IKIMALIZIKA RAMADHANI NA SIKUKUU HAKUNA TENA KUKAA WALA KULALA, MPAKA IKULU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 мар 2024
  • IKIMALIZIKA RAMADHANI NA SIKUKUU HAKUNA TENA KUKAA WALA KULALA, MPAKA IKUL" Makamu Mwenyekiti wa ACT Sazalendo Zanzibar, Ndugu @ismail.jussa ametuma salamu nzito kwa Watawala wa Zanzibar. @dunialeo_ #habari #subscribe #polisi #trending

Комментарии • 14

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 2 месяца назад +3

    INSHA ALLAHU TAALA

  • @user-ym3fx7dq9w
    @user-ym3fx7dq9w 2 месяца назад

    Awaapiii hamna kitu apo

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 2 месяца назад

    Kama kweli vile tushazoeya mnatupumbaza kisiasa huku yenu yanakuendeeni

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 2 месяца назад

    Zamani nilikua napenda CCM. Nilipofika ulaya nikaona haki za wananchi zinaheshimiwa nikaona mimi na CCM basi tena jamani. Tuiondoe CCM haraka jamani watanzania sio nyani kama tunavyochukuliwa na watoto wa CCM

  • @user-ym3fx7dq9w
    @user-ym3fx7dq9w 2 месяца назад

    Simjitoe halafu muone

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p 2 месяца назад

    Mjuwa

  • @user-hx8yd9gp2q
    @user-hx8yd9gp2q 2 месяца назад

    tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Месяц назад

      Hata sisi tunaitaka Tanganyika huru, siyo hii ambayo wazazibar wanaweza kununua maeneo bara ila kwao hawataki, siyo Tanganyika ambayo mzanzibar anaweza kuomba kazi kwenye serikali ya Tanganyika ila wao hawataki vijana wetu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Месяц назад

      Hata sisi tunaitaka Tanganyika huru, siyo hii ambayo wazazibar wanaweza kununua maeneo bara ila kwao hawataki, siyo Tanganyika ambayo mzanzibar anaweza kuomba kazi kwenye serikali ya Tanganyika ila wao hawataki vijana wetu

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p 2 месяца назад

    KamaLinzani act nikafuilil mtaikimbiatena

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p 2 месяца назад

    KamaLinzani act nikafuilil mtaikimbiatena

    • @TwoBrother-tc2cu
      @TwoBrother-tc2cu 2 месяца назад

      Kiswahili chako hakifahamiki,jaribu tena

    • @omarsultan4502
      @omarsultan4502 2 месяца назад

      Kuandika hajui anapata wapi ujasiri wa kucoment 😂😂😂

    • @khalidabdulla6545
      @khalidabdulla6545 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@omarsultan4502 ilimrad tuh😅😅