MANDALA SIMBA APAGAWA NA PRINCE DUBE/AMEZALIWA UPYA/NIMETOLEWA HII SIO HAKI KABISA/IMENIUMA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 52

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 9 часов назад +7

    usije uwanjani kwani wengine wanatoaga wap hatutaki utani na madunduka

  • @edsonmalcel4478
    @edsonmalcel4478 5 часов назад

    Ubayaaaa ubwela 😂😂😂😂😂 hahahahaha

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 9 часов назад +1

    Safi saana wabarikiwe walio kutoa huaga unanikera na uchawi wako mtani wako bibi ako

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 9 часов назад +2

    Hatuwatakiiii😂😂😂 mabaunsa hoyeee

  • @RichardWambura-w9o
    @RichardWambura-w9o 10 часов назад +3

    Acha kiherehere lazima kuna kitu

  • @TheonasKalyalya
    @TheonasKalyalya 9 часов назад +2

    Huna lolote unacholalamika hakina maana umefukuzwa achana nao na usiende kwenye mechi zao

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 9 часов назад

    Kama wamekutoa uwanjani wamekosea aisee. Timu yangu Yanga huu ni mpira jamani udugu lazima ubaki salama. Pole sana Makolo.

    • @upendoomary1921
      @upendoomary1921 7 часов назад

      Analopoka sana huyu ndio maana wamemtoa

  • @chachachristopher8948
    @chachachristopher8948 8 часов назад

    lazima kuna kitu apo 😂😂😂😂😂😂

  • @massoudmassoud
    @massoudmassoud 9 часов назад +2

    Usije, mchawi wewe 😂😂😂😂

  • @swamadujumanne795
    @swamadujumanne795 9 часов назад +2

    Nyie wachawi na umeshaongea maswala ya uchawi

  • @WahabiNgaeka-ij7el
    @WahabiNgaeka-ij7el 9 часов назад +2

    Mchawi ww ndiomaana umetolewa

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 9 часов назад +1

    Wamekukomesha utuache yanga

  • @NeemaDaniel-j3g
    @NeemaDaniel-j3g 9 часов назад +1

    Ulisema unaenda kuloga na kutambika uwanjani yanga akiingia uwanjani asitoke huenda wamenuukuu maneno yako ndio maana wamekuzuia usiingie uwanjani kwenye mchezo wa yanga

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 9 часов назад +2

    Kama ulisema utaroga wacha wakutoe tu

  • @tumvisiagekonga2142
    @tumvisiagekonga2142 10 часов назад +3

    Kaangalie kibanda umiza mchawi wewe

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 9 часов назад

    Kama sio vita mbona mnang'oa viti😂😂😂😂😂

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 7 часов назад

    Hatuna utani na madunduka usije kabisa kwenye mechi za Yanga

  • @RadhidiRamazani
    @RadhidiRamazani 9 часов назад +1

    ubaya ubwela mulianza tunamaliza

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 9 часов назад

    Sio haki kumtoa mtu, na Cha kushukuru mungu umetumia busara, umeachana Nao, umedai ela Yako, na Kama tumefikia hapo, nawaomba wanasimba, tusiende uwanjani mechi za Yanga, ila wao tuwaache waje ZETU na tusiwafanye chochote., kwani manara Alisha sema Yanga Timamu wapo Wawili. Tu. Umefanya hekima saana kutoka, Japo hekima hizi kunasiku zitakuwa Likizo.

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 9 часов назад +2

    uache kiherehere

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 7 часов назад

    Hatukutaki kwenye mechi zetu

  • @dismaskullaya8520
    @dismaskullaya8520 7 часов назад

    Tatizo simba mpaka CAF wanajua nyie ni wachawi ndio hatutaki mje kwenye mechi zetu mnazunguka na waganga wenu wa kigoma.

  • @mudrickahmed3178
    @mudrickahmed3178 6 часов назад

    Wamekutania kukutoa kiutani nawe umeona wanekufukuza kweli huo ndo utani wa yanga 😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 utani hauumi sasa we waanzaje kuumia😂😂😂😂😂😂😂😂. Kolo bhna😢

  • @YussuMaulid-x5p
    @YussuMaulid-x5p 5 часов назад

    Mchawi ww msenge usije😂

  • @barikielidaudi2587
    @barikielidaudi2587 9 часов назад +1

    Ila hawajatenda haki kabisa

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 9 часов назад

      Ni kweli wamekosea aisee kama ni kweli anachokisema. Siyo vizuri kabisa.

    • @mudrickahmed3178
      @mudrickahmed3178 6 часов назад

      Je uyo una muaminije kama anafitinisha unapataje ukweli na ushahidi aupo .

  • @AllyMuyaz
    @AllyMuyaz 7 минут назад

    Kwenda zako pita kushoto huko hatupendi unafki😮

  • @yudamagesa5594
    @yudamagesa5594 9 часов назад

    Kwani ujui mdomo uliponza kichwa na ukweli unauma mlichopanga kufanya kimeshindika unakuja sasa unatafuta kiki

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 3 часа назад

    Lakini wewe unaongeaga mbovu sana mandala ukizuiwa pengine unaweza kuwa chawa wa wachawi waesimba

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 9 часов назад

    Huyo naye hajitambui

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 9 часов назад

    Kwani utani ni kuongea kuloga? Ongea vitu vingine siyo uchawi

  • @SwadakatYusuph
    @SwadakatYusuph 9 часов назад

    Pole

  • @SidaMalove
    @SidaMalove 7 часов назад

    Wee Umezidi mdomo sn utauponzaa wee ulisema tutafugwaa vp tena

  • @Alimahonge
    @Alimahonge 7 часов назад

    Ww hujatolewa unatafuta kik tu ww muongo mkubwa

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 8 часов назад

    Uko na bahati sana tungekutandika aisee kichwa kaa karai

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 4 часа назад

      Hatuwataki madunduka mna tabia ya kungo'wa viti na huku hakuna viti kuna mbao itakuwa mtihani bure.

  • @MustaphaSwalehe-e9t
    @MustaphaSwalehe-e9t 9 часов назад

    Tatizo ww ulitaka kuroga ulistahili kutolewa uwanjani.

  • @AnethKauzen-yz1ws
    @AnethKauzen-yz1ws 7 часов назад

    Hata Mimi sikutaki uwanjani

  • @AnethKauzen-yz1ws
    @AnethKauzen-yz1ws 7 часов назад

    Kauli zako zautani ndio zinakuponza

  • @JeniphaSamwel-r9j
    @JeniphaSamwel-r9j 9 часов назад

    😂😂

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 9 часов назад

    Nenda huko nauchawi wako ulowatowa kigoma hatukutaki

  • @MariaMnthax
    @MariaMnthax 6 часов назад

    Shida nikamdompo

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 9 часов назад

    Mimi Yanga ila ifike mahali mashabiki kama hao wanaoijifanya mabaunsa wachukuliwe hii sio fea kabisa

    • @AlfaniMichael
      @AlfaniMichael 9 часов назад

      Achana nao Wana njaa hao makolo

    • @mudrickahmed3178
      @mudrickahmed3178 6 часов назад

      Kwani we umeoneshwa uthibitisho wa alichokisema usipokee maneno matupu

  • @AnordJoseph-e2e
    @AnordJoseph-e2e 6 часов назад

    Ngoja ukome kwanza unakiherehere mechi ya YANGA ilikuwa inakuhusu nini

  • @chalemofaraji8797
    @chalemofaraji8797 9 часов назад

    Mchawi weweee3