Nakupenda mchungaji wangu maana umenisaidia sana kuinua kiwango changu Cha imani Kwa namna unavvosema maisha halisi ya kuzimu na jinsi mlokole alivyo na nguvu dhidi ya nguvu za Giza.
Mungu akubaliki sana endelea kuwambia ukweli watu maana ulokole wa sasa unamichanganyo na dunia wachungaji nao niwachache sana walio simama kwenye ukweli wa biblia
Mungu atusaidie kuielewa kweli halisi ya Mungu. Kuna watu wanajifanya wameokoka sana zaidi hata ya Petro Kila kitu kwao wanakiona Kama ushetani. Tukumbuke kuwa tumetumwa duniani ili tuubadilishe ulimwengu sio utubadilishe tunawezaje kuwafikia watu wa aina mbalimbali Kama sisi tunajiona tuko Bora sana na Kila kitu tunakiona ni dhambi. Mchungaji kuwa mshabiki wa mpira kosa liko wapi na kanisa kuwa na timu ya mpira kosa liko wapi. Ufahamu huu ndio unaoleta shida hata katika mambo ya utawala tumeona hata mkiristo kuwania nafasi katika uongozi wa serikali ni ushetani na tunawaachia watu wasiomjua Mungu watutawale na mambo yanapokua MABAYA ndo tunarudi kuanza kuomba. MUNGU ATUSAIDIA KANISA KUIELEWA KWELI YA MUNGU NA SI MITIZAMO YA WATU. TUKUMBUKE KAMA KANISA TUMETUMWA DUNIANI. YESU ALIKUJA KWA AJILI YA WATENDA DHAMBI SIO WATAKATIFU, TUTAWAFIKIAJE WATU WALIOPOTEA KAMA TUTAJITENGA NAO NA KUJIONA SISI NI BORA ZAIDI, hiyo ni injili ya na namna gani?
Mpira bhana full uchawi. Kuna siku nilisikia redioni jamaa mmoja alikuwa mcheza mpira yeye akasema alikuwa na mganga wake ambaye alimpa masharti akifua nguo zake yale maji yaliyofua nguo zake zote hayamwagwi, yanapelekwa kwa mganga wake ili afanyiwe mambo awe na uwezo mkubwa uwanjani kwenye mpira, kumbe majini ndiyo yanayosapoti uwezo anaouonesha uwanjani (na mara nyingi wa hivi kipaji chake hukatika fasta hasikiki kama Kagere na wengine). Sasa vijana wengi mpira umekamata uwaambii kitu wanashabikia viwango vya kumtukuza mwanadamu huyo, siku nzima mchezaji jina lake linatajwa mara 50 au 100 lakini YESU hajatajwa siku nzima, pasipo kujua wameshaingizwa kwenye dini mpya imani mpya.
Mr. Machume, wewe ni Mtu wa Maana sana, lete na maarifa mengine na wengine wajue zaidi ili siku waache kushabikia mpira, maana hii ya kushabikia itampeleka mtu kuzimu moja kwa moja.
HAPANA HAPANA HAPANA,Kanisa kuwa na timu ya mpira au kuwa shabiki wa mpira au kuchangia mpira au kutazama mechi za mpira ni dhambi mbele zake YESU KRISTO. aliye na sikio na ufahamu na afahamu leo.
Kwaiyo kama uchawi unanguvu kuliko Mungu? Kwanini msiwaache wao wafanye uchawi wao na nyie mkaamua kufunga na kuomba na kujiandaa kwa Maombi mwonyeshe nguvu Z Mungu kuwa ni zaidi ya nguvu ZaGiza. Waking Daniel walikubali kukaa katikati ya serekali ya babeli iliyojaa Miungu na uganga na wakamtumikia Mungu wao mpaka Babeli wakamjua Mungu wa kweli.
TAG mbona ilikwishaacha Njia kitambo. Hizi ni dalili zimeanza kujidhihirisha sasa. Ni Kanisa ambalo limeiruhusu 'dunia' kuingia na kutawala humo. Dalili la haya maanguko ya Kanisa hili ni Wanajihesabia haki kwelikweli wakijanasibu na kuyadharau makanisa ya kipentekoste kwamba Hayajaokoka; isivyo haki. Nami naungana nawe Mchungaji kukemea mwenendo huu wa hili Kanisa lililo na washirika wengi kuliko mengine yaliyomo CPCT. Wanavyogombaniana vyeo sasa. Kampeni za uaskofu ni kama hizi za kisiasa. Shame!
Asante Katekela wewe sio mnafiki, UMESEMA KWELI, wewe sio Wale wanaotaka kushangiliwa kwa Mhubiri ya kufurahisha wenye dhambi
Mungu aendelee kukuweka Katekela,ubarikiwe sana
Nakupenda mchungaji wangu maana umenisaidia sana kuinua kiwango changu Cha imani Kwa namna unavvosema maisha halisi ya kuzimu na jinsi mlokole alivyo na nguvu dhidi ya nguvu za Giza.
Lakini Mwisho wa mambo yate umekaribia .tuwe makini .Yesu yuu karibu kurudi
Mungu akubaliki sana endelea kuwambia ukweli watu maana ulokole wa sasa unamichanganyo na dunia wachungaji nao niwachache sana walio simama kwenye ukweli wa biblia
Msifanane na dunia:
1. Vua mawigi
2. Kucha, nyusi, kope bandia tupa kule
3. Mikorogo, suruali, nguo za kubana tupa kule
4. Minada kanisani tupa kule
5. Nk.
Kabisa mpendwa tubaki kiuhalisia wetu tutapendeza sanaaa
Wataondoaje hizo sanamu wakati wake za maaskofu na wachungaji wanazipenda?
Amen asante mtumishi kwa kusema ukweli kabisa MUNGU aliye hai akupe ngufu na akulinde AMEN
Asante kwa ufunuo huu mtumishi wa Mungu umekuwa wa baraka sana kwangu
Bwana Yesu akubariki sana
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu MUNGU AKUBARIKI Mtumishi wa MUNGU
Mungu atusaidie kuielewa kweli halisi ya Mungu. Kuna watu wanajifanya wameokoka sana zaidi hata ya Petro Kila kitu kwao wanakiona Kama ushetani. Tukumbuke kuwa tumetumwa duniani ili tuubadilishe ulimwengu sio utubadilishe tunawezaje kuwafikia watu wa aina mbalimbali Kama sisi tunajiona tuko Bora sana na Kila kitu tunakiona ni dhambi. Mchungaji kuwa mshabiki wa mpira kosa liko wapi na kanisa kuwa na timu ya mpira kosa liko wapi. Ufahamu huu ndio unaoleta shida hata katika mambo ya utawala tumeona hata mkiristo kuwania nafasi katika uongozi wa serikali ni ushetani na tunawaachia watu wasiomjua Mungu watutawale na mambo yanapokua MABAYA ndo tunarudi kuanza kuomba. MUNGU ATUSAIDIA KANISA KUIELEWA KWELI YA MUNGU NA SI MITIZAMO YA WATU. TUKUMBUKE KAMA KANISA TUMETUMWA DUNIANI. YESU ALIKUJA KWA AJILI YA WATENDA DHAMBI SIO WATAKATIFU, TUTAWAFIKIAJE WATU WALIOPOTEA KAMA TUTAJITENGA NAO NA KUJIONA SISI NI BORA ZAIDI, hiyo ni injili ya na namna gani?
Ubarikiwe kwa kusema kweli
Kupenda mpira ni udunia. Na machukizo mbele za mungu WA mbinguni
Mpira bhana full uchawi. Kuna siku nilisikia redioni jamaa mmoja alikuwa mcheza mpira yeye akasema alikuwa na mganga wake ambaye alimpa masharti akifua nguo zake yale maji yaliyofua nguo zake zote hayamwagwi, yanapelekwa kwa mganga wake ili afanyiwe mambo awe na uwezo mkubwa uwanjani kwenye mpira, kumbe majini ndiyo yanayosapoti uwezo anaouonesha uwanjani (na mara nyingi wa hivi kipaji chake hukatika fasta hasikiki kama Kagere na wengine).
Sasa vijana wengi mpira umekamata uwaambii kitu wanashabikia viwango vya kumtukuza mwanadamu huyo, siku nzima mchezaji jina lake linatajwa mara 50 au 100 lakini YESU hajatajwa siku nzima, pasipo kujua wameshaingizwa kwenye dini mpya imani mpya.
Mr. Machume, wewe ni Mtu wa Maana sana, lete na maarifa mengine na wengine wajue zaidi ili siku waache kushabikia mpira, maana hii ya kushabikia itampeleka mtu kuzimu moja kwa moja.
Katekela mungu yupo naweee
Nakutamania sanaaaaaa
Niwanyoooshe wanafiki
HAPANA HAPANA HAPANA,Kanisa kuwa na timu ya mpira au kuwa shabiki wa mpira au kuchangia mpira au kutazama mechi za mpira ni dhambi mbele zake YESU KRISTO. aliye na sikio na ufahamu na afahamu leo.
Kwann awape vpaji vya kucheza mpira?!!! au vpaj vya mpra vinatolewa na shetan?!!!
Dhambi ni nini kwani
Hilo Pepo LA mpira lishindwe kwa jina LA yesu
Ubarikiwe mhungeji katekela
Shujaa vizuri Sana mungu akutie nguvu
Hapo sawa kabisaa
Dami ya Yesu ikufunike uendelee kuusema ukweli.
Mchungaji nimefrahi sana namimi nilikua nashangaa tulikotoka hatufundishwa hayo kuvuna watu kupitia Moira
Baba unani gusa sana kila wakati ninapo kufatiliya,Mungu azidi ku kuzidishiya
Sawa
Sahihi kabisaaa
Ps Katekela + Mzee Magembe = Fayaaa
Amen
Kweli mtumishi
Amina 🙏🙏🙏
Una nikosha sana unanigusaaa sana katekela mtu wangu kwel kwel....
Jamani hakuna mchungaji ninae mkubali kama huyu jamani natamani nihamie uko geita jamani sema ni hivyo hatuna wenyeji
Nakufuata miya kwamya nikiwa uganda nationale unani tiamoyo barikiwa
mch, nakupongeza sana wewe huna uwongo hakika tukiendelea na ufuatishaji wa mambo ya dunia mbinguni hatutaingia tutaishia jehanamu.
Amen😊
Katekela hata kam hunijui ila mm huwa nasikiliza mafundisho na najisikia amani sana Mungu akutunze
Kweli
Ukweli mtupu
huwaga mwenyewe nashangaa mtu akishabikia mpira, maana kuna uchawi wa wazi wazi
Ingekua kusuport waijilisti kueneza injili ingekua sawa hapo Kwa team ya mpira haieleweki malengo nikueneza injili tu sio ushabiki
Bendera chuma mlingoti chuma sema kweli tupone
AMINA baba
1YOHANA 5:21"WATOTO WADOGO, JILINDENI NAFSI ZENU NA SANAMU!"
Kwaiyo kama uchawi unanguvu kuliko Mungu? Kwanini msiwaache wao wafanye uchawi wao na nyie mkaamua kufunga na kuomba na kujiandaa kwa Maombi mwonyeshe nguvu Z Mungu kuwa ni zaidi ya nguvu ZaGiza. Waking Daniel walikubali kukaa katikati ya serekali ya babeli iliyojaa Miungu na uganga na wakamtumikia Mungu wao mpaka Babeli wakamjua Mungu wa kweli.
Wakristo hufunga na kuomba kwa ajili ya ukombozi na siyo mechi ya mpira.
Haya maoni yako sio Neno La Mungu
We acha ushabiki wa kipuuzi utapotea hivi kwanza wewe umeokoka au
We unatakiwa uombewe una matatizo
NAKUUNGA MKONO MPIRA NI DHAMBI,TENA NI SEHEMU YA IBADA YA KIPEPO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
Abalikiwe namungu wake wambinguni
Mpira
Mimi napataga shida kila kitu ni shitani je shitani ananguvu kuliko yesu?
Hata makanisani watoaga kafara we hujui tuu
Kumbe nawe ni mshabiki asa umejuaje hayo
Kumbe yanga wachawi wameweka zindiko
KUNA MAHUBIRI NA MAONI. KUNA KUPENDA TIMU NA KUSHABIKIA. VIBAYA.
KILA KITU NI KIBAYA KWA WABAYA. MCHAWI HATA UKIMPA KANISA ATALIONGOZA KICHAWI.
TAG mbona ilikwishaacha Njia kitambo. Hizi ni dalili zimeanza kujidhihirisha sasa. Ni Kanisa ambalo limeiruhusu 'dunia' kuingia na kutawala humo. Dalili la haya maanguko ya Kanisa hili ni Wanajihesabia haki kwelikweli wakijanasibu na kuyadharau makanisa ya kipentekoste kwamba Hayajaokoka; isivyo haki.
Nami naungana nawe Mchungaji kukemea mwenendo huu wa hili Kanisa lililo na washirika wengi kuliko mengine yaliyomo CPCT. Wanavyogombaniana vyeo sasa. Kampeni za uaskofu ni kama hizi za kisiasa. Shame!
Mpinge shetani naye atakukimbia
Yakobo 4:7
Ukwel mtupu
Mbona umeiandama yanga sana?...hata wewe unaonekana ni simba kiushabiki!
Maandazi bhana ni shida
KATEKELA HAPO UNATOA MAONI NA MTAZAMO WAKO BINAFSI SIO MANENO YA MUNGU.
MICHEZO INAUMUHIMU KWA KILA MTU
Amen
Nakufuata miya kwamya nikiwa uganda nationale unani tiamoyo barikiwa
Amen