Leo nimekuwa wa tano kwa msanii wetu mwenye asili yake , nipeni like wadau make huyu mwamba ni namba moja tu mpaka basiii na na vile anajiamin mwamba anazid kuachia vitu mapema tu sio wale mpaka mwezi wa tatu 😂😂
namtaka budagala wa enzi za Nyaburugutu na Mlegezo wa sauti kama ile upo good ila tatzo kolasi hazipo kama zile za akina kundi kwa motor na n.k una zidisha kelele zenye Mfanano wa Nyimbo zako
Kaka maneno ya kuongea acha imba wimbo usio na maneno , hapo mnatupa Kaz sisi kabila tofaut na kabila yenu maneno ya kuongea nimeng hatujui unaimba au unaongea
Ngoma ni nzur sasa big up brother
Kazi nzuri sana brother bhudagala
biggest brother Imenipata comoro
Mhh watu mko chapu
Kwa kweli tumeubwa kuhangaika wanaume
Mmeniwahi lakni hata hivo imefka majimoto mpanda
uko vizr mtoto mwenyezi mungu azidi kukubariki ❤
Mkuu kama kawaaa
Moto utwaka kwa mwanaume
Tayari Katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda 💪
Kasekese au KAKESE😢
Kasekese kamayote
Leo nimekuwa wa tano kwa msanii wetu mwenye asili yake , nipeni like wadau make huyu mwamba ni namba moja tu mpaka basiii na na vile anajiamin mwamba anazid kuachia vitu mapema tu sio wale mpaka mwezi wa tatu 😂😂
No1 nipeni like
Kazi zuri sana bhudagala
We jamaa hawakuwezi balaa saana.
Naona huu mwaka umeamua sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hizi za wachache sana congratulation mwamba wa asili
Nakukubali sana kaka ❤
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Vp
😮duu imenikosha
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤unakosha sana kwa kiswahili ww fundi ata molo wandamba wanakukubali🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂
Uwe unatujibu sasa bhudagala na wewe
❤❤❤
Dsm imeingia ngoma ya wanaume, TOLAGA MILEMOO O MWANASABUN 🎼🎵🎶
Mwanaume ni mtambo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kak umeushik ufunguo ww mwenyew naon uliuachia vijan👏👏👏
Hii noma naipata vizuri kutoka Arusha hapa msukuma wa kwanza kufika Kilimanjaro hapa
Ila Kweli Kaka Bhudagala 🎉🎉🎉 Good Job Brother 👍
Iringa imetufikia ong'wise ❤❤
BMS taa ishawaka mapema tu
kweli kama
King. 🎉🎉🎉
Mimi ni siru makonge nakukubari sana
Bmc
Imba kisukuma ww
Mzee wa NYANKOMOKO
MWANAUME❤
Mwamba
ipo vizur lakini fanya kolasi zako ziwe na utofauti kidogo na Upunguze Makelele kwa beti za kolasi
namtaka budagala wa enzi za Nyaburugutu na Mlegezo wa sauti kama ile upo good ila tatzo kolasi hazipo kama zile za akina kundi kwa motor na n.k una zidisha kelele zenye Mfanano wa Nyimbo zako
Bassata mwaka huu tunzo Kwa bhudagala** wangap wanakubaliana na mm kwamba mwaka huu tunzo kwake????????❤
😢😢😢😢😢
Bms is 🔥🔥🔥
Kaka maneno ya kuongea acha imba wimbo usio na maneno , hapo mnatupa Kaz sisi kabila tofaut na kabila yenu maneno ya kuongea nimeng hatujui unaimba au unaongea