @MwijaiAdam Месяц назад

    Wanaongea upuuzi hao yanga wamekuja kwenu nyinyi ndio wenyeji yanga ni mgeni unatakiwa umlinde mgeni wako kivyovyote vile leo mgeniwako anavuliwa viatu kwako unasema hakukutokea vujo mara unasingizia lupopo aliekwambia congo kunaustarabu nani waache kujitetea uwongo

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine Месяц назад

    Mazembe muwe makini yanga ni wahuni na ni wachawi mno

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Месяц назад +1

    Lazma na nyie tuwapige, Ilikuja timu ya Taifa huko mkawapiga, wamekuja Yanga mkawapiga, nyie ham'badiliki , j'mosi TUTAWAPIGA , hatuwaachi

  • @khamismufhihir4182
    @khamismufhihir4182 Месяц назад

    Piga waoo

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 Месяц назад

    Pigeni hao mikundu yao wanajitetea nini mbona sisi walitufanyia vurugu kwao wanajitetea nn mbwa hao

  • @Elizabethdaniel-y2u
    @Elizabethdaniel-y2u Месяц назад

    Vyura tulieni mashindano ya kimataifa ndivyo yalivyo acheni kuliax2

  • @stevensosipita
    @stevensosipita Месяц назад

    WAJINGA SANA NYIE UNAKATAA. NINI MMETUFANYIA. FFUJO. MIDIA. ZOTE ZIMEONYYESHA?

  • @AziziRajabu-mv8jz
    @AziziRajabu-mv8jz Месяц назад

    Alikuja kiboko ya wachawi akatutapeli hatujasema tumeenda congo mmetuibia alafu mnasema nyie ni wastaarab aloo atoki mtu sarama

  • @motsolamotsolasanga1965
    @motsolamotsolasanga1965 Месяц назад

    Ata mkijitetea vp mtatutambua mkifika temeke

  • @espoiraklonda8664
    @espoiraklonda8664 Месяц назад

    jaribuni kupiga wandugu zetu halafu mjue mashindano ya kimataifa bado yangali mtakuja congo msubiri mtayaona

    • @victorvancharlz
      @victorvancharlz Месяц назад +1

      Tukija mjue na nyie mtakuja Tena. Tutachowafanya hamtaamini

    • @officialfabiantz5938
      @officialfabiantz5938 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂​@@victorvancharlz

    • @MmandaNicetas
      @MmandaNicetas Месяц назад +1

      Kabisa @victorvancharlz

    • @AminaFadhili-qe3et
      @AminaFadhili-qe3et Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂🐸🐸Chula na shoga yake. Mbona mitisho Tena

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma Месяц назад

    Pesa za Jezi,biashara ya dadaetu mkampora

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 Месяц назад

    Inadaiwa askari wenu pia walishiriki kuwafanyia vurugu Yanga, askari wenu si watu wema. Polisi wenu kwa nini waliachia tu hiyo hali!

  • @SalumMakalani
    @SalumMakalani Месяц назад

    Uyu mkorogo kaoga na kunywa

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Месяц назад

    Pigeni hao warudie huko huko Aurport

  • @JafariMohamed-n5j
    @JafariMohamed-n5j Месяц назад

    Mnalo tu nawala sio kwenu

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Месяц назад

    Nyie wakorofi tu,ni wagomvi tu

  • @neddysinkala2154
    @neddysinkala2154 Месяц назад

    Tulia dawa iwaingie mbwa NYIE

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 Месяц назад

    Kuweni makini yanga kila kitu kinarekodiwa mtajikuta mtegoni

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 Месяц назад

    Hawa wafutwe huko hotelini wawekeqe dawa walale uwanjani wote wachezaji na mashabiki.

  • @EdsonMartin-e3k
    @EdsonMartin-e3k Месяц назад +1

    Siku zote jambo lilivotokea, juzi hapa ndo muje muombee msamahaaa nyau kwel nyiee mnatuona sisi mazoba eeeeh!! Mtajuaa hamjuiiiii

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 Месяц назад

      Nilikuwepo uwanjani mlifanya vurugu na mkachana ngoma za hamasa za yanga

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Месяц назад

    Kwani uko kwenu hakuna police? Imekuaje mpk wakaoigwa na kuibiwa!! Washenz

  • @bodyaman
    @bodyaman Месяц назад

    Acha UFALA nyie mbona mlileta vurugu kule LUGBUMBASH

  • @FatumaMwage
    @FatumaMwage Месяц назад +1

    uyo ndoyule mtengezaji mkorogo marufu sura kam imeeditiwa

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Месяц назад

    Unajua kiswahili vizuri sana.ila mtakoma ubishi

  • @mubarakasaid4626
    @mubarakasaid4626 Месяц назад

    mulivo tufumuwa kwenu jee leo mumekuja muna anza kujihami mumeyakanyaga mama mkologo huo 😂😂😂

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Месяц назад

    Ndio mkorogo au kuna shida nyingine

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum Месяц назад

    tatizo wakongo washazoea heka heka

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 Месяц назад +1

    Mbona una raia pacha usoni 😂😂

  • @mwajabu13
    @mwajabu13 Месяц назад

    Mnaustaarbu gani

  • @mwinyiali3467
    @mwinyiali3467 Месяц назад

    Atuna udugu na wacongo sisi kama mbwai ni mbwai

  • @robertmasinde6761
    @robertmasinde6761 Месяц назад

    Nyie mlifanya nn kipigo kipo pale pale usijitetee yaani hata mkitufunga na sisi tutawapiga

  • @LongnusNambole
    @LongnusNambole Месяц назад

    Mzembe hawakufanya vurugu ila wakongo wamefanya vurugu kwa yanga

  • @joharimtango4986
    @joharimtango4986 Месяц назад +1

    Duh! Huo uso umeunguzwa balaa😂😂

    • @nelsonmgaya1490
      @nelsonmgaya1490 Месяц назад +1

      Mkorogo haujawahi kumwacha mtu salama!!

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga Месяц назад +1

      Mkorogo huo dd umembakua😂

  • @daudpius130
    @daudpius130 Месяц назад

    Huyo krimu imeunguza ubongo wake haelewi chochote

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v Месяц назад +1

    Huyo mkorogo,

  • @thejoeclassicsoldier
    @thejoeclassicsoldier Месяц назад

    Duh, alivyojichubua hatari

  • @monicanatai144
    @monicanatai144 Месяц назад +1

    Mkorogo

  • @BabaNuria
    @BabaNuria Месяц назад

    Uyo mm anapaswa atiwe vidore ya mkunduni anasema yanga awaja faniwa vurugu au nyinyi wasenge murokaa Ap munamuoji Muna mchekeya t nime amini tanzaniya kichwa cha mwenda wazimu mchekeeni t ira tuna msubiriya kizanj ataereZa yote wariyo kafanya kwao

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v Месяц назад

    huyo dada ni mcheza bondia nn maana si kwa uso huo

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 Месяц назад +1

    Jumamosi tunawapasua

  • @didaskatumbaku4007
    @didaskatumbaku4007 Месяц назад

    Ninyi wasndishi wa Bongo mna usengerema sana.

  • @godongladnes-kn7ei
    @godongladnes-kn7ei Месяц назад

    hakuna fimbo ziko pale pale

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Месяц назад

    Wew mama kwanin umejichibua hivyo?

  • @LinusKyando
    @LinusKyando Месяц назад

    Na NYIE mkifanyiwa VURUGU KESHO WATAKUWA NI SIMBA?

  • @User255tv
    @User255tv Месяц назад

    Wapigwe tu.

  • @maselemusic8657
    @maselemusic8657 Месяц назад

    Hakuna wakongo hapo. Wanaongea kiswahili kimenyooka hvo??? Subutuuuuuu.

  • @NuhuLameck-r1g
    @NuhuLameck-r1g Месяц назад

    Hapana hilo
    Mlifanya vurugu

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 Месяц назад

    Hayo maneno yanaweza kuwaponza lakini poa yanga twende gusa kwao 5 bila

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 Месяц назад

      Chukua hii itakusaidia mbeleni. Yanga mkienda na marikeo yenu ya gusa achia mtaenda kufungwa kama mmesimama, TP mazembe sio fountain gate na Kayoko hayupo huko club bingwa

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Месяц назад

    Basi na hapa sio sisi ntakojolea

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 Месяц назад

    Nawao wapolwe wasilete uruma hapa

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 Месяц назад

    Hayo wambieni mashabiki wenu

  • @FaridaMohammed-f3b
    @FaridaMohammed-f3b Месяц назад

    Atakubal na tunawapiga

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s Месяц назад

    Acha ujinga dada utachochea hasira bure,unakataa hawakupigwa watu wakati ndo hari iliyokuwepo

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 Месяц назад +1

    Usijitetee tulia dada wewe hii ñdio tantanzani

  • @AnethKauzen-yz1ws
    @AnethKauzen-yz1ws Месяц назад

    Mpaka nasisi tuwarudishie titawapiga

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 Месяц назад

    😅 wanaogopa kichapo ndani ya basi

  • @AminaKhamis-w9k
    @AminaKhamis-w9k Месяц назад

    Walishuka mashetani au majini kuwafanyia fujo. jipambanueni na jikosheni ila letu rohoni watanzania.

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 Месяц назад

    Mnataka muwapandishe basi la uvumba wamestuka

  • @amanedwin2082
    @amanedwin2082 Месяц назад

    Hawana adabu hao wacongo

  • @Veni584
    @Veni584 Месяц назад

    Mlichukua mpaka viatu

  • @AndasoniPetro
    @AndasoniPetro Месяц назад

    Nanyie lazima mpigwe makuma nyie

  • @MasoudHamad-m5z
    @MasoudHamad-m5z Месяц назад

    Hatuzoei kuibiwa vp

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma Месяц назад

    Hamna utunyie

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 Месяц назад

    Oya weeee kupgwa kupo pale pale mbwa nyie ona alivyojichubua

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 Месяц назад

    Ila wandishi kumamake zenu

  • @WilonjaHatua
    @WilonjaHatua Месяц назад

    Hawa tutawashenyenta watake wasitake

  • @JumanneChibaladya
    @JumanneChibaladya Месяц назад

    Unaombaje msamah wakati unadai hukufanya kosa?

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 Месяц назад

      Ndio nashangaa!, hawa jamaa wanajihami tuu ila TP ndio walifanya vurugu, Lupopo hawawezi fanya vurugu wakati mechi sio yao. Hawa jamaa wanajihami tuu

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Месяц назад

    Subirini kichapo nyie..