HOTUBA YA RAIS MAGUFULI: Mradi wa maji Arumeru 2/12/2018

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 сен 2024
  • Rais John Magufuli asubuhi ya Jumapili Disemba 2 mwaka 2018 alikuwa kwenye wilaya ya Arumeru akiweka jiwe la msingi la uboreshwaji wa huduma za maji safi kwenye mradi unaogharimu Shilingi Bilioni 520 ambazo Serikali imezikopa kutoka kwenye Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
    Baada ya uzinduzi huo, Rais akazungumza na wananchi na hii ndio hotuba yake.

Комментарии • 10

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 3 года назад

    Huku mwishoni ndoo umeuwa mzee baba ahsante daima nitafwatilia hotuba zako kama ni macho umeshatufungua kama ni vita umepambana Mzee baba

  • @yusuphngollatv8875
    @yusuphngollatv8875 5 лет назад +1

    Hata kama hatakupendi hafharan lkn unafanya kazi baba mungu akubariki ww na wasaidizi wako. Upinzani 2020 ukopalepale japo kazi unaifanya

  • @nuruhuseni431
    @nuruhuseni431 5 лет назад +1

    haya mambo Hawa wakina lisu na wakina membe hawataweza

  • @nuruhuseni431
    @nuruhuseni431 5 лет назад

    baba chapa kazi lisu wazungu wanamtafutia nchi yakuongoza wape iraki

  • @erickpascal2249
    @erickpascal2249 5 лет назад

    hapa Kazi tu

  • @erickpascal2249
    @erickpascal2249 5 лет назад

    chapa Kazi mheshimiwa rais ,,,

  • @twilakambangwa5952
    @twilakambangwa5952 5 лет назад

    2020 rais magufuli utapita bila kupingwa.

    • @saighilunyangusi4986
      @saighilunyangusi4986 5 лет назад

      Mungu na akubariki mheshimiwa rais unafanya kaz sana sana sana, Mungu na akusitiri bandani mwake

    • @saighilunyangusi4986
      @saighilunyangusi4986 5 лет назад

      karibu sana monduli tunakukaribusha sana tunakuhitaji sana, tuna shida ya maji kwa zaidi ya miaka 80 iliyopita juc tulinunua Lita kum ya maji kwa shlingi 1000, tena maji na machafu tens maana n ya bawani wanachota wenye uwezo wanatuuzia, mh rais tunaomba utusaidie na Mungu akutangulie utupatie maji.

  • @twilakambangwa5952
    @twilakambangwa5952 5 лет назад

    Lakini mikopo mingi sana duh. Mje na kisiwani Mafia hatuna usafiri wa bandari