Nabarikiwa sana Kwa mafundisho haya,.NAOMBA KUSAIDIWA HILI :- Mimi Nina duka lenye mchanganyiko wa bidhaa mbalimbali,Ni Kwa namna gani naweza kukokotoa Zaka ili Kila juma nimrudishie Mungu? Asante sana .
Njia nzuri tenga kiasi kwa siku mfano elfu 5 then kuanzia tarehe 1 hadi 30 then hiyo ndo faida yako na ndo sehemu ya matumizi yako hivyoo kama ni 150000 toa 0 moja then inabaki elfu 15 ndo zaka hiyo umtolee bhana. But nimetoa tu mfano hapo kwenye kiasi so ww angalau ukubwa wa biashara yako na hela ambayo ukitoa haitaleta shida kwako( kuyumbisha biashara)
Mungu atusaidie maana kweli kabisa hatutoi Kama Bwana anavyotaka. Mungu nakuomba ubadilishe moyo wangu na waumini wenzangu
Amen Mungu akubariki tanahitaji kubadilika
Mungu turehemu
Nabarikiwa sana Kwa mafundisho haya,.NAOMBA KUSAIDIWA HILI :-
Mimi Nina duka lenye mchanganyiko wa bidhaa mbalimbali,Ni Kwa namna gani naweza kukokotoa Zaka ili Kila juma nimrudishie Mungu? Asante sana .
Njia nzuri tenga kiasi kwa siku mfano elfu 5 then kuanzia tarehe 1 hadi 30 then hiyo ndo faida yako na ndo sehemu ya matumizi yako hivyoo kama ni 150000 toa 0 moja then inabaki elfu 15 ndo zaka hiyo umtolee bhana. But nimetoa tu mfano hapo kwenye kiasi so ww angalau ukubwa wa biashara yako na hela ambayo ukitoa haitaleta shida kwako( kuyumbisha biashara)
Mungu tusaidie
Kwa kwelii Pr. Semba MUNGU akubariki sanaa
Akuongezee NGUVU YA ROHO MTAKATIFU kufanya Injili vyema