JEMEDARI: NAWAONA SIMBA FAINALI YA SHIRIKISHO/ SIMBA WAMEKUWA DARASA LA MPIRA TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 77

  • @EnockMasagasi
    @EnockMasagasi 11 дней назад +2

    To be honest
    Jemedari ni mchambuzi mahiri na Bora.
    Sema tuna utimu ndio maana wengi kumuelewa ni kazi.
    Big up brother.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 12 дней назад +6

    SIMBA SONGA MBELE KIMYA KIMYAAA!!!

  • @Joyce-l7s
    @Joyce-l7s 12 дней назад +5

    Ushindi kimya kimya msie mpenda mungu amemuinua

  • @kheirahmad4064
    @kheirahmad4064 12 дней назад +14

    Akiwa anaongea Jemedari gwiji la mpira Geof unapaswa kuwa kimya. Yeye anaongea quality ya mpira wewe kivurugee.

  • @SamsoniKaka
    @SamsoniKaka 11 дней назад +2

    🦁🏆♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 10 дней назад

    Chawa anatoa macho namiuwani yake. Alisema Simba underdog 😂😂😂

  • @salumajib7302
    @salumajib7302 12 дней назад +5

    si mlisema simba ni underdog😂

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 12 дней назад +1

    jemedari upo vizuri sana sana

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 11 дней назад +1

    Jemedari said kaongea ukweli , Wana Simba tumpongeze

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 10 дней назад

    Hao topdog wako wp Leo? Gusa achiaa twende makumbusho sio lobo finally 😂😂

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 12 дней назад +3

    J lea leo kageuka

  • @KassimKassim-cz5ci
    @KassimKassim-cz5ci 12 дней назад +1

    Sio kweli hamna kitu

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 11 дней назад

    Geof usicomment chochote

  • @BashiruShiru-w1t
    @BashiruShiru-w1t 11 дней назад

    Wao ndo 2nagundua kumbe walibaatsha2

  • @ozuabrahamu8079
    @ozuabrahamu8079 11 дней назад +2

    wanafiki leo wamekutan na wamegeuka yale maneno yot waliyo ongea ck 5 zilizopita wanaongea lakn sura zao zimejaa aibu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 12 дней назад +2

    huwez kunponda jemedari na si tupo apa, komata ww😊,,we endelea kunywa supu sawa,,,tuache wenzio tukacheze fainali..

  • @tayomediatz6997
    @tayomediatz6997 12 дней назад +2

    wanafiki nyinyi kasoro Jemedali peke ake

  • @MudiMnyamwezi
    @MudiMnyamwezi 11 дней назад

    John Bocco alikua sahihi

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 12 дней назад +2

    Wachambuz weng hawajui mpira waongea tu ili nawe waonekane wameongea ila jamedar yuko vzr

  • @CalvinJames-q3u
    @CalvinJames-q3u 10 дней назад

    Mnachambua mpira ambao tuneona chambue kitu kinakuja

  • @MeddyChoro
    @MeddyChoro 11 дней назад

    ME BINAFSI NAESHIM UWEZOWENU WAKAZI NA NAUKUBALI SANA UCHAMBUZI WENU MUNGU AWABALIKI

  • @ShabaniHamis-z8k
    @ShabaniHamis-z8k 11 дней назад

    Naomba mmwambie kocha wa yanga ache visingizio mpira nimchezo wa makosa hivi kwanini makocha wakipoteza mechi tu wanatafuta kichaka hawamini kwamba anaecheza nae anataka matokeo kama ingekuwa Kila ukienda uwanjani unashinda mashabiki tusinge kuja

  • @pascalhombo7938
    @pascalhombo7938 11 дней назад

    Geof ni mnafki sana ila basi tu

  • @AbdulNassir-k7m
    @AbdulNassir-k7m 12 дней назад

    Ovyoooo

  • @NeemaMushi-r4o
    @NeemaMushi-r4o 12 дней назад

    Wachambuzi wanafiki sana sijapat kuona

  • @Kizze45
    @Kizze45 11 дней назад

    Jemedar ndumilakuwili ww

  • @Zakaria-j8s
    @Zakaria-j8s 12 дней назад

    we geof acha kiherehere mpira hujui😂😂😂

  • @Zwangendaba97
    @Zwangendaba97 12 дней назад

    tupewe stellanbosch

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 11 дней назад

    Waandish mavi hawa umbea tu umewajaaa hatuwataki😅😅😅

  • @SuleimanMarando-v9b
    @SuleimanMarando-v9b 11 дней назад

    ata mm nikiwa nafatiliaa takwimu na. kkuongelea takwimu siwezii shindwa kuwa mchambuzii talk about mbinuuu na how to play or wamecheza vipii so takwimu tu kama geoflea

  • @MaikoMdolo
    @MaikoMdolo 11 дней назад

    Iyo ndg mtangazaji siyo vizuli unaiona Simba wapi
    Unataka Simba wabweteke kama yanga wajue wapo faino

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 12 дней назад

    Watu wamejazana studio

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 12 дней назад +4

    Geof hana hadhi ya kuiongelea Simba, si alisema kuwa Simba ni underdog. Akae kimyaaaaa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 11 дней назад

    Huyo gofrei mwehuu

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 12 дней назад +1

    Huyu dogo hans ni mshenzi mkubwa yan upo kwenye media kubwa unasema mtu anafanya mapenzi na mpira😊

  • @EmanuelMasonga
    @EmanuelMasonga 11 дней назад

    Uyo jofu afukuzwe TU,

  • @NasriNassor-c2z
    @NasriNassor-c2z 11 дней назад

    Hivi kweli unakili timamu wasikiliza wachambuzi wa bongo

  • @ValerianMalya
    @ValerianMalya 11 дней назад

    Ebu vaeni suti muheshimishe hapo mnavyovaavaa hamjafanana na kazi yenu

    • @TryphonRabson
      @TryphonRabson 11 дней назад

      ww akili zako ndogo za kizaman suti haimpi mtu heshima hiyo nisawa na kufunika mavi na sahani heshima huletwa na ww kwanza cyo nguo

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 11 дней назад

    Wachambuzi wengi wa mpira wafata upepo

  • @HabibKhamis-b2x
    @HabibKhamis-b2x 11 дней назад

    Huyu dogo bana😅😅😅yeye anaongea kilekule to metome nini bana

  • @Ramadhani-hk1os
    @Ramadhani-hk1os 12 дней назад

    boko alisema hapa wachambuzi bongo ni wengi kuliko wanamichezo..
    jemedari mchambuzi unaeendana na upepo wa matukio badala ya kuchambua kinachotokea uwanjani..
    badilika ndugu yangu 😅😅

  • @NasriNassor-c2z
    @NasriNassor-c2z 11 дней назад

    Hapo hakuna wachambuzi watafute kazi wenyewe mpira wamejua ukubwani njaa simba imetia aibu

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 12 дней назад

    Yani apo jemedar said tu bas

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 12 дней назад +1

    Jemedari Saidi ni mchambuzi wa ajabu sana. Mwaka 1993 alikuwa wapi? Simba ilifika fainali na bahati mbaya ilifungwa na Stella Abidjan kwa goli 2. Kwanza Jemedari hata alipokuwa anacheza hakuwa na maajabu yoyote. Mbona Zamoyoni Mogella alifanya vzr na bado hapondi mafanikio ya Simba. Aliiponda Simba kwamba haijawahi kufanya chochote ila Yanga ndo ilofika final

    • @nurdinblesh3115
      @nurdinblesh3115 12 дней назад

      Acha kujingopea wew kaangalie kwenye history ya cuf km Kuna timu inaitwa Stella abijan ilichkuwa kombe la shilikisho

  • @EliusMakasi
    @EliusMakasi 11 дней назад

    Geof nenda steshen kachambue kule humo unatuzingua

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 12 дней назад

    Uyo anae regeza mdomo mnafiki hata Simba ifanye vzr aisema vibaya

  • @williamnchimbi7825
    @williamnchimbi7825 12 дней назад

    Geofleah anapoongea jemedari msikilize kwa umakini kuna elimu utapata

  • @Joyce-l7s
    @Joyce-l7s 12 дней назад

    Keahiyo yanga ndo mnaowaamini eti wameishia wapi

  • @EliusMakasi
    @EliusMakasi 12 дней назад

    Huyo jamaaa mbon mshamba sana hicho sio kijiwe nogwa asubil nafas ya kuonge ndo maana huwa analopoka vitu

  • @anasasosafaris
    @anasasosafaris 11 дней назад

    Ikitokea simba wanatafuta mchezaji kutoka yanga mwenye uwezo wa kucheza simba ni moja tu,clement maize BASI

  • @mohamediselemani1095
    @mohamediselemani1095 12 дней назад

    Kione geof kishingo chake vile kileeefu kama njoka hakijui hata uchambuzi, ushabiki 2 uchambuzi aaaa!

  • @ashrafumbawala
    @ashrafumbawala 12 дней назад

    Leah tumia akili bac unavyoongea, eb msikilize jemedal

  • @almasially6509
    @almasially6509 12 дней назад

    "Denis Kibu" 😂

  • @silasmsangi9335
    @silasmsangi9335 12 дней назад +1

    Huyu jamaa mwenye miwan kwan anamatatizo ya akili?

  • @nyahingathadeo826
    @nyahingathadeo826 10 дней назад

    Nyie ni wachambuzi wa kutabili,hamtambui kitaalamu,yaani nyie hamna kitu

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 12 дней назад +1

    Wachambuzi waovyo ovyo njaa na chuki angalia uyo choko mwenye shingo km nyoka

  • @MikidadiMkonyoka
    @MikidadiMkonyoka 12 дней назад

    Wachambuzi wa hovyo

  • @MtoroIdd
    @MtoroIdd 12 дней назад +1

    Kaa kimya wewe

  • @EucheliEdo
    @EucheliEdo 12 дней назад

    Apo Kuna wachambuzi feki Sana kwanza Wana haibukubwa kabisa wakifikilia pumba walizokua wakiongea kabla ya mchezo

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 12 дней назад

    Geof ni mbwa,fisi panya kabisa

  • @WilfredWilfred-v5q
    @WilfredWilfred-v5q 12 дней назад +1

    Wanafiki nyie...c mnasemaga smb mbov imeshinda mnaisifia

  • @pascaljrpresenter7234
    @pascaljrpresenter7234 12 дней назад

    We unasema wakuachie bom lako sio Mimi ni wewe

  • @seifmketo2421
    @seifmketo2421 12 дней назад +2

    Msenge Geof huyo analopoka tu hata uchambuz hajui

  • @yusuphmkenza3019
    @yusuphmkenza3019 11 дней назад

    yani ndo shida ya wachambuzi wa bongo huyu ndo hajitambui kabisa eti waalimu nyooo yanga sio kacheza fainali kabisa sasa hawa wakutabiliwa ndo waalim pumbav hamna wachambuzi bongo ni mashabiki tu sio kuchambua

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 11 дней назад

      Kwahiyo yanga akicheza faina timu zingine haziluhusiwi kucheza fainal😅😅😅😅

    • @yusuphmkenza3019
      @yusuphmkenza3019 11 дней назад

      @MeshackManoja elewa nilicho andika ndo ureplay

  • @officialprotas
    @officialprotas 12 дней назад

    ruclips.net/video/HAfiqcAo-hA/видео.html KATAZAME HAJI MANARA ALICHOSEMA BAADA YA SIMBA SC KUTINGA ROBO FAINALI KIBABE

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 12 дней назад

    Geof nyamaza mbwa wewe. Usiongea kabisa pumbu zako

  • @seifmketo2421
    @seifmketo2421 12 дней назад

    Acha mwanaume aongee unaongeza nn fala ww