LIVE: POSA NA TARATIBU ZAKE - (FADHAKIR) NA MHADHIRI WA KIMATAIFA SHEIKH NURDEEN KISHK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 61

  • @gamblilekamau129
    @gamblilekamau129 Год назад +1

    Asalaam Alaykum Warahmatulah Wabaraqatu mie nime slimu kwa Deen Al Islam Naomba unifunze Deen... niliwai hudthuria khotba yako Apa jiji Nairobi.. masjid al ameen na pia mskiti wa huruma kiamaiko... Allah anifahamishe Deen... na Allah akupe Tawfiq..

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 4 года назад +3

    Mashallah Allah akuhifadhi sheikh nurdin kishiki uendelee kuitangaza Dini na akupatie mwisho ulomwema🤲

  • @fadyasalim6062
    @fadyasalim6062 4 года назад +2

    Mashallah tuna kupata vizuri kutoka London Allah awabariki nyote awahifadhi na kila mabalaa

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 2 года назад +1

    Masha Allh tabaraka Allh shukran sana kwa somo zuri

  • @hassinafati3512
    @hassinafati3512 2 года назад +1

    Assalam alaykum warahamtullah wabarakatuh shekhe kishki allah akuhifadhi na husda za ulimwengu

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 Год назад +1

    jazzakaAllah kheir

  • @mussavande-mcstar1890
    @mussavande-mcstar1890 2 года назад

    Inaniuma sana nilipeleka posa akaja mwengine nae akaposa na akampata mwanamke wa ndoto zangu😭😭

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 года назад +4

    WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh ❤ ☺️ jazakumullahu khayran 💕

  • @mugilason2727
    @mugilason2727 4 года назад +1

    Maashallah jazakallahu khair, endelea kutuelimisha shekhe wangu, halafu wenye kufanya dini kama taarab na waje kujibu, kukejeli na kukosowa ulichotufunza leo.

  • @amenamaashaallahyasheikh3457
    @amenamaashaallahyasheikh3457 4 года назад +4

    Maa shaAllah

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 2 года назад +1

    Asalaaam aleykhum shekhee shekhe allah akujariekila lakher azidii kukuwekaduniani miaka nyingii uzid kutuelimisha ss ambao elimuyetuu suokubwa

  • @mberwahussein7664
    @mberwahussein7664 4 года назад

    Masha Allah sheikh kishki nurdin tunakuombea mungu akubari Nate tuomba utuelimishe kwkila jambo jema tunashukuru Sana tu tulikuwa hatufahamu

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 Год назад

    Masha'Allah TabarakaAllah

  • @MuniraM-c3t
    @MuniraM-c3t 10 месяцев назад

    Maashallah tabaraallah ❤

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 4 года назад +3

    Kishkish mimi nipo Norway nakupata vizuri sana

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 года назад

      Fanyaurudi nyumbani nyumbani kumenoga

  • @nyumaamissi866
    @nyumaamissi866 4 года назад +3

    Masha Allah

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 года назад +1

    Sheikh Jazaakallahu khaira

  • @Shally-dj2sj
    @Shally-dj2sj 2 года назад

    Asalaam Alleykum shekhe mashaa Allah nimefaidika na kipindi nimejifunza mambo mazuri

  • @hawamudihawa8779
    @hawamudihawa8779 4 года назад +1

    Mashallah. Kipindi kizuri mwenyezimungu awazidishie kila lakheri

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 года назад

    Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul.Shukran jazakaallah
    Kheir ..❣❣❤😍👌

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 Год назад

    Assalam alaikum warahmatullahi wabarakaatuh

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 года назад +1

    Jazakar allahu kher

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 10 месяцев назад

    Ipo sawa kabisa

  • @HanrenseTraorejimmy-un6jq
    @HanrenseTraorejimmy-un6jq 10 месяцев назад

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh vipi Hali Zenu mashehe zangu mpo Salama Mimi nnaswali mahari ni zawadi ya mwanamke naalafu mahari iyo ikitolewa kwa mwanamke ikiwa ni dada yangu Ambae anataa kutolewa mahari iyo mahari inatakiwa ifanyiweje Na dada yangu uyo Mimi NAE hatuna baba Wala mama Ayo mahari yakitolewa itagawiwa Na falimiya au Kaka ndoambae anaweza kuchukuwa Ayo mahari mmh na ktk mahari ya dada Mimi nnafungo langu mimi Kaka au inakuwaje Nnaomba uniweke Sawa ktk Hilo

  • @busta_malik5971
    @busta_malik5971 4 года назад +2

    Mashaallah

  • @bazaki8016
    @bazaki8016 4 года назад +1

    Shekhe mim swali langu inafaa kuolewa na baba mdogo wangu
    Yani
    Ni mme wa mamdogo wangu
    Ambao wamechanganya baba ila kila mtu na baba ake

  • @mwanashamzaramo1763
    @mwanashamzaramo1763 4 года назад +1

    Assalam alaykum warhmatullai wabarakatuh...Nauliza je mtoto wa mama kambo je anaweza kukuposa...mama was kambo mtoto wake wa kiume je anaweza kuniposa au kuniowa....

  • @grandsonmasoud9753
    @grandsonmasoud9753 4 года назад

    Shukran

  • @bazaki8016
    @bazaki8016 4 года назад

    اسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    Mm naitwa bizak biti maulid shekhe kishiki
    Mm nimacho omba unieleweshe swala la kuolewa
    Yani namanisha
    Inafaa .kuolewa na baba mdogo ambaye
    Mke wake na mama angu wamechanganya baba samahani naomba unifafanuliy

  • @yunissheikh2173
    @yunissheikh2173 2 года назад

    Yunus sheikh

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 года назад +1

    Masha Allah ❤️❤️

    • @prestonjaden2374
      @prestonjaden2374 3 года назад

      I guess Im quite randomly asking but do anybody know of a good site to watch new series online ?

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 4 года назад

    Shukran kutuelimisha

  • @hashimal-ahdal1210
    @hashimal-ahdal1210 3 года назад

    mashallah

  • @hashimalahdal5855
    @hashimalahdal5855 3 года назад

    waalaykum salam

  • @ummukuluthumu5748
    @ummukuluthumu5748 4 года назад

    Maashallh maashallh maqboul

    • @ummukuluthumu5748
      @ummukuluthumu5748 4 года назад

      Allh akujaaliye kila lakhery na akubareeq inshllh

  • @rukiajimmy5741
    @rukiajimmy5741 11 месяцев назад

    Je mtu anaweza kuposwa wakati wa ramadhan sheikh

  • @husnabibikhadidjaomari9427
    @husnabibikhadidjaomari9427 2 года назад

    Samahani sheikh wetu naomba nijuwe je mvulana wa mwanaume na binti wa mwanamke wanaruhusiwa kuowana?

  • @suleimansalim9470
    @suleimansalim9470 3 года назад

    Aslam aleikum ustadh je waweza mposa ama kumuoa mtoto wako wa nje ya ndoa

  • @allyjuma450
    @allyjuma450 4 года назад

    As salam alaykum !! Sheikh nataka kujuaa kwenye barua ya posa ni lazima uweke chochotee ?

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 2 года назад

    Nimeposa mpaka namuoa ndio nimeambiwa kama mke ana matatizo fulani na ww mwenyewe ulipo muoa hukuridhika umeingiwa na sonono ufanyeje

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 года назад +1

    😃😃😃hiyo mama chapati ulivyo iwekea mkazo shekh yahya

  • @jacksonrichard4630
    @jacksonrichard4630 2 года назад

    Je kama bint ameposwa na mtu na imepita takriban mwaka mzima na bint amemkataa amekataa kuolewa na yule mtu alie mposa ila baadhi ya wakubwa wamegoma kurudisha posa ambayo mwanamke ameikataa. Na bint anataka aolewe na mtu mwingine alie mlidhia ila posa ndio aijarudishwa je sheria ipo vipi hapo....?

  • @nusurashaban955
    @nusurashaban955 4 года назад +4

    Mimi nilitolewa posa muda ukapita mwanaume akutokea tena baade nilimpata et akasema alipata tafizo ila akuonyesha nia ya kunioa nikasema nitakurudishia vitu vyako maana kwenye barua aliweka pesa akajibu hapana nitakutafuta kesho kutwa tuongeee sasa mwaka wa 2 sijui yuko wapi na sina mawasiliano je nikipata mvulana wa kunioa nikakubali posa ni makosa ?

  • @swaumuramadhani3298
    @swaumuramadhani3298 3 года назад

    Kama Sina mtu wakusafirinae

  • @mariamsuruti4575
    @mariamsuruti4575 4 года назад +4

    Mashallah

  • @fatmamohdi2831
    @fatmamohdi2831 3 года назад

    Masha allha