REV. DR. ELIONA KIMARO: MWANAMKE ANA IMANI ILIYOBEBA BARAKA YA KIVIZAZI/ WOMEN FAITH
HTML-код
- Опубликовано: 14 окт 2024
- MWANAMKE ANA IMANI ILIYOBEBA BARAKA YA KI-VIZAZI
WOMEN OF FAITH (W.F)
Luka 1 : 26 - 37
Mwanzo 27 : 1 - 29
Kutoka 4 : 24 - 26
2 Timotheo 1 : 1 - 7
NENO KUU:
"Zitafakarini njia zenu"
(Consider your ways)
Hagai 1:7
Kutoka 4 : 24 - 26
24 Ilikuwa walipokuwa njiani mahali pa kulala, Bwana akakutana naye akataka kumwua.
25 Ndipo Sipora akashika jiwe gumu na kuikata govi ya zunga la mwanawe, na kuibwaga miguuni pake akasema. Hakika wewe u bwana arusi wa damu kwangu mimi.
26 Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri.
2 Timotheo 1 : 1 - 7
1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu; kwa ajili ya ahadi ya uzima ulio katika Kristo Yesu;
2 kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
3 Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.
4 Nami natamani sana kukuona, nikiyakumbuka machozi yako, ili nijae furaha;
5 nikiikumbuka imani uliyo nayo isiyo na unafiki, ambayo ilikaa kwanza katika bibi yako Loisi, na katika mama yako Eunike, nami nasadiki wewe nawe unayo.
6 Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.
7 Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.
Mhubiri: Rev. DR. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Amen. Unanitia Moyo sana Baba Mchungaji
Amina mchungaji nabarikiwa sana na mafundisho yako
Amina mtumishi,hata Mimi Nina Imani ya kivizazi
Ubarikiwe sana pastor naomba uombee family yetu
Baraka kwako mtumishi wa mungu
Amen Amen!! Mtumishi wa Mungu naendelea kubarikiwa na mafundisho Yako yananiinua sana! Mungu azidi kukuinua katika viwango vingine
Amen 🎉🎉
Ninakushukuru Baba kwa mafundisho yako hasa kipindi hiki cha Kwaresma.