MBWADUKE: Jinsi Tabora United walivyojibu kibabe swali la: "Yanga hii unaifungaje?"/ Tabora ya 6...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 20

  • @yokoi-u3g
    @yokoi-u3g 3 часа назад +4

    Pole kaka nimekusubiri sana leo. Kwema kaka vipi ubora wa yanga

  • @RansMasangwa-w3g
    @RansMasangwa-w3g Час назад

    Hongera Sana mzee was data

  • @Juliusfrancis-k4k
    @Juliusfrancis-k4k 52 минуты назад +2

    yanga msilie bana😢😢😢

  • @MbwadukeStats
    @MbwadukeStats  3 часа назад +5

    KUMRADHII:
    Baada ya kuifunga Yanga Tabora United sasa ipo palepale nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi na siyo ya 5. Bali, ina pointi 17, sawa na timu inayoshika nafasi ya 5 ya Fountain Gate, lakini ikizidiwa kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.
    By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"

  • @AbdallahMapila
    @AbdallahMapila Час назад +2

    Mobeto kazi kaiweza kwa aziz saiv tunaenda kwa pacome

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 часа назад +1

    MBWADUKE UPO BORA SANA KWA UCHAMBUZI.

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 28 минут назад

    Pole ndugu mchambuzi leo umeumia vbaya mno

  • @Sam-Pozzeh
    @Sam-Pozzeh Час назад +1

    Tumeumia lkn YANGA TUKO IMARA

  • @KwanduLimbu
    @KwanduLimbu 2 часа назад

    Mbwaduke tuko pamoja

  • @BRUNOMAGANGA-w4r
    @BRUNOMAGANGA-w4r 40 минут назад

    Hii ndio maana ya kikosi kipana kwo goog try,kiufupi wamenogewa na asali ya unyamwezini

  • @AbdallahMapila
    @AbdallahMapila Час назад

    Saiv tutakua tunadeal na bacca tuuuu

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 2 часа назад

    yanga wachezaji ni 3 tuuu.
    Bacca IBRA, boka shadrak, Yao kwasi. wengine wote vizibo

    • @EdwinAdAstra
      @EdwinAdAstra 2 часа назад

      Hadi Dick Job unamkataa?

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 20 минут назад

      SIO vizibo Ni UTOpoloooo

  • @beatussagalani1397
    @beatussagalani1397 3 часа назад

    Kaka wewe ni mchambuzi sahihi kutokana na uchambuzi wa kabla ya mechi na mechi ilivyokuwa ndo yaliyotokea.

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 Час назад

      Wachezaji wa kibongo hawana uwezo kabisa waliocheza jana, kibabage, sureboy, mudathir, nkane, hawa ndio walikuwa wanaharabu mashambulizi ya yanga

    • @richardkayanda2317
      @richardkayanda2317 Час назад

      ​@@charlesmwasi7646nkane kahusika vipi kwenye magori ya yanga?

    • @richardkayanda2317
      @richardkayanda2317 Час назад

      ​@@charlesmwasi7646max nzingeri anauwezo wa kupanda na kushuka lakini bado mrifungwa, kwa azam mlikuwa wote bado mkafungwa usitafute vichaka kaka .