Uyo Mkuu wamkoa nimshamba wamadaraka kamamnakumbuka uyo ndiealiemtete yule Mkuu wamkoa Aliemwingiliakinyumenamaumbire mwanafunzi WA CHUO. Atumburiwe iliarudi KWENYE mpira
Uongozi NI hekima na busara, lakini Huyu mkuu WA mkoa ameshindwa kuzitumia hiyo. Uongozi wake siyo Aina ya Uongozi ambayo Mama Samia anahitaji, kuingia hadi faragha za watu.
Washuke daraja hao pamba wanaleta mazingaumbwe kweny mpira na mkuu wao wa mkoa nae anahangaikia timu bovu , mwanza hamna timu wew Rudi kweny majukumu yako mkuu wa mkoa
MUNGU ASAIDIE PAMBA ISHUKE DARAJA ILI MPIRA WETU WA TANZANIA UENDELEE VIZURI. KWANI KAMA MKUU KAMA YULE ANATAKA USHINDI WA LAZIMA. HUU SIYO MPIRA TENA!
Mkuu wamkoa ni Mwenyekiti wakamati yaulinzi mkoa Anaruhusiwa kuingia popote bila kuzuiliwa namtu yoyote iwapo2 kunajambo lolote anafatilia kwenye eneohilo
Huhuni huu wa mkuu wa mkoa mwanza hauvumiliki kabisa mambo kama haya yakiachwa siku moja yatavunja amani ya nchi wa huni kama Hawa sio wa kuachwa madarakani
Kwani timu zinapoenda mikoani ni lazima wakuu wa mikoa wanaenda humo viwanjani? Na kama mkuu wa mkoa anaita polisi kukamata viongozi wa Simba hapo haki hiko wapi na pia ukizingatia ushatoa tamko la ahadi Kwa pamba akimfunga Simba utawapatia million 50 Sasa hapo unavyoenda kuangalia mazoezi ya Simba ni nani atakukubalia kuingia uwanjani hata kama ni kiongozi wa mkoa?
HUYU MKUU WA MKOA, ANAMUAIBISHA RAIS WA TANZANIA ALIYEMTEUA. YAANI RAIS KATEUA MTU WA HOVYO, ASIYEJUA MIPAKA YAKE. TUNAMUACHIA RAIS ATAJUA AMLINDE AU AMTUMBUE.
Wewe ndio fara,ona sasa mlivopelekewa moto hadi aibu,mnafungwa waziwazi refa anakataa,dkk zimeongezwa 2 kwa ile Mikasa yote,nyie kipindi hiki mnaishia makundi
Mmmmmh! kunaitaji mchujo mkubwa Sana kupitishwa mchujo awa Viongozi wasio na fikra. Sasa kiongozi na ushabiki wapi na wapi. Basi aondoshwe madarakani ili tujue kwamba ni mashabiki WA timu flani.😂😂😂 Kumbe apo tumepigwa kiongozi hatuna
NYIE PAMBA ACHENI UJINGA WENU YUPO SAHIHI SANA SEMAJI LA CAF LIPO SAHIHI. SASA MKUU WA MKOA ULITAKA UINGIE ILI IWEJE? UNAITA POLISI ILI IWEJE?HUO NI UDHALILISHA WA VIONGOZI WA SIMBA. TFF MSILIACHE HILI.
SERIKALI IJENGE KIWANJA NYIE MFANYE FURUGU VIONGOZI WA SERIKALI WAJE MUWAZUIE KUINGIA ETI MPAKA VIMAZOEZI VYENU UCHWARA VIISHE. MKIUA MTU HUMO NDANI? ACHENI UJINGA. KUNA SHERIA ZA NCHI AMBAZO NI KUBWA KULIKO SHERIA ZINGINE ZOTE NCHINI
Mhuuuuuu MUNGU yupo simba wewe unaenda yanga usimoe magufuri hapo utafungwa aliekudanganya uzeeni utamtaja? Kukamatwa kwa menejawasimba na wengine huo ni ushindi kwetu. bila kusahau kuwaombea mema namazuri ndugu jamaa na malafiki kaliako kwa majanga ya ngorofa AME
Wewe ni mjinga yaani mwenyeti wa ulinzi na usalama hamtaki akague kiwanja .nyie wapuuzi kweli.Mmejifanya nyie mko juu kuliko serikali .wajinga kweli.Au mnatafuta sababu mkifungwa mpate pa kusingizia.
Simba Wana mamlaka gani kumzuia mkuu wa mkoa kuingia uwanjani???,wee ulieleta hii hbr ni fara tu...kwann hao simba wamekataa kufungua geti mkuu wa mkoa aingie??,je wakivamiwa na wahuni msaada wangeutoa wapi??
Wewe ni mpumbavu tu timu yenu imeisha kiwango mnataka kutumia vibaraka wenu wa huni wezenu hatuta kubali kwanza ingekuwa kwetu huyo mkuu wa mkoa angeona hiyo kazi haiwezi wapi na wapi mkuu wa mkoa anaingia timu inapo fanya mazowezi utopolo wambieni wachezaji wenu waache umalaya wacheze mpila
Mkuu wa mkoa kakosea sana kwa sababu mambo hayo yapo tofauti na majukumu yake labda ingekua imetokea fujo alafu ndy kaenda kutuliza.
Viongozi kama Hawa..waangalie sana..mambo haya yanaweza kuleta maafaa yasiyo na sababu
Unacha kufanya kazi za mkoa unapenda kuhangaika na mpira
Mama tunakuomba umtumbuwe huyu mkuu wa mkoa wa mwanza hana maadili ktk soka letu.
@@danielphilipo9088 Kivipi mkuu wa mkoa wetu vipi atumbuliwe kwa mambo ya soka? anafanya kazi mzuri ya mkoa
Uyo Mkuu wamkoa nimshamba wamadaraka kamamnakumbuka uyo ndiealiemtete yule Mkuu wamkoa Aliemwingiliakinyumenamaumbire mwanafunzi WA CHUO. Atumburiwe iliarudi KWENYE mpira
Uongozi NI hekima na busara, lakini Huyu mkuu WA mkoa ameshindwa kuzitumia hiyo. Uongozi wake siyo Aina ya Uongozi ambayo Mama Samia anahitaji, kuingia hadi faragha za watu.
@@piuskusenge-jf2ob huyo ndo uongozi ambao mama anauwitaji kama hauwitaji ngoja tuone kama atachukua hatua dhidi yake
Hii cyo sawa kiongoz kutumia cheo kuharib mpira
Hadi aibu na barua ya ofisi ya mkuu wa mkoa ya kukanusha inajigongagonga tu maelezo haitoe maelezo yaliyosahihi. Na aone aibu looh!!
Huyo mkuu wa mkoa ni utopolo alitaka kuingia uwanjani kuweka vitu vyake hana lolote na atambue kuwa simba ni dude kubwa kwenye hii nchi kuliko yeye
Mkuu wa mkoa umezingua subir fimbo yalo kwa mama Samia Suluhu Hassan hatukupenda ulicho fanya
ndiyo wa kuu wetu hao wanangu wa simba tupa mbane
Huyu mkuu wa Mkoa Hana uwezo wa kuongoza Mkoa
mambo haya timu zetu hazifanyiwi hata nje ya nchi tunapo kwenda kucheza huko. TFF angalieni hili likomeshwe
Mkuu wa mkoa anapaswa kutambua kuwa simba ni kubwa kuliko yeye
@@bavonichristopha1693 kabisa simba nikubwa
Mpira wa tanzania umeingiliwa na siasa kwa staili hii tunaelekea kubaya
aibu kwa RC
Mechi hii Simba mtafumgwa msianze na visingizio
Washuke daraja hao pamba wanaleta mazingaumbwe kweny mpira na mkuu wao wa mkoa nae anahangaikia timu bovu , mwanza hamna timu wew Rudi kweny majukumu yako mkuu wa mkoa
@kiogozi gan huyo afukuzwe
Huyu mkuu ya yanga si wa mkoa
Huyo mkuu wa mkoa mpumbavuuuu sana anatumika timu yake ya nyuma mwiko mjinga na mshezi sana tunakuomba raisi Samia uchukue hatua
MUNGU ASAIDIE PAMBA ISHUKE DARAJA ILI MPIRA WETU WA TANZANIA UENDELEE VIZURI. KWANI KAMA MKUU KAMA YULE ANATAKA USHINDI WA LAZIMA. HUU SIYO MPIRA TENA!
Mama Alia viongozi wako wanagawa wtat
Sasa mkuu wa mkoa unaenda huko kufanya nini
Mama Samia shughulika na viongozi wa ajabu ajabu Kama hawa Kama Anataka mpira ateuliwe kuongoza BMT au TFF
Ushamba tu huo. Vitimu vidogo vinaleta ujinga. Kwani mkifanya hayo mtashinda? Wapuuzi tu tena mtapigwa nyingi.
CCM itawanyoosha tu na bado mlifikiri ni Chadema tu wanakamatwa
Inauma eee sindano imeingia
Mkuu wamkoa ni Mwenyekiti wakamati yaulinzi mkoa
Anaruhusiwa kuingia popote bila kuzuiliwa namtu yoyote iwapo2 kunajambo lolote anafatilia kwenye eneohilo
Wabongo ni watu wa ajabu sana. Mambo madogo madogo kama haya kuyapa uzito ni usenge. Mtaendelea lini ninyi??
Huhuni huu wa mkuu wa mkoa mwanza hauvumiliki kabisa mambo kama haya yakiachwa siku moja yatavunja amani ya nchi wa huni kama Hawa sio wa kuachwa madarakani
Wanataka kuwafanya Kama ukawa wanavowafanyia wakuu wote Bora wawe wanachaguliwa haya yanayo tokea yataisha nchi itakuwa ya amani
Mnakumbuka mechi ya Yanga Zanzibar wakat Yanga inafanya mazoez waliingia tim ya wanaocheza nayo uwanjani
Ukitukana wanasema vijana wa hovyo mtand
Mandalizi gani sema kwajili yakuloga tu ili kesho washinde
Kwani timu zinapoenda mikoani ni lazima wakuu wa mikoa wanaenda humo viwanjani? Na kama mkuu wa mkoa anaita polisi kukamata viongozi wa Simba hapo haki hiko wapi na pia ukizingatia ushatoa tamko la ahadi Kwa pamba akimfunga Simba utawapatia million 50 Sasa hapo unavyoenda kuangalia mazoezi ya Simba ni nani atakukubalia kuingia uwanjani hata kama ni kiongozi wa mkoa?
Viongozi kama hawa hawafai kabisa Bora angewaahidi pesa sio upuuuzi huuuu mpumbavu sana
Wao wanafanya hivi Tanzania je tukiwa Libya
Nchi yangu Tanzania! Itoshe kusema hivyo. Kuna viongozi wanachafua Amani na utulivu wa nchi. Hii ni aibu.
Sasa kwa nin viongoz wanafanya hivyo
Hao simba ni wachawi tu hamna kingine kama mazorzi ya kher kwanini wasi angalie mazoezi hayo kama ya kwer makolo ni makolo tu
HUYU MKUU WA MKOA, ANAMUAIBISHA RAIS WA TANZANIA ALIYEMTEUA. YAANI RAIS KATEUA MTU WA HOVYO, ASIYEJUA MIPAKA YAKE. TUNAMUACHIA RAIS ATAJUA AMLINDE AU AMTUMBUE.
Wewe ndio fara,ona sasa mlivopelekewa moto hadi aibu,mnafungwa waziwazi refa anakataa,dkk zimeongezwa 2 kwa ile Mikasa yote,nyie kipindi hiki mnaishia makundi
kama kunafujo kubwa inamhusu RPC sio mkuu wa mkoa huu ndio utaratibu
huy mkuu wamkoa amekosa kazi ya kufanya?
Anataka umaarufu kupitia mpira mkuu wa mkoa hajitambui
Ndio tatizo la kupeana vyeo unakuta mtu hata hajui majukumu yake Kila kitu anataka kuonesha yy ni nani ujinga mtupu
Mmmmmh! kunaitaji mchujo mkubwa Sana kupitishwa mchujo awa Viongozi wasio na fikra. Sasa kiongozi na ushabiki wapi na wapi. Basi aondoshwe madarakani ili tujue kwamba ni mashabiki WA timu flani.😂😂😂 Kumbe apo tumepigwa kiongozi hatuna
mim sioni kosa la mkuu wa mkoa kwenda uwanjani yuko sahihi
Kwenye mazoezi au?
@@DoreenMlay-e8g k ww..
Labda nae nimchezaj wasimba
NYIE PAMBA ACHENI UJINGA WENU YUPO SAHIHI SANA SEMAJI LA CAF LIPO SAHIHI. SASA MKUU WA MKOA ULITAKA UINGIE ILI IWEJE? UNAITA POLISI ILI IWEJE?HUO NI UDHALILISHA WA VIONGOZI WA SIMBA. TFF MSILIACHE HILI.
Mkuu wa mkoa yuko sahihi sababu ni mlinzi wa amani wa mkoa kama mmevunja kioo Cha ofisi mnategemea awaache,kumbe nyiye ni wajinga sana
Huyo ni mkuu mkoa wewe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama alikuwa sahihi tu kuingia uwajani
SERIKALI IJENGE KIWANJA NYIE MFANYE FURUGU VIONGOZI WA SERIKALI WAJE MUWAZUIE KUINGIA ETI MPAKA VIMAZOEZI VYENU UCHWARA VIISHE. MKIUA MTU HUMO NDANI? ACHENI UJINGA. KUNA SHERIA ZA NCHI AMBAZO NI KUBWA KULIKO SHERIA ZINGINE ZOTE NCHINI
Huyu hana sifa
Atumbuliwe
Acha zako Dunduka wewe. Yaani mechi ya Pamba na Simba eti kubwa😂😂
Mhuuuuuu MUNGU yupo simba wewe unaenda yanga usimoe magufuri hapo utafungwa aliekudanganya uzeeni utamtaja? Kukamatwa kwa menejawasimba na wengine huo ni ushindi kwetu. bila kusahau kuwaombea mema namazuri ndugu jamaa na malafiki kaliako kwa majanga ya ngorofa AME
Hizo picha mjongeo ni ushaidi tosha kabisa
Wewe ni mjinga yaani mwenyeti wa ulinzi na usalama hamtaki akague kiwanja .nyie wapuuzi kweli.Mmejifanya nyie mko juu kuliko serikali .wajinga kweli.Au mnatafuta sababu mkifungwa mpate pa kusingizia.
Ni sahihi mwenye kiti kuingia, lakini si muda sahihi kwake.
Amesababisha taharuki isiyo sababu yoyote.
Hivi unazani kesho itakuwaje?
Simba Wana mamlaka gani kumzuia mkuu wa mkoa kuingia uwanjani???,wee ulieleta hii hbr ni fara tu...kwann hao simba wamekataa kufungua geti mkuu wa mkoa aingie??,je wakivamiwa na wahuni msaada wangeutoa wapi??
Wewe ni mpumbavu tu timu yenu imeisha kiwango mnataka kutumia vibaraka wenu wa huni wezenu hatuta kubali kwanza ingekuwa kwetu huyo mkuu wa mkoa angeona hiyo kazi haiwezi wapi na wapi mkuu wa mkoa anaingia timu inapo fanya mazowezi utopolo wambieni wachezaji wenu waache umalaya wacheze mpila
Wewe ndio mshamba. Kama Simba imeweza kumziwia MKUU WA MKOA ndio itashindwa kuwazuia hao WAHUNI WAKO,unachekesha sana
@@samochristopherroche9953 ww unaemtetea mkuu wa mkowa huna akili mkuu wa mkoa afanye kazi zake mpila haumuhusu hatakidogi
Huwez kumzuia Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa kuingia ktk himaya yake yy co timu pinzani yy ni mkuu wa mkoa Mzima
Yeye ni mwanachama wa utopolo na anakadi kabisa,kwann asiende kuangalia mazoezi ya timu yake ya mkoa??au asubiri timu yake ya yanga ikija
@@shaameshaame2837 huyo ni mkuu wa mkoa wewe
Mechi ya simba na pamba ina ugumu kiasi gani hadi mchukulie hayo
Hujielewe mjinga wewe
Kuma la bibi ako