MAPYA KIFO cha MPIGAPICHA wa MILLARD AYO - ZUCHY - JESHI la POLISI LATOA TAARIFA RASMI…

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 апр 2024
  • MAPYA KIFO cha MPIGAPICHA wa MILLARD AYO - ZUCHY - JESHI la POLISI LATOA TAARIFA RASMI…
    Miongoni mwa habari za kusikitisha zilizoteka mitandao ya kijamii ni kifo cha mpigapicha na mwandishi wa habari wa Millardayo na Ayo TV, Noel Mwingila almaarufu Zuchy.
    Zuchy alifariki dunia alfajiri ya jana Aprili 26, 2024 baada ya kupata ajali mbaya ya pikipikii maeneo ya Makonde - Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
    Kwa mujibu wa mashuhuda, pikipiki aliyokuwa amepanda Zuchy iligongwa na gari ambapo baada ya kuanguka chini, alikanyagwa na gari lingine.
    Baada ya kifo hicho kumekuwa na taarifa nyingi mitandaoni ambapo mmoja wa watangazaji wa AYO TV, Vido Vidox anasema jamaa huyo alilala chini kwa muda wa saa nne bila msaaada na Polisi walipoitwa walidai gari halina mafuta.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 29

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 Месяц назад +6

    😭😭😭😭😭💔💔 chozi limenitoka tuliobaki tumche Mwenyeenzi Mungu hatujui siku

  • @HappynessMwanjelile
    @HappynessMwanjelile Месяц назад

    Mwenyezi mungu ailaze roho yamarehemu mahari pema pepon, Poleni wafiwa wote

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад +1

    Inalillahi wainailahi rajuun..

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад

    Pole ni mipango ya Mungu tusilaumu sn RIP kk

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 Месяц назад

    Ila This country🙌

  • @goodluckjulius2181
    @goodluckjulius2181 Месяц назад +1

    Poleni kwa msiba, lakini milard ni jina kubwa sana, fanya hata kukopesha wafanyakazi wako walahu corrola ili kuwarahusishia usafiri, wewe unatumia DISCOVERY 4 ile, kumbuka hao wafanyakazi wako hata kwa mikopo ya magari tu ili uwasitiri. Hata wewe ulikuwa mdogo some point, kina Gadner (R.I.P) walikuinua.

  • @MunaShaibu
    @MunaShaibu Месяц назад

    Aya ni matakataka jmn ivi mtu awezi kupewa msaada mpk police wafike Mimi sitaki jmn mtu atafutiwe usafiri jmn akapate uduma ayo mengine yatafata nini hiki Tanzania tunapoteza kijana mdogo tegemezi la familia inauma sana pole familia poleni sana sote tutalejea kwa mungu upunzike salama tulikupenda na mungu amekupenda zaidi 😭😭🙏

  • @MariaFilibert-wf3om
    @MariaFilibert-wf3om Месяц назад

    Rest in peace

  • @MunaShaibu
    @MunaShaibu Месяц назад

    Watu wote mnamsubili policy jmn nn hiki Tanzania lkn jmn mtu yupo chini anatapatapa mnamchungulia tu jmn

  • @user-qd2tp2mb5l
    @user-qd2tp2mb5l Месяц назад +1

    Innalilah waina ilaih rajiun pole kwa familia yake
    Ila jesh la police kwakweli mwenyez Mungu awaongozee baadhi yenu mmekula viapo na hamna hofu ya Allah kabisaa

  • @chimamilion
    @chimamilion Месяц назад

    Dh😢 kniuma uyu kk jpo cmjui

  • @r9ayyansaid652
    @r9ayyansaid652 Месяц назад +4

    Waongo wanajitetea yaaani watu wote walokuwa hapo wote waongo wanajitetea tu au kama walikuwa wamelala waseme ukweli maana walikuwa busy nafikiri mwezi mzima kujiandaa sherehe ya uhuru

  • @EvangelistJsolomonMkwata
    @EvangelistJsolomonMkwata Месяц назад +1

    Mimi nilikuwepo ila polis wetu mungu awasaidie

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Месяц назад

    Raia wa ajabbu sana kwanini wampeleke mwenzao wamuache huyu??

  • @rosemneney3244
    @rosemneney3244 Месяц назад

    Mmeshatoa hukumu kua taarifa hizo ni za uzushi na za uongo mnatakanini tena

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 Месяц назад +1

    Ndyo zao askar bila elfu 20 hawaj kama sio kwel masaa yote wakuwa wap???

  • @everlyne8595
    @everlyne8595 Месяц назад

    Ishu co police ukimchukua km mtu kafa waez bebeshw kesi mpk uchunguz ufanyike

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or Месяц назад

    Hivi nchi hii inamatatozo gani??
    Pesa zinatolewa kwa sherehe lakini magari za polisi hazina mafuta.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Месяц назад

    Hata hamueleweki duh

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Месяц назад

    Lala salama dogo pole kwa familia

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 Месяц назад

    Akua amuwapigi mawe ao police umbwa ao😢😢yao niayoayo

  • @edsonkennedy8027
    @edsonkennedy8027 Месяц назад +1

    habari za kutisha ?.aisee hizi media mna matatizo yani kwani wanaokufa sio binadamu.

  • @wamisangi2801
    @wamisangi2801 Месяц назад

    Ndio utaratibu huo? Majeruhi wasichukuliwe kwenda hospitali wasubiri polisi waje. Badala bodaboda kufanya juhudi za kumpleka hospitali waokoe maisha yake wanasubiri polisi waje na majeruhi afe. Wakati huo huo tuna aminishwa bodaboda wengi siku hizi ni wahitimu wa vyuo vikuu na wanaitwa maafisa usafirishaji.!!!!

  • @Makopamedia
    @Makopamedia Месяц назад

    Mpaka mtu afe ndio atapostiwa wewk nzima... nchii hii baba

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug Месяц назад

    Polisi walidai gari haina mafuta polisi ni kweli?