Diamond got a lot of respect Respect made him the best artist from the East and i believe he is the best in Africa and i still believe he gonna be the best in the world
Yan kitendo cha kuona jina la diamond ndio niko play nisikilize niivyotu, na hamo simpend kwasabab ya kutofautiana na simba ila kipindi achatofautiana nilikua namkubal sana, kwahy akaechini ajitafakali juu ya ilo
Hamo anatakikana atulie afanye mziki wala asigombane na dai mambo yake yataenda vizuri .hamo lazima ajitafakari sasa hivi anashuka hana streems nyingi kama nyuma ndio anaanza kushuka taratibu lazima ujiangalie
kwani amegombana lini na dai 🤔🤔🤔🤔mimi ninacho kijua Harmonize alisha chafuliwa jina kuanzia siku ya kwanza anatoka wcb ndio maana hadi sasa watu wengi ata Harmonize aseme nini haiwezi kubalika na watu kwa maoni yangu mimi ndio maana Harmonize yeye hunyamaza kipindi wolper anamsema Harmonize kwenye interview zake wengi walichukulia kua Harmonize ndie ana makosa hadi aliposema ukweli ivo ata sasa aseme kilichotokea yeye kutoka wcb 90% watasema niuongo trust me we have to balance haya mambo
ukibalance matukio yote utakuja pata jibu maana hakuna anaejua sababu kubwa ya Harmonize kutoka wcb na tena mbona Harmonize anamheshimu tu diamond ila sie mashabiki ndio tunaona hana heshima maana tayari alisha onyeshwa kwa jamii kua nimbaya so lazima tu ataonekana mbaya kwa kila mtu alafu hana mashabiki kama wcb ndio maana Harmonize watu wanamchukia sana trust me Mungu hamwachi mja wake 🙏🙏🙏🙏
Kwama shabiki nakumbuka mond alianza kurushiwa makopo but saizi anamashabiki Kwahiyo na hamo kwa kivyangu naona mashabiki tupo na mungu atamusimamia kwasababu hana ubaya wowote ule
Ogopa sana mtu anaesahau alipotoka ogopa sana mtu anaependa kuonewa huruma na jamii lengo kumfanya mtu anaemuogopa achukiwe na jamii ... huyu mmakonde ana charecter za aina hiyo ... majungu na fitna
@@emmilemalewa4257 sawa hope your 100% perfect even diamond hayuko perfect kwanini hao watu wako karibu nae kila siku kumsakama mwezie sema tu diamond anacheza BEHIND THE SCENE so anaonekana kua perfect mbele za watu all in all #NOHUMANISLIMITED
Mm ni shabiki wa diamond ila namuerewa muhindi wa toreo la mwisho😍😍😍😍😍👌👌👌👌👌
⭐⭐⭐
Diamond got a lot of respect
Respect made him the best artist from the East and i believe he is the best in Africa and i still believe he gonna be the best in the world
Kwaajili Ya Jina La Diamond Ndo Mana Nipo Hapa
Kweli kabisa
Kbs
Yan kitendo cha kuona jina la diamond ndio niko play nisikilize niivyotu, na hamo simpend kwasabab ya kutofautiana na simba ila kipindi achatofautiana nilikua namkubal sana, kwahy akaechini ajitafakali juu ya ilo
akili the brain unaonekana auna njaa ya maisha kaka mana unazidi ku shine kila leo
Jina la diamond limenileta apa
Kwa ajili ya diamond
Niko apa kwa ajil ya diamond platnumz mengine sitak kuskia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama mie dia
@@sharonchristian3711 same here
😁😁
Nipo kwaajil ya diamond
Umesema ukweli Hamo ilikuwa atulie ajue mtu aliemtoa hao ulionao mbona hawajakutoa leo ukishuka marafiki zako wote watakukimbia
Muwe munatyuwekea like bas
Diamond
Diamond tu
Hamo anatakikana atulie afanye mziki wala asigombane na dai mambo yake yataenda vizuri .hamo lazima ajitafakari sasa hivi anashuka hana streems nyingi kama nyuma ndio anaanza kushuka taratibu lazima ujiangalie
kwani amegombana lini na dai 🤔🤔🤔🤔mimi ninacho kijua Harmonize alisha chafuliwa jina kuanzia siku ya kwanza anatoka wcb ndio maana hadi sasa watu wengi ata Harmonize aseme nini haiwezi kubalika na watu kwa maoni yangu mimi ndio maana Harmonize yeye hunyamaza kipindi wolper anamsema Harmonize kwenye interview zake wengi walichukulia kua Harmonize ndie ana makosa hadi aliposema ukweli ivo ata sasa aseme kilichotokea yeye kutoka wcb 90% watasema niuongo trust me we have to balance haya mambo
@@Ashley_family123 asante
@@Ashley_family123 heshima yako🤝🤝
@@Ashley_family123 true kabsa kondeboy mkariee sanah....
Nipo kwa ajili ya daimond
Nakumbuka wimbo wako wa reijina
Kwa ajili ya Harmonize.
Weweee💪💪
Umeongea poenti kabisaa
Nipo hapa kwajili konde 😂😂
Hapa kanileta mod
Diamond anajua bro
Nimekuja kwasababu ya simba
Diamond ndo kanileta😆😆
Akili Akiongea sauti yake kama mbosso kama wametoka usingizini
Kuingia katika mambo ya watu unatia aibu una usongo sana na pesa
Nilijuwa tu sauti ya kipindi cha maria ni huyu jamaaa ameuwaa sana kwa mariaa ya kitaaa+971
Hufai akili huna unatoa siri za watu
Muhindi kaona uhindi haunapango aingie uswajili jibaba zima
Kuhusu harmonise nani kakuuliza usimtie aibu
ukibalance matukio yote utakuja pata jibu maana hakuna anaejua sababu kubwa ya Harmonize kutoka wcb na tena mbona Harmonize anamheshimu tu diamond ila sie mashabiki ndio tunaona hana heshima maana tayari alisha onyeshwa kwa jamii kua nimbaya so lazima tu ataonekana mbaya kwa kila mtu alafu hana mashabiki kama wcb ndio maana Harmonize watu wanamchukia sana trust me Mungu hamwachi mja wake 🙏🙏🙏🙏
Kwama shabiki nakumbuka mond alianza kurushiwa makopo but saizi anamashabiki Kwahiyo na hamo kwa kivyangu naona mashabiki tupo na mungu atamusimamia kwasababu hana ubaya wowote ule
Ogopa sana mtu anaesahau alipotoka ogopa sana mtu anaependa kuonewa huruma na jamii lengo kumfanya mtu anaemuogopa achukiwe na jamii ... huyu mmakonde ana charecter za aina hiyo ... majungu na fitna
@@emmilemalewa4257 sawa hope your 100% perfect even diamond hayuko perfect kwanini hao watu wako karibu nae kila siku kumsakama mwezie sema tu diamond anacheza BEHIND THE SCENE so anaonekana kua perfect mbele za watu all in all #NOHUMANISLIMITED
Mbona mm nikijaribu kuzitafuta hizo nyimbo za huyu muhindi wetyu sizipati au kuna maerekezo yapi🤔🤔🤔tyujuzeni basi sky
Search akil the brain..utazipata
Zipo mbona na juz katoa mpyaaa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
Niko apa kwajili ya hamo but sijawahi kusikia hamo alipo msema vibaya mond mashabiki ndo wabaya walikuwa hawataki kuona hamo akisongo mbele
We Kondoo Kwel 😂Et Hajawai Musema Vibaya Hahaa Yani Mashabik. Wa Hamomavi Ote Mataila😂 Kama Yeye
@@movieplusswahili1 wapiii ebu tujuze
@@zou7470 Kwenye Manyimbo Yake
@@movieplusswahili1 kwenye manyimbo tena nilijuwa nipengine🤣🤣kwasababu naona niote wanaimbana
@@zou7470 Alie Anza Ni Nani😂