Matukio 2020 | Gavana Joho apasua mbarika kuhusu leo na kesho ya siasa na uongozi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2020

Комментарии • 358

  • @fahmufahmi27
    @fahmufahmi27 3 года назад +25

    Wewe ni mnafiki usha rambishwa bahasha ukauza wapwani

  • @fly69jamual62
    @fly69jamual62 3 года назад +5

    Joho was our pride of Mombasa county but he got so drunk with power, control and corruption, he has failed us miserably! he's not the same Joho walai, he has been partying with boys in TZ and in Dubai hatari mno!

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 года назад +1

    I have tromendous for you Ali Hassan Joho by Steve Irungu Jermaine

  • @halimamis4236
    @halimamis4236 3 года назад +4

    Mombasa joho huthaki pitaaa kuleeeeeee.....Halloooooooow kinyaunyau kikia cha pweza wayathaka mambo nahawatayezaaaa,...Mpoo vijusooooo😜🔥👌

  • @mtumzima314
    @mtumzima314 3 года назад +5

    hongera mzeeeeee

  • @rechealmugure9198
    @rechealmugure9198 3 года назад +11

    Huyu akiwa prezzo tutapewa madawa kama za polio

  • @IssaMRajab-su5lh
    @IssaMRajab-su5lh 3 года назад +9

    Mr katarina, we are tired. The city is dirty and your doing nothing apart from dancing to katarina😪

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 3 года назад +8

    Mimi kama mcoast joho is my leader and I respect whatever he has done he has done what he has and only Allah can judge him...I respect you my leader

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 года назад +1

      selling drugs to the coastal youths?

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 года назад

      @@deepsea2141 alikuuzia wewe mbwa koko katombwe mbele uko🖕🖕🖕🖕

  • @nicknyanje1447
    @nicknyanje1447 3 года назад +20

    Seriously mombasa chafu....taka mpaka kando na katikati ya main road...wakati wako kwisha

    • @gugahmediaafrica9405
      @gugahmediaafrica9405 3 года назад

      Wewe waishi mombasa kweli....

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Hata usiongee ya taka maendeleo na mambo muhimu hajafanya huyu. Uchumi wote wa pwani umeisha alafu anahepa eti yeye hafaidiki na SGR Mtsweew

  • @faizasaleh5854
    @faizasaleh5854 3 года назад +5

    hatukutaki hatukutaki joho must go

    • @karaniomoit5259
      @karaniomoit5259 3 года назад

      Sema wewe sio sisi bado tunampenda joho

    • @faizasaleh5854
      @faizasaleh5854 3 года назад

      @@karaniomoit5259 ha ha ha mushazowea kudaganywa niambie joho msa hii amefanya nini maendeleo gani

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад +5

    Mungu skufikishe joho mahasidi mungu atawashinda inshaallah

    • @abusaeed9037
      @abusaeed9037 3 года назад +1

      Nathulma hizi anazo zifanya

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 3 года назад

      @@abusaeed9037 mumgu atamlipia swabra lakini isihak ndio chanzo cha yote sio mwadilifu yuafanya kupelekwa sio mwanaume kama mswizwa manshaallah yule ndio mume akiowa ameowa apelekwi yuapeleka ela uyu mmmh

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 3 года назад +6

    What surprise!!! Joho im waiting

  • @suleeeali7581
    @suleeeali7581 3 года назад +1

    Tafadhali mahojiano Rashid ya Kiswahili au kizungu mwambie mheshimiwa Joho

  • @asiathoya7660
    @asiathoya7660 3 года назад +2

    Pole Sana joho kama waita kuwa Prezzo. Una aibu Sana. Watu wanakufa wewe ni kiburi Tu na kupiga domo kizungu usicho kujua. Port ushauza wewe joho huna maana kabisaaaaaa

  • @msiyakwedele828
    @msiyakwedele828 3 года назад +8

    Tambaaaa hukuu time yako kwisha..

  • @victorkibet3022
    @victorkibet3022 3 года назад +13

    Joho has a long way to presidency seat...

  • @aliuali4690
    @aliuali4690 3 года назад +8

    Interview mbovu kama mombasa county ilivyo mbovu ...sheeeeeenzi

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 3 года назад +19

    Hata sema nn na ashajua chuma chake kimotoni kwishaa ww mzee pojooo

  • @rayyanjulliet4694
    @rayyanjulliet4694 3 года назад +12

    Kuliko nimsikize hiki joho afadhali nihesabu manyoya ya mbwa wangu !!....this dude gat so pride in him like a femeo!....ruto aint even ua class ,,uko na umama sana ww

  • @abdimasudi6218
    @abdimasudi6218 3 года назад +11

    Joho is my favorite Governor

  • @emperor7795
    @emperor7795 3 года назад +7

    simba wa pwani maasidi hawana raha lakini InshAllah ya mwenyezi mungu lazima mpwani atambulike safari hii

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      Eti simba wa pwani we ulipewa nn. Hehehe kumbe ndo nyinyi mnaokula maneno. Wapwani tumechoka na huyu joho kabisa kabisa

    • @emperor7795
      @emperor7795 3 года назад +1

      @@habibasalim3092 siezi simama na Mbaraa against Kijana wa pwani na sio lazima Joho yoyote Yule bora ni mpwani ntasimama nae

  • @mohakiluche
    @mohakiluche 3 года назад +4

    Joho umetupa mbao sana walai ww ndio tulitarajia utatukomboa lkn ww ndio umetumaliza walai tena

  • @imaraimara4975
    @imaraimara4975 3 года назад +6

    Joho please explain how BBI will change the lives of common citizen?? If not to benefit certain selfish politicians who only think about themselves and their families.

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 3 года назад +16

    Rashid wacha kupoteza wakati Salim Mvurya ndio mgogo wa pwani joho ametuangusha

    • @tfl4963
      @tfl4963 3 года назад +3

      Joho ndiye kigogo wa Pwani

    • @dozayo0034
      @dozayo0034 3 года назад

      Mvurya ndo kusema nini JOHO ndo KUSEMA!

    • @husseinkazungu5101
      @husseinkazungu5101 3 года назад +2

      Joho ameshindwa kuunganisha mombasa county wabunge Muhammad Ali na Ali mbogo anashindwa kupa support ya wabunge eneo lake

    • @dozayo0034
      @dozayo0034 3 года назад

      @@husseinkazungu5101 abdulswamad mbona ywafanya vizuri,mohamed ali na Mbogo wameshindwa na kazi

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 года назад

      @@tfl4963 Kigogo wa Kisumu

  • @donochienski7917
    @donochienski7917 3 года назад +2

    Gvn. Joho asipoondoa hisia na makasiriko katika nomination za vyama, atafeli. Feelings katika Nyali yet Mohammed Ali was clearly popular, akapoteza. Feelings juu ya chuki kwa marehemu Dori, hadi kuiweka kwa ndugu yake Feisal, yet Feisal was clearly the popular candidate, akapoteza. Toa feelings baba kwa siasa.

  • @aliamirbakar5580
    @aliamirbakar5580 3 года назад +9

    Koongozi wetu king pin joho msambweni tu coast still king pin of coast

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад +1

      Joho Babalawooo 🔥💪🤣

  • @zeinabali5809
    @zeinabali5809 3 года назад +1

    Sikweli wachaa zako kwisha Mombasa chafu sana

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 3 года назад +5

    001 thats why i Like simama na ukweli

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 года назад +8

    Mombasa chafu joho lazima urekebishwe kama ww ni gavana kwanini kazi za vijana wa kuzowa taka na uweke mapipa ya taka ili vijana wapate kazi huna lolote ulolifanya

    • @winniechepkirui3827
      @winniechepkirui3827 3 года назад

      I conquer with you. ...mombasa is so pathetic. ..rubbish all over. ..vijana na dawa za kulevya. ..he could Ave even create job kwa hawa vijana to collect rubbish everyday. .....

  • @mtumzima314
    @mtumzima314 3 года назад +8

    Joho is the Man

  • @fahmufahmi27
    @fahmufahmi27 3 года назад +9

    Adui wa wapwani

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 года назад

      Aliuwa watu?

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 года назад

      @@yusufmwangichannel6692 selling drugs to Coastal youths and he is out roaming free politicking and all this is because Raila Canaan Odinga sanitises him.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Kabisa. Huyu joho ni Adui wa wapwani naaende kwao TANZANIA

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 года назад

      @@habibasalim3092 una nyege na Joho kwao Tanzania wew ndio ulimzaa mbwa koko wew

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@hassanovajunior6972 what can I do with joho. I have my American husband with an original marriage license. Hey come on man. Do not mess with people who you don't know about them. Wait minute who is the so cold Joho to you

  • @saidmfaumekombo8067
    @saidmfaumekombo8067 3 года назад +8

    Hana moja LA maana

  • @deepsea2141
    @deepsea2141 3 года назад +11

    El-Chapo Guzzman Pablo Escobar Sinaloa Los Zetas

  • @H-moneybags
    @H-moneybags 3 года назад +7

    Wewe porojo tu joho kiburi lakini haki na ukweli ndio unaikiuka umefuja pesa ukitaka ukweli uliza ma MCA watasema unavyofuja hela ndio maana mvurya amekushinda kwa sekta

  • @angle3600
    @angle3600 Год назад

    Wanadamu hawana wema, joho amejaribu,wewe unae mtukana joho,kwenu nyumbani hata Huna msaada wowote na pengine kuna jamaa zako wanateseka na wewe mungu amekujalia kipato,toa kibazi kwa jicho lako ndipo ukatoe kwa jicho la mwinzio

  • @isaacchumo
    @isaacchumo 3 года назад +22

    Tulijua atapakaa Hustler Nation tope

    • @stephenomariba109
      @stephenomariba109 3 года назад +1

      Amesema nini mbaya kuhusu hustle nation,, acha utabeli bana🖐️🖐️

    • @bethm6587
      @bethm6587 3 года назад +1

      Hustler nation gani?????

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      Na wala hatamuweza

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@stephenomariba109 amesema

  • @probeez2569
    @probeez2569 3 года назад +12

    joho wewe umeuza watu wa mombasa sasa wataka kuuza kenya utangoja urais sana tena sana

    • @fff1546
      @fff1546 3 года назад

      aliuza nyanyako

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 года назад

      Kina Nani Hao walio uzwa???

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 года назад +1

      @@fff1546 drugs and SGR (after Canaan Handshake) coastal people voted for Joho and those who claimed that no one listened to him and that's why we see this SGR effect is just a damn liar. Coastal people voted for Raila and Joho so after that Canaan handshake, Joho sold Mombasa

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 3 года назад +7

    Mbona hapo SGR Hujatafutia watu job. Nyamazia hukoo hutuambii kitu joho wewe

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 3 года назад +2

    Pojooooo ametiwa Giii

  • @omarabdi7722
    @omarabdi7722 3 года назад +10

    huyu viazi vya rojo, mr pojo asema nini?

    • @mtumzima314
      @mtumzima314 3 года назад

      wacha madharau na matusi

    • @omarabdi7722
      @omarabdi7722 3 года назад +1

      @@mtumzima314 sijamtusi , ramadhan 2020 alitoa pojo na viazi vya rojo oldtown wakati wa lockdown

    • @gugahmediaafrica9405
      @gugahmediaafrica9405 3 года назад

      Kawaida maskini ndio wenye kiburi ndio maana unashindwa ata kufanikiwa

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      Hata sijui

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@omarabdi7722 😂😂😂

  • @mohamedfuad8866
    @mohamedfuad8866 3 года назад +29

    His time is done 🤡💯

  • @kamomaltd1899
    @kamomaltd1899 3 года назад +6

    He speaks his mind. That’s more important.

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 года назад +17

    JOHO HIYO INTERVIEW NI YA KISWAHILI, NA RASHID ANAJUA KISWAHILI, NA UKO USWAHILINI, ni yanini ugandame kizungu usichokijua? KIZUNGU MUACHIE MIGUNA MIGUNA.

    • @emilykithome1036
      @emilykithome1036 3 года назад +4

      🤣🤣🤣🤣 true hajui English alafu anajiuma uma hapo heri Rashid ametumia kiswahili adi mwisho hakuna hata neno moja la kiingereza lkni yeye nikujiuma uma na kujifanya anajua na hakuna analo jua

    • @AliMohamed-wp1op
      @AliMohamed-wp1op 3 года назад +3

      @@emilykithome1036 kweli kabisa dada, madebe matupu ndiyo yanayopiga kelele.

    • @evancejohn1294
      @evancejohn1294 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣 uko funny moha

    • @tatujaphet163
      @tatujaphet163 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣kabisa kizungu mingi

    • @dullaxxheavenambassodor4501
      @dullaxxheavenambassodor4501 3 года назад

      @@AliMohamed-wp1op ausio 👊

  • @TheCelphmade
    @TheCelphmade 3 года назад

    Hongera 001

  • @marashhaajir8291
    @marashhaajir8291 3 года назад +11

    Maneno mataaaaamu! Wakati wako umeisha sasa

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 3 года назад +10

    Umeisaliti pwani

  • @user-kh1sx5hi1e
    @user-kh1sx5hi1e 3 года назад +5

    ww joho ndiyo waota mchana wafikiriya president ni mchezo ama ni pojo kwa uwezo wa mungu ni ruto

  • @madamsossi7411
    @madamsossi7411 Год назад

    Waaaah

  • @ticketmastertips1492
    @ticketmastertips1492 3 года назад +5

    Maulana ambariki joho

  • @saadiaahmed3265
    @saadiaahmed3265 3 года назад +4

    Joho umefanya siasa ya baba na bado unaanguka

  • @samuelmacharia5506
    @samuelmacharia5506 3 года назад +2

    Nilikuwa nimecheki ni kama Governor ako na mask kumbe ni ndevu 🤣💪🏼

  • @karigiamo
    @karigiamo 3 года назад +8

    Personally ...Joho is the least qualified person whom should give opinions about good leadership skills

  • @chikujumat.v1308
    @chikujumat.v1308 3 года назад

    Wewe kwisha ,which bigger fights??Mungu akusamehe .
    Garbage everywhere in mombasa.
    Ukosefu wa maji Mombasa .

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 3 года назад +1

    2022 siasa Bora nilale tuu sielewi yanii na sitaelewa😂😂😂😂

  • @ugaasokhalif4089
    @ugaasokhalif4089 3 года назад +16

    Joho is finished...

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 3 года назад +13

    Nani ameskia kma mimi (MY FRIEND) 😜

    • @joramodhiambo8470
      @joramodhiambo8470 3 года назад +1

      Naona akirud kuwania nyali

    • @fauzishma8033
      @fauzishma8033 3 года назад

      Ndo siasa za kenya kupakana tope wewe ulishawahi msikia Ruto akimsifu Joho wacheni zenu

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@joramodhiambo8470 naona kama hivo lakini nae labda aibe la sivyo hapati ng'o

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 года назад

    Mie niko hapa tu sio kuskiza habari za Siasa, Niko hapa tu kuwaona Wawili Wenu Mkipiga Gym,Healthy First!!

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 3 года назад +3

    Kenya viongozi mmejaa tu na siasa

  • @nelsonalfayo2221
    @nelsonalfayo2221 3 года назад +5

    I like the intellectual honesty in this man...

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 3 года назад +5

    kazi ya madawa yakurevya

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 3 года назад +2

    Fanya zoezi kaka uwongozi wachie viongozi.

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 3 года назад

    Our par Fe naye mob Dali,Nou Paule our Pablo Dali up trade clear, say saline Infini Nou plyale waou non dalo,☝️

  • @hassanmuhumed4722
    @hassanmuhumed4722 3 года назад +7

    001 tosha suldan

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 3 года назад +4

    Kwanza jiulizeni ni kitu gani kilimfanya ampende raisi?

    • @charitykamundi3921
      @charitykamundi3921 3 года назад +4

      C alikatiwa kipande Cha port.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +2

      @@charitykamundi3921 kabisaa sasa tena anatufanya mafala eti sgr na sijui nn haimpi mtu faida

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 3 года назад +1

    Joho Kaza twendee Niko nyuma twende mbele

  • @titusmaara2767
    @titusmaara2767 3 года назад +1

    Mwanaume ni kujichocha,wapwani na wakenya kwa jumla wamechanuka na kuongea mingi haitoshi haiwezi those days are gone

  • @badimwijaa1486
    @badimwijaa1486 3 года назад +11

    Asalaam Aleikum Governor Joho tuko nyuma yako kabisa

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад +1

      Piga kelele kwa Joho babalawo

    • @TheRepublican254
      @TheRepublican254 3 года назад +5

      Uko nyuma yake umtombe au nini?

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад +1

      @@TheRepublican254 mbona waongea Kam mtu hajatahiriwa nyani wwew 🤣🤣🤣🤪👈

    • @TheRepublican254
      @TheRepublican254 3 года назад +2

      @@lovvy854 ni swali tu kauliza... Lol 😁😁 Mwanaume nyuma ya mwingine....

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад +1

      @@TheRepublican254 🤪🤣🤣alaaa nashangaa ivi mtumzima kamwew anaeza ongea ivo 😳

  • @oletip-tipmarion5463
    @oletip-tipmarion5463 3 года назад +3

    Pride comes before a fall

  • @nazasha5584
    @nazasha5584 3 года назад +5

    Me I love you whether years ur sick healthybor not JUST BECAUSE OF Allah may MANY Eyes be defeated Ameen

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 года назад +1

    Joho tena hongera Sana muheshimiwa Hassan Ali Joho wewe ni Simba 🦁🔥🦁

  • @sameerabdallah1020
    @sameerabdallah1020 3 года назад +22

    Allah ndio atakushibda, Joho you are the worst leader in coastal region. You have failed your people na kuwadhulumu kwa kutumia mabavu lakini kaa ukijua utalipwa hapa hapa duniani na akhera Kuna hisabu. Umepatikana na lot of scandals ambazo ni za madawa ya kulevya unaharibu our future generations/raping cases/kula pesa za ummah wanyonge na maskini. Honestly speaking watu kila siku wanakuombea usiku na mchana na kulani matendo na maovu yako. You are not worth to be a leader

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 года назад +3

      Inshaallah Allah will punish this drug dealer who has destroyed coastal youths.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      But I see people still praising him. This Joho is disgusting

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      @@deepsea2141 may Allha curse this joho useless Joho naakwende zake. Sisi tushakujua joho mnafki wa wapwani

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 года назад

      @@habibasalim3092 mtalaaniwa nyie mbwa koko shenzi zenu🖕🖕

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад

      @@hassanovajunior6972 vidole vingine vinane vimekuoteshea wewe mwenyewe.

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 3 года назад +4

    Joho alitia blander coast alipotusi watu wa old town nakusema wafungiwe....joho ukiwa upande wa Raila sahau kuleta coast pamoja..Raila ni mbinafsi sahau story ya unity behind handshake,mnasema bbi na tumbo iko empty na pesa ya covid mlikula

  • @dennismuthengi8240
    @dennismuthengi8240 3 года назад +1

    It is not a barometer. (5'). Wadau alipania kusema Parameter?

    • @samuelcimiyu4181
      @samuelcimiyu4181 3 года назад

      Bro. In this context, barometer is the word. Joho is right...remember we're talking of political climates, heats..

    • @dennismuthengi8240
      @dennismuthengi8240 3 года назад

      @@samuelcimiyu4181 rudi shule

    • @samuelcimiyu4181
      @samuelcimiyu4181 3 года назад

      @@dennismuthengi8240 schools are currently closed bro. Let me wait for next year I go learn come teach you again.😛

  • @mohamedadam7880
    @mohamedadam7880 3 года назад +1

    Uliwaonesha wenzio unyama nawe Allah atakulipa

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 3 года назад +11

    Umeshindwa MSAMBWENI utaweza kenya ww???

  • @tomentiontoomany8773
    @tomentiontoomany8773 3 года назад

    Duel its a sequel pigeon na scrub mziki

  • @mwinyittorajabz7100
    @mwinyittorajabz7100 3 года назад +1

    Chungwa limekua danzi na hawaamini

  • @jeylaniabduqadir1500
    @jeylaniabduqadir1500 3 года назад

    Mjanja endelea 2ivo

  • @taabubrian366
    @taabubrian366 3 года назад +4

    Sultan mwenyewe

  • @gbaba5322
    @gbaba5322 3 года назад

    Nipigie nami nami simu niskie utamu 0001,,wasikutoe roho jamani

  • @chikujumat.v1308
    @chikujumat.v1308 3 года назад

    Matunda ngani????

  • @abdulhakimmohammed4528
    @abdulhakimmohammed4528 3 года назад +4

    Bye bye 👋

  • @Ibrahim-se4mx
    @Ibrahim-se4mx 3 года назад +4

    Zuzutan huyo citizen munkosa kazi nyie

  • @mohajay6697
    @mohajay6697 3 года назад +9

    Rashid Abdhallah heri ungekaa nyumbani badala ya kwenda hoji mtu vitu zenye haziko of all the things ,why didn't you talk of the halt in medical services in Mombasa. Sometimes you these interviews to those people for publicity and make them relevant while we know they are irrelevant to us

  • @soulsoul4046
    @soulsoul4046 3 года назад +1

    Huyu Rahid hafai hata kidogo, interview gani hii? Unatupotezea time.

  • @spacecoma7931
    @spacecoma7931 3 года назад

    Citizen TV lost its grip long time ago.

  • @faizasaleh5854
    @faizasaleh5854 3 года назад +2

    allha atakushinda hupati kiogozi chochote dhulma tupu wala hakuna maendeleo yoyote unafanya na coast general ni watu wa dubei ndio wameleta msaada sahau joho

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Haoni hata haya akisema Eric anataka unganisha wapwani. Joho wewe ndo waota. Uliona Muhammed Ali Alishinda na mlimfanyia vituko mbona akapita. NYOOO

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Mbona SGR Hujatafutia wapwani job kwenda wewe

  • @Aasiakhaliif
    @Aasiakhaliif 3 года назад +1

    Dr Amkeni akowapi amweke in his place 🤣🤣🤣🤣

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 года назад +1

    King Joho wewe ndio SIMBA wa Pwani Hizi mbwa zengine zisikutishe 💪💪💪💪

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 3 года назад +5

    Leave about interview. Just on comments tells how joho is useless and rejected

  • @josekilei2129
    @josekilei2129 3 года назад +1

    Joho nikupeshe 5000

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 3 года назад

    Joho km anatufundisha kizungu anaulizwa maswali anajibu kizungu alafu ana tafsiri hii nikuonesha kwamba tunakiongozi mwenye kutudharau.yaani anajifanya amesoma sanaaa lakini hajui

  • @jecynekesachannel2489
    @jecynekesachannel2489 3 года назад +2

    which country..Mombasa country..have not seen you in other part of kenya.

  • @johngitema9801
    @johngitema9801 3 года назад

    Problem with our leader they alz see themself asantenii snaaa

  • @gbaba5322
    @gbaba5322 3 года назад +4

    Joho wangu mtu ,nipe dili mwana

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 года назад

      Atakupeleka Canaan

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 года назад +1

      Wala hayakupa dili yoyote atachikua dili akiwapa dada zake na ndugu zake akupe wewe akujua wapi,

  • @athumanetshisekeditshilomb6770
    @athumanetshisekeditshilomb6770 3 года назад

    SEMA UKWELI

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 3 года назад

    Unakula joho

  • @husnasaleh8574
    @husnasaleh8574 3 года назад +4

    Wasema uongo mtupu wala hatukutaki tena tumekuchoka sanaaa twataka mabadiliko wapawani tumeshawatchoka nendeni mukapumike mupishe na wezenu wafaidike kama vile nyinyi mumefaidika wala uraisi hupati kabisa umefanya madereva hawana makzi wateseka kwa sgr yako

  • @zeinabali5809
    @zeinabali5809 3 года назад +2

    Watu wamechoka na wewe wataka kujaribu wagine Mombasa chafu wizi Tu

  • @borojillo3452
    @borojillo3452 3 года назад

    Sultan joho rais ya wapwani mahasidi watasema xaana na usiku Walale wapwani lazima tuwe ndani ndani kbsaa tuko na ww king joho I respect you ALLAH akubariki