Kilindi Kinaita Kilindi - William Branham

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 авг 2024

Комментарии • 73

  • @user-vt6dg6kf2l
    @user-vt6dg6kf2l 5 месяцев назад +3

    Malaria na homa Kali zimeniacha pindi tu nimekuwa nikisikiliza ujumbe huu. He is my precious prophet

  • @rachealmbuthia9373
    @rachealmbuthia9373 2 месяца назад +1

    Thank you lord 🙏 glory to my God

  • @amanimuhakwa
    @amanimuhakwa 9 месяцев назад

    nimebarikiwa na Ujumbe wa nabi Wetu William Branham

  • @user-dg4lm8ld5g
    @user-dg4lm8ld5g 6 месяцев назад

    Amen, hii niujumbe muhimu kutufanya Bibiarusi

  • @innocentcharles7847
    @innocentcharles7847 2 года назад +4

    Amina huu ndio ujumbe uliotumwa na Mungu kwa ajili ya unyakuo wa Bibi arusi wa wakati wa mwisho katika kanisa la wakati wa laodikia

  • @moseschitumbula2837
    @moseschitumbula2837 2 года назад +3

    Amina na Amina nabii mjumbe wa kizazi mjumbe wa Malaki 4;5-6 mjumbe wa kweli na hii ni ahadi kutoka kwa aliye juu mbinguni yule Jehovah Tai BABA Tai hakika hakuna mtu awezae kufanya mambo haya isipokuwa Mungu yu pamoja nae.hakika ujumbe huu ni Mungu mwenyewe

  • @ishmaelbm1536
    @ishmaelbm1536 2 года назад

    Ndungu tunakuomba uendelee kutasfiri maubiri ya William branham

  • @ashishsupekar2121
    @ashishsupekar2121 11 месяцев назад

    Amen Mahan sandesh oar sandeshta praise the lord god bless you

  • @oanjodosenhor7037
    @oanjodosenhor7037 11 месяцев назад

    Glória a Deus por um profeta ❤❤❤

  • @annakayombo8652
    @annakayombo8652 2 года назад +2

    Aminaaa NABII wa mitindo wa kale hii ni sauti ya mungu mwenyewe aminaaa

  • @jacobmuumbi5400
    @jacobmuumbi5400 Год назад

    Early God's children's program.

  • @mosesalex1757
    @mosesalex1757 3 года назад +2

    Nimebarikiwa sanaaaa na huu ujumbe wa thamani , hallelujah nimepata nguvu na ujasiri mwingi wa kusimama na kuhubiri injiri ya mtindo wakale
    Hallelujah Jina la Bwana yesu Kristo libarikiwa ,
    Ameeeeeeeeeeeen

  • @aaronfernandes5427
    @aaronfernandes5427 5 месяцев назад

    AMEN🙏.

  • @hanneremily3928
    @hanneremily3928 2 года назад +3

    Aminaaaaah Ndugu Nakupenda sana Nabii wangu kilakitu usemacho hiyonikweliiiii

  • @JackMateru-lp1tw
    @JackMateru-lp1tw 11 месяцев назад

    Utukufu kwa MUNGU wetu

  • @catherinewafula8915
    @catherinewafula8915 7 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @user-dg4lm8ld5g
    @user-dg4lm8ld5g 6 месяцев назад

    Amen

  • @shinjejohn8651
    @shinjejohn8651 5 лет назад +5

    Penda sana Nabii wangu Mungu nakushukuru sana kwa ajiri Ya Nabii huyu wa Thamani sana sanaaa💗💓💖

    • @mosesalex1757
      @mosesalex1757 3 года назад

      Ameeeeeeeeeeeen,,,, Mungu atujalie tusipuuze yote ni kweli kabisa

  • @sifasinkonde9109
    @sifasinkonde9109 5 лет назад +4

    Amen hiyo ni kweli nampenda sana Nabii Wanguuuu wa kizazi chetu

  • @kelvinjastin1424
    @kelvinjastin1424 4 года назад +3

    Bwana awabali wandugu akika yesu awalinde

  • @mosesalex1757
    @mosesalex1757 3 года назад +4

    Ninajivunia kuitwa mmoja wao , Hallelujah!!!!

  • @elialekuloo8387
    @elialekuloo8387 Год назад

    Amina

  • @queenjoseph8111
    @queenjoseph8111 7 лет назад +6

    amina nabii wangu kizazi hiki cha laodokia

  • @ZithaJoseph-dd7ik
    @ZithaJoseph-dd7ik 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @innocentcharles7847
    @innocentcharles7847 2 года назад +2

    Amina nampenda nabii wangu wa kizazi..

  • @OnokaWilliam
    @OnokaWilliam 6 лет назад +3

    Amen,Mungu akubariki Ndugu, kwa kutuma ujumbe huu.

  • @Sinkondecharles
    @Sinkondecharles 4 года назад +2

    namshukuru MUNGU kumtuma nabii branham katika kizazi hiki
    MUNGU Ametutembelea tena amina

  • @jorammwenda-andu3743
    @jorammwenda-andu3743 3 года назад +4

    Amen, I Love Brother Branham

  • @elizaaminabarikiwasanagodw7070
    @elizaaminabarikiwasanagodw7070 6 лет назад +3

    wowoo Amina na amina barikiwa sana

  • @petermichael1451
    @petermichael1451 6 лет назад +5

    Hallelujah, mbarikiwe sana wapenzi....

    • @webnessie27
      @webnessie27 3 года назад

      Je! William Branham alikuwa MJUMBE wa saa? Je! Kuna haja leo kwa mtu mwingine, mwanadamu? au YESU KRISTO kando, kwani Mungu anatukubali? Je! Biblia inasema nini? Kwanza, katika 1 Yohana 4; 1, biblia inasema, wapendwa, msiamini kila roho, lakini zijaribu roho. Basi hebu tuchambue William Branham. Katika Yohana 1; 29. Wakati Yohana Mbatizaji alipomwona Yesu, alisema: Tazama Mwanakondoo wa Mungu ambaye huondoa dhambi za ulimwengu. ambayo inamaanisha kuwa YESU ndiye ambaye ulimwengu ulikuwa ukimsubiri apatanishwe na MUNGU.
      1 Petro 2; 24, Yesu alizibeba dhambi zetu msalabani, ili haki yake itupewe. Haki inamaanisha; haki, kukubaliwa mbele za Mungu. Ndio kusema YESU amekuwa njia hai ya neema inayotuongoza kwa MUNGU. 1Yohana 2; 21, sema ni nani mwongo?
      Mwongo ni mtu yeyote anayekataa kwamba Yesu ndiye Kristo. Kristo maana yake ni mpakwa mafuta. MASHIACH ambayo ulimwengu wote ulikuwa ukimtafuta, yule Mpakwa Mafuta ambaye alikuwa na upako unaoweza kutoa uzima wa Milele. bwana, mwokozi. maisha tele, ufufuo ni YESU KRISTO.
      Wagalatia 4:22, inazungumzia watoto wawili wa Ibrahimu na wake wawili. Alisema wake zake wawili wanawakilisha Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la kale na agano jipya. Sasa, nini kilikuwa katika Agano la Kale, tulikuwa na makuhani, tulikuwa na manabii. Ilikuwa njia pekee ya Mungu kuwasiliana na watu wake. Wagalatia 3; 23 Kabla imani haijaja, tulikuwa chini ya sheria. Sheria ilikuwa mwalimu wetu kutuongoza kwa Kristo. Lakini wakati Kristo amekuja, hatuko tena chini ya wakufunzi na waalimu wa shule. KWA maana MUNGU ameweka ndani ya mioyo yetu roho ya mwanawe Wagalatia 4; 6.
      Waebrania 7:23, makuhani wa Agano la Kale walipunguzwa katika huduma yao kwa kifo, hawakuweza kuendelea kutumikia, walikuwa na udhaifu.
      kwa sababu hazikuwa za kudumu. walikuwa wenye dhambi. Hii ndiyo sababu Biblia katika Kiebrania 8; 7 alisema kwamba Mungu aliharibu agano la kwanza kwa sababu halikuwa kamili. Na akaibadilisha na agano jipya na agano jipya, Mungu aliharibu njia yote ya agano la zamani. Makuhani walihitajika kuwakilisha Mungu na kusema kwa niaba ya watu, Mungu aliiangamiza yote. Na Mungu alisema haikuwa kamili kwa sababu Mungu anataka kupatanishwa na watu wake kulingana na ahadi alizompa Ibrahimu kwenye Mwanzo 12.
      katika Waebrania 10; 5, Yesu alisema hautaki dhabihu au sadaka, lakini umenifanya mwili. 9, inaonyesha kwamba Yesu alikuja kukomesha huduma ya kwanza akimaanisha agano la kwanza ili kuanzisha huduma ya pili ikimaanisha agano la pili.
      katika agano la pili, mwili na damu ya YESU hutolewa mara moja na kwa wote mbele za Mungu, ili wote watakaoweka imani yao katika Kristo wafanywe watakatifu na wakubalika kwa MUNGU.
      MUNGU aliharibu mfumo wa zamani, njia ya kumkaribia Mungu katika Agano la Kale ambapo ANAHITAJI makuhani na manabii. Waebrania 8 v; 6 inasema kuwa huduma ya Yesu Kristo ni huduma ya juu zaidi kuliko huduma ya wote waliokuja katika Agano la Kale, na Mungu alimsimamisha Yesu Kristo kama MHUDUMI WA AGANO JIPYA. Waebrania 7:26 inasema kwamba kuhani mkuu kama huyo ndiye tunayemhitaji. Yeye ambaye hana lawama kabisa, safi, hana dhambi, ameinuliwa juu ya mbingu,. inamaanisha kwamba Yesu Kristo alikuwa kuhani mkuu kamili ambaye ulimwengu ulihitaji na alikuja kuchukua nafasi ya manabii na makuhani wote wa Agano la Kale. Ili kwamba katika Agano Jipya, kila mtu anayemwamini Kristo Yesu anakuwa uzao wa Ibrahimu, anapokea haki ya kuzaliwa. Yohana 1; 12, lakini kwa wote waliompokea YESU, kwa wale wanaoamini jina lake YESU KRISTO, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu.

      Kwa hiyo hamu ya Mungu ilikuwa kuunda ufalme wa makuhani. Kwa hivyo kila Mkristo wa kweli ni kuhani katika agano jipya 1 Petro 2; 9. anasema kwamba wewe ni jamii iliyochaguliwa, ukuhani wa kifalme, familia ya watu waliokombolewa, kwani YESU alilipa gharama ya wokovu wetu.
      Warumi 10; 2, Bibilia inasema: wana bidii kwa Mungu, lakini sio kulingana na maarifa kwa maana WAPUUA HAKI YA MUNGU, na wakitafuta kuanzisha haki yao wenyewe, wanakataa kujitiisha kwa haki ya Mungu, Kwa maana Kristo ndiye mwisho wa sheria. Na KRISTO NI HAKI YA MUNGU. Hii inamaanisha kwamba yote ambayo ilikuwa muhimu kwa wanadamu kupatanishwa na Mungu ilikuwa ndani ya Kristo. kifo cha
      Yesu Kristo msalabani huwafanya Wakristo kuwa walengwa wa agano jipya. MATHAYO 11; 13 Kwa maana Manabii wote na Sheria walitabiri mpaka Yohana. 14 Na ikiwa uko tayari kuikubali, YOHANA ndiye Eliya aliyekuja. Sasa Joseph smith wa Mormoni 1830, Ellen white wa Wasabato 1863, Charle Rusell 1872, William Branham 1933, WOTE WALITOKA AMERICA WALIOTUMWA NA ROHO HUYO, WOTE WANADAIWA KUWA NI MJUMBE WA SAA HIYO, KUHUBIRI KWA WAZINI HUYO KINAPINGANA NA WAZIRI WA KWANZA. , NIA YA KUWA ILI KUJITEGE WENYEWE JUU YA KILA MTU WOTE WALIKATAA MAHUBIRI RAHISI YA MITUME AMBAYO ILIKUWA [KUAMINI KATIKA YESU KRISTO, TUBU DHAMBI ZAKO UBATIZWE NA UPOKEE ZAWADI YA ROHO MTAKATIFU].

  • @amosgidion3430
    @amosgidion3430 2 года назад +1

    God bless your in name Jesus Christ

  • @oscarmapunda5225
    @oscarmapunda5225 3 года назад +1

    Amina. Nakupenda Sana nabii wangu

  • @reginasmateka9605
    @reginasmateka9605 2 года назад +1

    Amen mungu akumbarik

  • @innocentcharles7847
    @innocentcharles7847 2 года назад +1

    Malaki 4:5,6

  • @alfredezekiel9914
    @alfredezekiel9914 6 лет назад +3

    Amina&Amina bwana wangu

  • @fadhilbenedicto2986
    @fadhilbenedicto2986 6 лет назад +3

    sure my prophet

  • @lusubonifacembilinyi6146
    @lusubonifacembilinyi6146 7 лет назад +4

    Amen Amen

  • @lodrickjuma6809
    @lodrickjuma6809 6 лет назад +3

    Amin Mon prophet

  • @frankvega4192
    @frankvega4192 6 лет назад +2

    Amina na Amina

  • @lusanjalajoan6192
    @lusanjalajoan6192 6 лет назад +2

    Amen!

  • @fadhilbenedicto4499
    @fadhilbenedicto4499 4 года назад +1

    Amen amen

  • @j.c.t.v6869
    @j.c.t.v6869 5 лет назад +1

    amina

  • @jamespavard6410
    @jamespavard6410 3 года назад +1

    Amen amen amen!!

  • @francoisewabiwa9865
    @francoisewabiwa9865 2 года назад +1

    Amiiina 🙏

  • @naomingoti288
    @naomingoti288 3 года назад +1

    Ameen

  • @lusubonifacembilinyi6146
    @lusubonifacembilinyi6146 7 лет назад +5

    ndugu post na nyingine nyingi za swahili

  • @jacobmuumbi5400
    @jacobmuumbi5400 Год назад

    The five virgin online.

  • @toshabernadette3848
    @toshabernadette3848 3 года назад

    Amen, kweli mtupu

    • @webnessie27
      @webnessie27 3 года назад

      Je! William Branham alikuwa MJUMBE wa saa? Je! Kuna haja leo kwa mtu mwingine, mwanadamu? au YESU KRISTO kando, kwani Mungu anatukubali? Je! Biblia inasema nini? Kwanza, katika 1 Yohana 4; 1, biblia inasema, wapendwa, msiamini kila roho, lakini zijaribu roho. Basi hebu tuchambue William Branham. Katika Yohana 1; 29. Wakati Yohana Mbatizaji alipomwona Yesu, alisema: Tazama Mwanakondoo wa Mungu ambaye huondoa dhambi za ulimwengu. ambayo inamaanisha kuwa YESU ndiye ambaye ulimwengu ulikuwa ukimsubiri apatanishwe na MUNGU.
      1 Petro 2; 24, Yesu alizibeba dhambi zetu msalabani, ili haki yake itupewe. Haki inamaanisha; haki, kukubaliwa mbele za Mungu. Ndio kusema YESU amekuwa njia hai ya neema inayotuongoza kwa MUNGU. 1Yohana 2; 21, sema ni nani mwongo?
      Mwongo ni mtu yeyote anayekataa kwamba Yesu ndiye Kristo. Kristo maana yake ni mpakwa mafuta. MASHIACH ambayo ulimwengu wote ulikuwa ukimtafuta, yule Mpakwa Mafuta ambaye alikuwa na upako unaoweza kutoa uzima wa Milele. bwana, mwokozi. maisha tele, ufufuo ni YESU KRISTO.
      Wagalatia 4:22, inazungumzia watoto wawili wa Ibrahimu na wake wawili. Alisema wake zake wawili wanawakilisha Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la kale na agano jipya. Sasa, nini kilikuwa katika Agano la Kale, tulikuwa na makuhani, tulikuwa na manabii. Ilikuwa njia pekee ya Mungu kuwasiliana na watu wake. Wagalatia 3; 23 Kabla imani haijaja, tulikuwa chini ya sheria. Sheria ilikuwa mwalimu wetu kutuongoza kwa Kristo. Lakini wakati Kristo amekuja, hatuko tena chini ya wakufunzi na waalimu wa shule. KWA maana MUNGU ameweka ndani ya mioyo yetu roho ya mwanawe Wagalatia 4; 6.
      Waebrania 7:23, makuhani wa Agano la Kale walipunguzwa katika huduma yao kwa kifo, hawakuweza kuendelea kutumikia, walikuwa na udhaifu.
      kwa sababu hazikuwa za kudumu. walikuwa wenye dhambi. Hii ndiyo sababu Biblia katika Kiebrania 8; 7 alisema kwamba Mungu aliharibu agano la kwanza kwa sababu halikuwa kamili. Na akaibadilisha na agano jipya na agano jipya, Mungu aliharibu njia yote ya agano la zamani. Makuhani walihitajika kuwakilisha Mungu na kusema kwa niaba ya watu, Mungu aliiangamiza yote. Na Mungu alisema haikuwa kamili kwa sababu Mungu anataka kupatanishwa na watu wake kulingana na ahadi alizompa Ibrahimu kwenye Mwanzo 12.
      katika Waebrania 10; 5, Yesu alisema hautaki dhabihu au sadaka, lakini umenifanya mwili. 9, inaonyesha kwamba Yesu alikuja kukomesha huduma ya kwanza akimaanisha agano la kwanza ili kuanzisha huduma ya pili ikimaanisha agano la pili.
      katika agano la pili, mwili na damu ya YESU hutolewa mara moja na kwa wote mbele za Mungu, ili wote watakaoweka imani yao katika Kristo wafanywe watakatifu na wakubalika kwa MUNGU.
      MUNGU aliharibu mfumo wa zamani, njia ya kumkaribia Mungu katika Agano la Kale ambapo ANAHITAJI makuhani na manabii. Waebrania 8 v; 6 inasema kuwa huduma ya Yesu Kristo ni huduma ya juu zaidi kuliko huduma ya wote waliokuja katika Agano la Kale, na Mungu alimsimamisha Yesu Kristo kama MHUDUMI WA AGANO JIPYA. Waebrania 7:26 inasema kwamba kuhani mkuu kama huyo ndiye tunayemhitaji. Yeye ambaye hana lawama kabisa, safi, hana dhambi, ameinuliwa juu ya mbingu,. inamaanisha kwamba Yesu Kristo alikuwa kuhani mkuu kamili ambaye ulimwengu ulihitaji na alikuja kuchukua nafasi ya manabii na makuhani wote wa Agano la Kale. Ili kwamba katika Agano Jipya, kila mtu anayemwamini Kristo Yesu anakuwa uzao wa Ibrahimu, anapokea haki ya kuzaliwa. Yohana 1; 12, lakini kwa wote waliompokea YESU, kwa wale wanaoamini jina lake YESU KRISTO, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu.

      Kwa hiyo hamu ya Mungu ilikuwa kuunda ufalme wa makuhani. Kwa hivyo kila Mkristo wa kweli ni kuhani katika agano jipya 1 Petro 2; 9. anasema kwamba wewe ni jamii iliyochaguliwa, ukuhani wa kifalme, familia ya watu waliokombolewa, kwani YESU alilipa gharama ya wokovu wetu.
      Warumi 10; 2, Bibilia inasema: wana bidii kwa Mungu, lakini sio kulingana na maarifa kwa maana WAPUUA HAKI YA MUNGU, na wakitafuta kuanzisha haki yao wenyewe, wanakataa kujitiisha kwa haki ya Mungu, Kwa maana Kristo ndiye mwisho wa sheria. Na KRISTO NI HAKI YA MUNGU. Hii inamaanisha kwamba yote ambayo ilikuwa muhimu kwa wanadamu kupatanishwa na Mungu ilikuwa ndani ya Kristo. kifo cha
      Yesu Kristo msalabani huwafanya Wakristo kuwa walengwa wa agano jipya. MATHAYO 11; 13 Kwa maana Manabii wote na Sheria walitabiri mpaka Yohana. 14 Na ikiwa uko tayari kuikubali, YOHANA ndiye Eliya aliyekuja. Sasa Joseph smith wa Mormoni 1830, Ellen white wa Wasabato 1863, Charle Rusell 1872, William Branham 1933, WOTE WALITOKA AMERICA WALIOTUMWA NA ROHO HUYO, WOTE WANADAIWA KUWA NI MJUMBE WA SAA HIYO, KUHUBIRI KWA WAZINI HUYO KINAPINGANA NA WAZIRI WA KWANZA. , NIA YA KUWA ILI KUJITEGE WENYEWE JUU YA KILA MTU WOTE WALIKATAA MAHUBIRI RAHISI YA MITUME AMBAYO ILIKUWA [KUAMINI KATIKA YESU KRISTO, TUBU DHAMBI ZAKO UBATIZWE NA UPOKEE ZAWADI YA ROHO MTAKATIFU].

  • @webnessie27
    @webnessie27 3 года назад +1

    Ndugu ongeza nyingine za kiswahili

  • @majibageorge8864
    @majibageorge8864 6 лет назад

    amina ndugu

  • @amanimuhakwa
    @amanimuhakwa 9 месяцев назад +1

    @amanimuhakwa

  • @aweama2841
    @aweama2841 Год назад

    Amen

  • @nehemiahdmawallamawalla3926
    @nehemiahdmawallamawalla3926 4 года назад +1

    Amina

  • @anjelineouma2020
    @anjelineouma2020 2 года назад

    Amen

  • @SmS-pR
    @SmS-pR 2 года назад

    Amen

  • @neemamsuya6806
    @neemamsuya6806 2 года назад +1

    Amen

  • @tinamushi5550
    @tinamushi5550 2 года назад +1

    Amen

  • @kavishegasper283
    @kavishegasper283 3 года назад +1

    Amina

  • @MedaBaraka7
    @MedaBaraka7 3 года назад +1

    Amen

  • @jubilenikweli9140
    @jubilenikweli9140 3 года назад

    Amen