Kongamano la ugonjwa wa kisukari langoa nanga katika kaunti ya Mombasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2024
  • Kongamano la ugonjwa wa kisukari limengoa Nanga kaunti ya Mombasa. Zaidi ya wajumbe 400 wamekongamana kujadili mikakati ya kudhibiti ugonjwa huo pamoja Na kutoa uhamasisho ili kuhakikisha wakenya wamejitokeza na kujua hali yao ya afya. francis mtalaki anahudhuria kongamano hilo na anaungana nasi mubashara kwa taarifa kamili.

Комментарии • 2

  • @alieliasmwakundie165
    @alieliasmwakundie165 4 месяца назад

    Sio ,wakenya wote walio soma. Plz ongeni lugha ya taifa, nasi tupate kuelewa. Ugonjwa hushika alio soma na wasio soma. 👋 👋

    • @abduratwaha3945
      @abduratwaha3945 3 месяца назад +1

      Kwani wameongea lugha ya wachina?😂😂😂😂