Ngoma Kali Nikki mbishi amini nachosema hizi verse siku ukidis appear watu watakuwa wanaskiliza nakukusifu sana lkn nijinga wote nashkuru mungu mm najua thamani yke still alive najua mbishi ni rapper mkali zaidi ya khaligraph Mara kumi nazaidi, wanajitahid kumfanya aonekane ni msanii wakawaida sababu hana wakumsemea ktk hao wanaopromote lkn khal mwenyew anafaham
Sioni pato langu amelipwa patoranking😂😂😂😂😂 Unju hatari sana
Professional combination
✊🏿👊🏿amani kwako ghetto ambassador#mansu li#unjuuuuu#hip hop
Ngoma Kali Nikki mbishi amini nachosema hizi verse siku ukidis appear watu watakuwa wanaskiliza nakukusifu sana lkn nijinga wote nashkuru mungu mm najua thamani yke still alive najua mbishi ni rapper mkali zaidi ya khaligraph Mara kumi nazaidi, wanajitahid kumfanya aonekane ni msanii wakawaida sababu hana wakumsemea ktk hao wanaopromote lkn khal mwenyew anafaham
MAFUNDI WA RAP..
Nikiwa na nyundo
Kila tatizo naliona msumari tuu
Haipt siku bila kuisikiliza hii ngoma inanipa hisia kali
Dah unju konyo sna
Dope track 🔥💯🔥🔥💯💯🔥🔥💯🔥💯
Nyimbo yangu mpya
siamini uchawi ila uchawi upo
Mbishi nataka ile ngoma ya oney amakweli maanai aksei...ipige remix vdeo pia ufanye
"Hustle uko county uku town hakufai" sawa unju nmelisikia dongo la county boy
Zohan sio poa
Kivp zana tusibebe na unataka twende saiti
Trump nkusikia sasa na mbishi ndio nimekukubali kak
Bonge LA ngoma
Noma
Kalumanantic
Unju
City ocean
>>>Naona Mengi
Dr Unju 🔥🔥🔥🔥
Naona
respect kwa nikki
👑👑👑
Dr unju ni konyo
Dr Bin unuki
🎤🔊💯
Konki
Unju