Diamond Hakunipa Mkataba | Kutoka WCB Nimelipa zaidi ya Bilioni Moja |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 146

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n Год назад +1

    Safi sana Rayvny mbali na kuwa ni msanii mkw bwa sasa bat una hishma ya kipelee sanaaa chui🎉❤❤❤ nomaa sanaa ravnyn 🎉🎉🎉❤❤

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 Год назад +34

    Rayvanny is very wise❤very smart boy ❤️❤️❤️

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 Год назад +11

    Safi sana Ray. Mbali na kuwa ni msanii mkubwa sasa bt Una hishma ya kipeke sana haswa kwa Wakubwa Zako. Wcb 4life👊#❤🇹🇿 Chui!!!

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe Год назад +3

    Hongera sana, watu wanatamani mgombane, lakini wewe umebaki na msimamo wako, hakika utakuwa

  • @allymangogasya8068
    @allymangogasya8068 Год назад +14

    Ivo ndo inaitajika kutoka ki halali ,asante bro kwa somo

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 Год назад +4

    Afadhali Rayvanny anajielewa🎉Wallahi Big up Vanny Boy

  • @kellyclassic381
    @kellyclassic381 Год назад +28

    Dogo yupo so smart I like him anajua kula na kipofu..👏

  • @HansLubuva
    @HansLubuva Год назад +2

    Napenda unapoitanguliza hekma mbele yenu most of the time naziona interview zako una kitu Ray keep it up I'm proud of you

  • @luckyboyke5694
    @luckyboyke5694 Год назад +2

    Rayvanny is real ❤

  • @josephgabriel723
    @josephgabriel723 Год назад +9

    Van boy kwa haraka ni mtu disminder

    • @Swahili14
      @Swahili14 Год назад

      What do you mean by that 😂

    • @psychedelicmind5743
      @psychedelicmind5743 Год назад

      Heeeh hii ni ipi can you please paraphrase coz there is no such word in English😂😂

  • @matiasmpoyo8311
    @matiasmpoyo8311 Год назад +2

    Very smart rayvanny

  • @muhodarifredws
    @muhodarifredws Год назад +7

    Jamaa amekuwa
    Maturity speaks by itself

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 Год назад +13

    Nice one

  • @alshamsitz3961
    @alshamsitz3961 Год назад +2

    Wise words....! Smart boy 👦

  • @HajiMwamgwal-sh7sy
    @HajiMwamgwal-sh7sy Год назад

    Pow vanboy boss

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Год назад +7

    Well said van b

  • @mwezzireen17
    @mwezzireen17 Год назад +9

    Chui❤️❤️🔥

  • @phabiandeshadowwizzy618
    @phabiandeshadowwizzy618 Год назад +8

    Dogo yuko vzur sana kiukweli but kwa wasiojua wanaweza sema mambo mengi vita so kitu so if I so nothing don't like to fight within someone who above to you ingawa sijui kingereza ila kuna mtu kama kanielewa vile naombeni mauwa yangu(like)

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 Год назад +2

    Vanny boy Chuiiii 💪🔥

  • @juniortza
    @juniortza Год назад +2

    NIDHAMU YA UOGA PRO MAX 📌

  • @khashirjuma3612
    @khashirjuma3612 Год назад +2

    Chui x 🦁

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 Год назад +13

    Chui 🔥🔥🔥🔥

  • @CanaBoy-xg8wv
    @CanaBoy-xg8wv Год назад +1

    V vanny boy💚💚💚💚

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 Год назад +9

    King chui global away

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 Год назад +1

    Chui 🐅🙏VANIBOY

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 Год назад +6

    Nakubaliiii

  • @GOOD_VIBES___
    @GOOD_VIBES___ Год назад +7

    BodyGuards wanini studio sasa?😂😂😂
    Unweza ukawa mjini, lakin ubush ukaendelea kua ndan yako

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 Год назад +3

    Vanny nimemsoma sanaaaa

  • @ynahmorata7604
    @ynahmorata7604 Год назад +3

    Vann boy

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe Год назад

    Uko smart tofauti na yule mmakonde

  • @salimkingu2108
    @salimkingu2108 Год назад +3

    Mabausa wote hao wanin hapo studio,kwan kuna vita!

  • @futibotv1674
    @futibotv1674 Год назад +2

    Hivi hao mabaunsa ni wa clouds au rayvany na niwanini ndani ya studio

  • @frankmihayo7415
    @frankmihayo7415 Год назад +14

    Sasa ulitoaje bilioni moja na hauna mkataba...

  • @tydookoh2146
    @tydookoh2146 Год назад +1

    Nice brø

  • @almasially6509
    @almasially6509 Год назад +13

    jamaa anajua kuongea sana

  • @yasinmhando6376
    @yasinmhando6376 Год назад +8

    Maturity

  • @kiatu
    @kiatu Год назад +18

    Mambo ya mkataba wa ki-gentleman inahitaji uvumilivu sana na kujiamini mwenyewe. Kwa mfano labda aliulizwa na Simba “ ok dogo, sasa tutafanyaje na ile investiment niliyoifanya? Kama mfano , mmh, gharama tulizotumia ni bilioni 3 tu na wewe uimeingiza mapato katika WCB yenye thamani ya billion 2, tutafanye hio moja eh?). Ndio hapo sasa ujue vya bure. Nadhani pia Ray alikuwa hana elimu ya biashara ya muziki ya kutosha. Hata hivyo napenda walivyo yamaliza japo mengine yapo chini ya carpet.

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 Год назад +1

    VANIBOY chui NLM 🐅🙏

  • @naufalmustafa565
    @naufalmustafa565 Год назад +4

    bilion 1

  • @mulladomuller4487
    @mulladomuller4487 Год назад +2

    Umeelew cjui ni nyingiii😂😂😂

  • @mttwamama0036
    @mttwamama0036 Год назад +1

    Hahahaa huyu jamaa nimuogaa

  • @Aboodjan4-
    @Aboodjan4- Год назад +6

    Yule mbirikimu wa chitohor akuje hapa ajifunze😂😂

  • @boscojmseso7072
    @boscojmseso7072 Год назад +2

    Umeelewa sijui 😅

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Год назад +5

    Huyu hana nyota ya kuimba peke yake .

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 Год назад +6

    Hujatoka wcb wewe nyoo

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr Год назад +8

    Sudi ni mnafiki maswali ya kinafki kutafuta ugomvi tu bwege huyo

  • @designeridrisa6079
    @designeridrisa6079 Год назад

    awez kusema mabaya ya boss wake kwan rayvan ana shingap hata angempa b 3 ni sawa tu tuache kuwachonganisha

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Год назад +18

    Dogo bado yupo WCB tunazo sirizote😂

    • @hakizimanamoosa1157
      @hakizimanamoosa1157 Год назад

      Kicwa cako akina akili kbs

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 Год назад

      @@hakizimanamoosa1157 Nina vichwa viwili unamanisha kipi😂 kwanini hampendi ukweli aundio mapenzi 😂😂😂

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 Год назад

      Dogo ondoka nyumban kwa mama yako kwann unagombania vipolo na wadogo zako ndio uje ukoment kwa utu uzma

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 Год назад

      @@paulntalima6998 😂😂😂 unge nijua ungefunga domolako Kodi yangu ya meza elfu50 kilasiku niku tumie location

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 Год назад

      @@issazalala4907 kichwa panzi kabsa ww,hio n hela ya kuzungumza mbele ya wanaume endelea kujitafta sana

  • @alimustafwa
    @alimustafwa Год назад +11

    Nakunya hapa Hadi marekani kama kalipa bilioni moja usanii mwingi Hawa waongo

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 Год назад +2

      wewe ni mavi kabisa billion ni Hera ndogo sana

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 Год назад +1

      Bilioni moja kwenye mziki ni ndogo mnoo,utakunya bure bwana mdogo

    • @issabaraka2850
      @issabaraka2850 Год назад +1

      Kwa levo ya rayvanny alio fikia, hela hiyo haiwezi kumshinda, alitoa hacha wivu

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Год назад +1

      Bilion ni pesa ndogo sana na wabongo kibao wanazo uku mtaani

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад +5

    Billion moja yakikuma au?

  • @bonanzagaston6975
    @bonanzagaston6975 Год назад

    Smart

  • @JamilaChidi
    @JamilaChidi Год назад +10

    Acha uongo wewe hiyo billion Moja uitolee wapi we mwenyewe billion

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 Год назад

      👏👏👏👏👏👏

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 Год назад +1

      Mwenzako anapambana hauzi mwili kama ww ,kuipata hio bilion ww mpaka ulale na dunia nzma na bado hutapata

    • @Swahili14
      @Swahili14 Год назад

      @@paulntalima6998 du
      Mbona unamatus bro 🌚

    • @JamilaChidi
      @JamilaChidi Год назад

      @@paulntalima6998 mi nauza mwili sawa vipi wewe ulio rithi ushoga toka Kwa babako umeacha au Bado unaendelea kuuozesha huo mkundu

    • @isackpatrick3743
      @isackpatrick3743 Год назад

      Kwa kuwa huna unaona nyingi wewe😂😂😂

  • @sirbizobaraka1121
    @sirbizobaraka1121 Год назад +3

    Bado hajatoka wcb ni vipengele tu vya mkataba vimebadilishwa tu.

  • @kituhilel.j9747
    @kituhilel.j9747 Год назад +2

    Home boy yupo vizuri

    • @asyamgeni9819
      @asyamgeni9819 Год назад

      Uzuri upi wakati ni muongo wa kiwango cha juu

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 Год назад +3

    Hapo ni usanii tu. Huna mkataba unalipaje bilioni? 😅

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Год назад +13

    Billion moja ya kuchora au unayo mkononi ? Mbona maisha yenu yenu hayafanani na ubilion? Fanya mchezo nn na bi ww

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Год назад

      B ya kijambio😃😃😃🤣🤣🤣

    • @dullysmart-vf9ql
      @dullysmart-vf9ql Год назад

      🤣🤣😂😂 washmba awa iv wanatuchkuliaje ss hatujuii kupima kw mtazmo 🤣🤣 et b famsiala nn

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Год назад

      Mbona billion pesa ndogo sana na kuna wabongo kibao wanazo mtaani uku

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Год назад

      @@hajjiomary2383 za kuchora ata mimi ninazo unazani b ni mkundu aty kila mtu ako nao? 😃😃😃

    • @dalalizanzibar9583
      @dalalizanzibar9583 Год назад

      Kigumu kwako sio kwa wote...

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 Год назад

    Iyo bil1 umelipa vipi wakati hauna contract hahaha wasenge mbona waongo sana nyie wasanii wabongo hahahaha

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Год назад +1

    Wafundishe wenzio namna ya kushukuru maana hata wao clouds wameshadadia walijua utajibu shit

  • @hamisikingakachu1259
    @hamisikingakachu1259 Год назад +3

    Ivyo mnatuona Watoto utawezaje kulipa billion moja nazaidi wakati ulikua auna mkataba acheni uwongo yang kilichofanyika apo ionekane lei katoa ela nyingi kuliko harmonaiz ili ionekane anadharau anamzadharau boss wake wazamani ila vanilla boi ionekane kalipa pesa nyingi naana kinyongo wakati sio kweri uwezo wakulipa iyo pesa Ana atuonyeshe lisiti

    • @Hauleshabby
      @Hauleshabby Год назад

      Ni risiti siyo lisiti jifunze kuandika

    • @hamisikingakachu1259
      @hamisikingakachu1259 Год назад

      @@Hauleshabby uzuri umenielewa nashuulu

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns Год назад

      @@Hauleshabby Haya alete hiyo Risiti

    • @Hauleshabby
      @Hauleshabby Год назад

      @@hamisikingakachu1259 nashuhulu ndo nin

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 Год назад

    Hapo kwenye kulipa billion 1 hapo tumepigwa bana hivi billion unaijua ww

  • @jacquesrusagara3178
    @jacquesrusagara3178 Год назад +1

    The guy is talking nonsense how come ulipe more than 1 billion na huna mkataba? Ray we are big enough unaongopeya watu kaka

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Год назад +6

    kwani na wewe unataka kudai, au umezulumiwa

    • @Swahili14
      @Swahili14 Год назад

      Good question 💀😂

  • @DM_15
    @DM_15 Год назад +8

    Bongo sarakasi sana maigizo kibao

  • @IsayaLukanga-ts4pz
    @IsayaLukanga-ts4pz Год назад +7

    Bhana ACHA uongo hata yangekukuta ww lazma ungeongea uchwara ww

  • @samuellevy2564
    @samuellevy2564 Год назад +3

    @TRA HIVI MNAZISIKIA HIZO BILIONI JE MULICHUKUA VAT SHINGAPI? KAMA HAMKUCHUKUA WATU WA DRD NA FAST MUNAFANYA KAZI GANI?😂😂😂NINA MENGI YA KUWAMBIA ILA NISHIE HAPA...

  • @sadhamis5463
    @sadhamis5463 Год назад +25

    Kweli hapo ni vichekezo RAYVVANY ameongerea vitu vya vijinga eti anasema pale WCB alikuwa hana MKATABA wowote arafu wote hapo CLOUDS awana maswali wakati mtu alikuwa hana mkataba arafu amelipa bilioni 1+ kweli wajinga wapo wengi sana hata ktk hizo MEDIA ZOTE ambazo tunategemea zitufundishe kumbe wamejaa watu wenye njaa tu

    • @saimonifredi4653
      @saimonifredi4653 Год назад

      Unguza akili wewe upate madini.....tulia dogo acha pepere

    • @zahertanzanian8583
      @zahertanzanian8583 Год назад

      Funika kombe

    • @samuellevy2564
      @samuellevy2564 Год назад

      Point kaka sill people are there,

    • @samuellevy2564
      @samuellevy2564 Год назад

      ​@@saimonifredi4653 ila nawewe bendera fwat upepo shida una comment kishabiki

    • @phabiandeshadowwizzy618
      @phabiandeshadowwizzy618 Год назад

      @@samuellevy2564 tokaaa kulee we ndo huna umeelewa kwanza point unayotaka kuisapot haina mantik I think ushanipata kama kwel unaakili Timamu

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Год назад +3

    MTU muongo utamuona anatafta maneno ya kuongea

  • @twalibkibiriti8990
    @twalibkibiriti8990 Год назад +1

    Sasa mabouncer hata kma wako kazini, ndio wanalinda nini hapo na kuko salama everyday.

  • @desiderias254
    @desiderias254 Год назад

    Heri wapatanishi wataitwa wana wa Mung yaani vanny kiongs mwenye akili

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Год назад +2

    Mtoto uyu mpumbavu tu akijielewi kinachongea

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 Год назад +4

    Hyu bwana makoti anapenda sifa kwao ukute hata chumba cha bata hana billion unaijua lkn😂😂😂😂

  • @goodlucknjau77
    @goodlucknjau77 Год назад +3

    Acha uongo dogo

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth Год назад +2

    chui

  • @DirectorKanje
    @DirectorKanje Год назад

    Wap uyu anaongeatu billion anaijua anaisikia

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ Год назад +17

    Ray is lying he is still under WCB 😂😂😂😂😂😂

    • @dalalizanzibar9583
      @dalalizanzibar9583 Год назад +1

      Hata kama, kuna shida gani kwani 🤗

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Год назад

      okay

    • @AmelbergaKempanju-uf1zh
      @AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад +1

      Kwa sababu ametoka kwa uzuri acha kukariri unaweza kutoka bila ugomvi wasanii wanahisi watapotea kwa hiyo wanasema mabaya ili watu wawe na huruma kwao tujifunze kwa wenzetu MTU anatoka kwenye label lakini haiwi story kubwa

    • @adamnasibu5931
      @adamnasibu5931 Год назад

      Hata harmomavi yupo chini ya jembe mbona husemi

    • @officialnadoboytz1005
      @officialnadoboytz1005 Год назад

      Sawa Akuna shida 😂😂😂

  • @kimke8393
    @kimke8393 Год назад +4

    ruclips.net/video/UxImPrIG_tk/видео.html
    Ndugu yake Rayvanny toka kenya💜