OTHMAN MASOUD ANAVOWAFUNGUA MACHO KILA LEO VIJANA (PART 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 2 месяца назад +4

    Mashallah hichi kichwa yuko vizuri katika historia❤😊

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 2 месяца назад +1

    Inaumiza sana kwakweli alla tuvuushe tupo kwenye mateso na manyanyaso

  • @bindawood978
    @bindawood978 2 месяца назад +1

    Huyu akigombea urais atapata kura nyingi mpaka mwenyewe asangae

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 2 месяца назад

    Hii namba ya kazi hii namba ni ubaya ubwela ahsante kiongozi wangu alwah akupe maisha utuvuushe katika bahari nyeusi baba

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 2 месяца назад

    Oyee 2025❤❤

  • @zahorfaudh-dt9fl
    @zahorfaudh-dt9fl 2 месяца назад +1

    Kabisa

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 2 месяца назад

    ❤❤❤ndio baba

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 месяца назад

    Chama chenu kinatokea Tanganyika na nyinyi ndo mkajiunga nacho,hamna cha kutwambia kuhusu mamlaka kamili.

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 2 месяца назад +1

    Ccm washazoea mauwaji kilasiku wanapanga mauwajitu hawanajengine

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 2 месяца назад +1

    Hap marahii ccm kwisha kwish kabisa nyanganyanga sisi act wazalendo saiv ubay ubwela tu zanzibar kwanza leo na kesho

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 2 месяца назад +1

    Kweli lkn kwanini south africa wasiwe na propaganda kama za hapa znz utasikia mapinduzi we mapinduzi sasa huu mfumo wa vyama vingi unakazi gani na hayo mapinduzi yasioisha yana nafasi gani kwani mapinduzi yamefanyika znz tu peke yake iwe kioja? Ni kungan'gania madaraka tu basi kwa kisingizio cha mapinduzi.

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 месяца назад

    Sisi tunaongozwa na viongozi ambao wanahitaji kuongozw ili waweze kuongoza watu halaf ubaya zaid mioyo yao ishakufa vimebakia viwiliwili tu

  • @aliyabdullah1633
    @aliyabdullah1633 2 месяца назад

    Kwa ccm wala hawajali maneno mnayoyaongea wako radhi kuuwa ili waendelee kukaa madarakani pasipokua na tume huru na katiba mpya bs musahau kua na uchaguzu huru tz