MashaAllah huyo mwenye amesilimu alikua anaitwa Joseph ukimtajia majina kachukua Yusuf. Ndugu Salim jaribu kuwauliza jina yao tena wakisilim ndio wabaki tu na jina yao wengine. Kuna mwingine alisilimu alikua anaitwa David ungemwambia kwa Islam ni Daud ilibidi achukue jina ingine, na sio vibaya lakini ni nzuri ukikutana na wakristo wenye jina la manabi uwaeleze Solomon ni Suleiman, Jacob ni Yakub, John ni Yahya. Watafurahi mno kuona jina Lao halisi kwa Quran. Jazakalah masheikh wetu
Asalam alaikhum warakhamtullah wabarakatuh, yaani sheikh wetu SALIM 😂 unajua kuhoji mtuu hadi anayingiya miti. Yaani anakimbia mbio Bila kuangalia nyuma 😂😂😂😂, sheikh weeye kiboko yaaoo, ALLAH akuhifadhi ,na akupe umri mrefu na mwisho mwema ,aamin
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh.Hivi shehe Salim inafaa sisi tunaoangalia kwa you tube kuomba duwa mtu anaposilim?.Au mpaka uwe karibu na eneo la tukio.
54:35 Asalaam Aleikum, I’m muslim and Somali - I can’t understand why avoid these questions? You could have answered them when referring Quran and Sunah. I believe it will help those who are confused.
@ 1. Surah Al-Ma’idah (5:32) “Whoever kills a soul unless for a soul or for corruption [done] in the land-it is as if he had slain mankind entirely. And whoever saves one-it is as if he had saved mankind entirely…” 2. Surah Al-Isra (17:33) “And do not kill the soul which Allah has forbidden, except by right. And whoever is killed unjustly-We have given his heir authority, but let him not exceed limits in [the matter of] taking life. Indeed, he has been helped.”
Ata mandela wa south Africa aliitwa terrorist when he was fighting for freedom but after signing agreements against his fellow Africans they called him African hero . What does that tell us..?
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh MashaAllah Allah amuongoze na asome dini kwa ajili ya Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Sh.salim
Sh.ali
Sh.abdi
Sh.suleiman
Sh.hassan
Asalam aleikum nyinyi nyote nawaombea to mungu muendelee to hivo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakat walimu wetu mashallah kazi inaenda vìzuri
Alhamdulillah tunashukuru ujumbe unafika pole pole
TAqbirrrrr ALLAH UH AKBAR❤❤❤❤❤❤❤❤furaha kubwa sana karibu ndugu yetu kwenye Dini ya Haki ALLAH Barik Ustadh Salim with the Dawa team ❤❤❤❤❤❤❤❤
Aameen ameen ameen tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
ALLAH awabariki masheikh zetu INSHAA ALLAH ❤
Aameen ameen ameen
Mwenyezi Mungu awajalie elimu walimu wetu ilimuendelee kuwafikishia wanduguzetu katika adamu inshaallah
Aameen ameen ameen
Maashallah ❤ salim napenda sana mawaidha yenu tunajifunza mengi Allah awalipe
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Asalam alaikum sheikh salim mafundisho mazuri masha Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah
Kazi nzuri, mashaallah
Alhamdulillah ujumbe unafika pole pole tu
Assalamu Alaykum team. Allahumma lakal hamd hamdan katheeran twayyiban Mubarak. Allahumma Barik.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen
MashaAllah Allah amuongoze InshaaAllah
Inn shaa Allah
MashaAllah huyo mwenye amesilimu alikua anaitwa Joseph ukimtajia majina kachukua Yusuf. Ndugu Salim jaribu kuwauliza jina yao tena wakisilim ndio wabaki tu na jina yao wengine. Kuna mwingine alisilimu alikua anaitwa David ungemwambia kwa Islam ni Daud ilibidi achukue jina ingine, na sio vibaya lakini ni nzuri ukikutana na wakristo wenye jina la manabi uwaeleze Solomon ni Suleiman, Jacob ni Yakub, John ni Yahya. Watafurahi mno kuona jina Lao halisi kwa Quran. Jazakalah masheikh wetu
Inn shaa Allah shukuran kwa ukumbusho huo
@@salimdaawah123 Kwa nini lazima mtu akisilimu abadilishwe jina?
Aslam alkm ALLAH awalipe dunian na kesho siku ya kiama .ALLAH azdshie afya mzid kutangaza din ya ALLAH SUBUHANA WATA ALLAH
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen sote
Masha'allah Masha'allah Masheikh wetu
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... Maa Shaa Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh brother tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@@salimdaawah123 mazbut wallah,Allah awalipe Jannatul Firdaus
Waleikum salaam warahmatullah wabarakatuh
Allah awape ulinzi
Aameen ameen ameen sote
Masha Allah ❤
TAKBEER, ALLAH AKBAR
ALLAH AQBAR❤❤❤❤❤
Assalam alayikum warahmatulilah wabarakatuh naona musomaji iko anatupia vijembe hahahaha😂😂😂
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh 😂😂
ما شاء الله
Asalam alaikhum warakhamtullah wabarakatuh, yaani sheikh wetu SALIM 😂 unajua kuhoji mtuu hadi anayingiya miti. Yaani anakimbia mbio Bila kuangalia nyuma 😂😂😂😂, sheikh weeye kiboko yaaoo, ALLAH akuhifadhi ,na akupe umri mrefu na mwisho mwema ,aamin
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen sote
JazakumAllah khair! Kizazi chake kiko. Na Mahdi ni kizazi chake pia.
Masha Allah kweli kabisa
Na pia ni uzuri sana Kutumia karatasi kisha malizia na maji.mimi natumia zote mbili.
Masha Allah
asc Salim ningependa kusikia story yako ya kuingia uislamu kama itawezekana inshaalah.
Inn shaa Allah coming soon
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu
Alhamdulillah
Alahpak aap ko slamt rky 🤲🤲💜💜💜🇵🇰🇵🇰🇵🇰
Ma sha ALLAAH
Alhamdulillah
Mm pia sijabaki nyuma
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
ALLAHU AKBAR ♥️
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Salim nawapenda nyote kwa ajili ya Allwa.
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Maximum ninakupenda Sana Sana Makati unaongelesha Wana dada
Tunakupenda sana pia kwa ajili ya Allah
Mbona sioni sh.suleiman leo hope Ako poa
Yuko angalia video mpaka mwisho ndiye amemalizia kusoma
مثلله خزكلله خيل
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh.Hivi shehe Salim inafaa sisi tunaoangalia kwa you tube kuomba duwa mtu anaposilim?.Au mpaka uwe karibu na eneo la tukio.
Aisha sema Allahu Akbar kila uonao kheri juu ya muongozo takbirr
Nshawatangulia 😂
Masha Allah
MAFAKIRI
54:35 Asalaam Aleikum, I’m muslim and Somali - I can’t understand why avoid these questions? You could have answered them when referring Quran and Sunah. I believe it will help those who are confused.
Did you get the Question??? Can you answer here in comment so we can also know
@ before answering a question on question - I’ll appreciate if you accept my SALAAM. Thanks
@@kamole3 walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@
1. Surah Al-Ma’idah (5:32)
“Whoever kills a soul unless for a soul or for corruption [done] in the land-it is as if he had slain mankind entirely. And whoever saves one-it is as if he had saved mankind entirely…”
2. Surah Al-Isra (17:33)
“And do not kill the soul which Allah has forbidden, except by right. And whoever is killed unjustly-We have given his heir authority, but let him not exceed limits in [the matter of] taking life. Indeed, he has been helped.”
😂😂😂 Mtu wa Al Shabab ameyeyuka tuu hivoo🤣🤣🤣
Hii kiwanja huwa Raha Sana... Amenifurahisha... Aende Kwa DCI akawasaidie na Habari Moto Moto
🤣🤣🤣
Majibu tumempa 🤣😂🤣🤣😂😂
Ata mandela wa south Africa aliitwa terrorist when he was fighting for freedom but after signing agreements against his fellow Africans they called him African hero . What does that tell us..?
Yeah sure when you're not in their side wanakuita terrorist but ukiwa pande yao wanakuita freedom fighter
KTK ILE AYA YA HIJA WAKICHINJWA WANYAMA TUWAPE MAFAKIRI NA WALE MASIKINI WANAORONDEA
RONDEA
Aende DCI akaripoti😂😂😂
Yeah 😂🤣😂😂🤣🤣
Masha Allah❤❤❤