CHINO KIDD AMALIZA KILA KITU UGOMVI WAKE NA MARIOO, BABA LEVO ANA CHUKI NA MIMI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 79

  • @user-hk4vj4dx6v
    @user-hk4vj4dx6v 3 месяца назад +31

    Chino MUNGU akupe maisha marefu na heshima yako

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 3 месяца назад +19

    Allah akuweke chino Wana man🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 3 месяца назад +13

    Chino Wana Man unajua saana aisee 🔥💥🌟 Pambana kijana

  • @jaylazorschannel5681
    @jaylazorschannel5681 3 месяца назад +20

    Chino is a real G! #realtalk

  • @benjaandea32
    @benjaandea32 3 месяца назад +36

    Leo wakwanza gonga like hapa kama unamkubali chino

  • @EmmanuelMizambwa-lx8sz
    @EmmanuelMizambwa-lx8sz 3 месяца назад +14

    Sema uyu jamaa Atapenya mbali maana anaonekana anaupendo sana ao wakina baba levo ao ndio wanafki wanang, ata na kupuliza uyo dogo chino yuko poa sana

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 3 месяца назад +11

    Chino Unajuwa San 🙏🙏🙏

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 3 месяца назад +11

    Chino Wana Man🔥🔥🔥

  • @user-pk3dt2nq8u
    @user-pk3dt2nq8u 3 месяца назад +4

    Radio yetu Ni kubwa hyoo na wanakuja wasanii wakubwa 😮

  • @atukomaibei8662
    @atukomaibei8662 3 месяца назад +4

    bless Mzee

  • @jayfarsaga4935
    @jayfarsaga4935 3 месяца назад +10

    Jaivah atoe ngoma yake pekeyake mamae😂😂😂😂😂😂 afu tuone

  • @user-pk3dt2nq8u
    @user-pk3dt2nq8u 3 месяца назад +3

    Hapo studio mbna watu wanasimama tanueni space banana watu wanachoka kusimama

  • @MohamedMohamed-ry6lt
    @MohamedMohamed-ry6lt 3 месяца назад +7

    Kaza Chino usikatishwe tamaa

  • @ErickyTz-ku7dt
    @ErickyTz-ku7dt 3 месяца назад +12

    Mkamateni Baba levo mumtombeni ,chino ,na konde mpigeni show b levo mumfanye aw Kam lokole ajambe jambe😂

  • @jibranrajabu7616
    @jibranrajabu7616 3 месяца назад +12

    Dua kaka

  • @user-js7lr8vr9i
    @user-js7lr8vr9i 3 месяца назад +1

    Kijana hanabaya na mtu nimaroho makubwa ya mapimbi tu mungu akiamua kukuenua akuna wakukupinga bigup chino

  • @user-gy7ps2ku8v
    @user-gy7ps2ku8v 3 месяца назад +3

    Chino wana man mungu akuepushe na USDA

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 месяца назад

    ❤❤❤Unajua sana❤❤❤ ila sasa Munqu akuepusha na Husda❤❤❤machawa wasikusumbue ❤❤❤

  • @raymondkanyama1890
    @raymondkanyama1890 3 месяца назад +1

    Best of luck dude

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 3 месяца назад

    Wow

  • @EzzyEddy-il3ce
    @EzzyEddy-il3ce 3 месяца назад +6

    We ongea tuu hutak vip kuongelea akat ushaanza kuongea inabid uongee vyote umalize

  • @ramlaamiri5601
    @ramlaamiri5601 3 месяца назад +1

    Show qareee

  • @user-wi4fi3fj4f
    @user-wi4fi3fj4f 3 месяца назад

    Nakubali

  • @user-bu7kl5kw1c
    @user-bu7kl5kw1c 3 месяца назад +3

    Chinooo mtuu mdtaarabu sanaaaaaaa

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 3 месяца назад +4

    BOS ANAONA KIJANA KAANZA KUPATA ANA DHARAU,,NA KIJANA NAE ANAONA BOS HAMTAKII MEMA KWENYE SAFARI YAKE😊

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 3 месяца назад

      Na hii ndo inatumaliza sisi waafrica..boss hataki ufanikiwe na ukiamua kua pekeake anaona Una dharau

  • @daddyEngineering
    @daddyEngineering 3 месяца назад +1

    Fala sana ww

  • @victorrock6660
    @victorrock6660 3 месяца назад +3

    Yan kunawatu hawana Hata ujuzi na wanavyo viamn maswali YA kishambaaa

  • @meddymachozy1815
    @meddymachozy1815 3 месяца назад +2

    God is plans

  • @smartmusic9893
    @smartmusic9893 3 месяца назад

    Huyu dogo chiz kweli😂😂😂

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 3 месяца назад +1

    yure sio baba levo ni mama levo yure mshumaa wa mond

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh Месяц назад

    2popamoja sana kaka

  • @user-de2ee5de1y
    @user-de2ee5de1y 3 месяца назад +1

    chino komaa utataboa sanaaa

  • @user-en5ev5dl8p
    @user-en5ev5dl8p 3 месяца назад

    Chinoo huna shuklani na huu ndy mwka wmwisho unapotea Kam killy

  • @sammasika3627
    @sammasika3627 3 месяца назад +2

    Nyie hamna akili mnataka aongee nn si mlisikia wasafi

  • @johngongana670
    @johngongana670 3 месяца назад

    InshaAllah kina CHINO wapate lao

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 3 месяца назад

    Bora kuongea ukweli

  • @yaledyesse
    @yaledyesse 3 месяца назад

    Chino piga Kaz wanafiki wapo ata huku kwetu wao

  • @user-tu2hu4gc7y
    @user-tu2hu4gc7y 3 месяца назад +1

    Uish miaka ming unabaya

  • @smartmusic9893
    @smartmusic9893 3 месяца назад

    Mnafki sana

  • @estevaojacintomuome5253
    @estevaojacintomuome5253 3 месяца назад +1

    Chino akili nyingi

  • @catherinehans2990
    @catherinehans2990 3 месяца назад

    Unajua alf mashabiki tunakukubali sana

  • @user-ci5sg4jl2k
    @user-ci5sg4jl2k 3 месяца назад

    Hakuna mtu wa kukupoteza chino kid,labda kwa mpango wa mungu tu

  • @talibthetruth8709
    @talibthetruth8709 3 месяца назад

    Ameongea fact angalikua anadharau dogo chino ingejulikana nazamani dogo yuko real wanataka kumshusha tu

  • @dankalama7677
    @dankalama7677 3 месяца назад +4

    Positive or negative 😅

    • @fredmabeya
      @fredmabeya 3 месяца назад

      Kiingereza kigumu kaka 😂

  • @BabaLovenesy
    @BabaLovenesy 3 месяца назад +1

    😅😅😅😅

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 3 месяца назад

    Bosi Mario hataki kupitwa na mwajiriwa Wake, na mwajiriwa anaonesha kumvimbia bosi Wake, watamalizana wenyewe

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 3 месяца назад

    Hii dunia inashar sana

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 месяца назад

    Mtu akikusaidia akikutoa stage moja kwenda nyingine akikufanyia baya na mna bifu bora wee uliyesaidiwa ukae kimya umuachie mungu especially humu mitandaoni angalau ongea nae one to one

    • @FelixMahenge
      @FelixMahenge 3 месяца назад

      Sahihi😊😊😊😊😊

  • @Kamishna2593
    @Kamishna2593 3 месяца назад

    ww limbuken

  • @Deogratiuswalker
    @Deogratiuswalker 3 месяца назад

    Hizo changamoto binadamu huwa zinatupitia2 kwahyo chino wanaman pamban usikate tamaaaaa

  • @badifundi6089
    @badifundi6089 3 месяца назад

    Jaiva mziki wake hakuna mtu ataskiliza yy ndo nusu yupo kwa marioo nusu yupo kwa chinno

  • @BabanahShoo-ms1cq
    @BabanahShoo-ms1cq 3 месяца назад

    Mkubwa akoseii chinoo upoo gudaa

  • @user-ky7mz7qh1o
    @user-ky7mz7qh1o 3 месяца назад

    Watangazaji mnaoongea kwa kuigana mnafeli

  • @kasimuabdi7119
    @kasimuabdi7119 3 месяца назад +7

    CHINO🔥🔥🔥🔥

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 3 месяца назад

    CHINOOO ISHI MIAKA YOTEEEE💥💥💥

  • @user-pi3xc9ct4t
    @user-pi3xc9ct4t 3 месяца назад

    Acha kujifnya waonewaaa kujipata kidgo tu mazarau

  • @Kelvinemaso
    @Kelvinemaso 3 месяца назад

    Chino ni mtu poa sana

  • @user-vg5jp6wt4p
    @user-vg5jp6wt4p 3 месяца назад

    Ila Chino usicho kijua ni ichi jaiva ndio akupendi anakuonea wivu

  • @kinyatapaul4486
    @kinyatapaul4486 3 месяца назад +5

    Me nacho msii dog asimzalau marioo haijarishi kagombna nae au ajagombn nae ila awe makini sana na c binadamu

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce 3 месяца назад

      Point kwasababu baba ake yule kwa Kila kitu hata kwa mafanikio yake even famous

    • @edwardkhoro4198
      @edwardkhoro4198 3 месяца назад

      Yani ww auelewi kiswahili ao

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 3 месяца назад

      Pia marioo asimfanye dogo mtumwa

    • @user-vm7bk3xr1z
      @user-vm7bk3xr1z 3 месяца назад

      Ulimshauri na harmonize Kwa Mondi au mnamtetea marioo tu

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 3 месяца назад

    USIDHARAU CHEMBE YA WEMA WA MTU - CHINO SAID

  • @user-ce7zs1ud8w
    @user-ce7zs1ud8w 3 месяца назад

    Chino mtu mbadi unatisha sana

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh Месяц назад

    2popamoja

  • @user-vg5jp6wt4p
    @user-vg5jp6wt4p 3 месяца назад

    Marioo nae alizingua Ila Chino ww pambana