WANANCHI WACHANGISHANA PESA KWA MKAPA KUMBAKISHA AZIZ KI | FEITOTO LEO NDIO MWISHO WAKE |SIKIA TAMBO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
  • СпортСпорт

Комментарии • 19

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 22 дня назад +3

    Asanteni Wanayanga.... niko njiani.

  • @Jamessichone-tg7pm
    @Jamessichone-tg7pm 22 дня назад +3

    Timu yetu ya yanga inawatu wenye kuipenda sana timu wananchi tuko vizuri

  • @user-fg5zz2pz4b
    @user-fg5zz2pz4b 22 дня назад

    Nakubali pamoja sana 😂😂😂😂😂😂

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 22 дня назад +2

    hii mimi nimeipenda uongozi useme ki ukweli kuna upungufu kiasi gani ili watu wachangie hasa wapenzi wa yanga👍👍👍👍🤏🤏🤏

  • @AdamChuma-vb6ef
    @AdamChuma-vb6ef 22 дня назад +2

    God bless young African

  • @user-zg5lg3yq9c
    @user-zg5lg3yq9c 22 дня назад

    Hawa kweli mazwazwa😂😂😂

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 22 дня назад +2

    😂😂😂uyo mwenye kapelo vipi ni pengo au pembe😂

  • @EvaMichael-gh5xi
    @EvaMichael-gh5xi 22 дня назад +1

    Nipo tayari kuchangia

  • @user-xn5fw1mm8t
    @user-xn5fw1mm8t 22 дня назад +1

    Nipo tayari kuchanga

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 22 дня назад

    Achaneni nae akitaka fedha ndefu sana mtawavunja moyo wachezaji wengine

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 22 дня назад

    Yanga Aziz ki akiondoka wanaanza kumtupia majini 😂😂😂ili arudi yanga

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 22 дня назад

    Hata mchangee vipiii hawezi kumbakisha wenyee pesa mwenyevisimaa vya mafutaaaaa😂😂😂😂

  • @robbykabara
    @robbykabara 22 дня назад

    Ndiyo walete account tuchangie

  • @daudiyaqhambe5837
    @daudiyaqhambe5837 22 дня назад

    Nitachangia laki moja

  • @janemshanga978
    @janemshanga978 22 дня назад

    Uwezo wao ni manzokiii wapambane na hali yao

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 22 дня назад

    Bakuli limeanza

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 22 дня назад

    Uyo pengo😂

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 22 дня назад

    Wajinga mtamenywa sana.

  • @addomapunda957
    @addomapunda957 22 дня назад

    Nipo tayari kuchanga