RAIS SAMIA AWAVAA WATUMISHI AONGEA KWA UKALI, 'HAMPO SERIOUS, MMEJILEMAZA, KERO ZINAFIKA IKULU'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 40

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Год назад +6

    In honour of JPM. The greatest african leader of all time. 🇰🇪🇰🇪

  • @dionisekapembe.
    @dionisekapembe. Год назад +1

    Mamaaaaa huyooo.Very Nice.

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 Год назад +2

    Kwa hiyo umekubali kuwa uozo umeanz kichwani sio

  • @ObligeeNdoni-pb4vs
    @ObligeeNdoni-pb4vs Год назад +6

    Mieziii 18?haupo siluasi mama! Ndio maan wNakuibia unabakia kuimba ngonjera tuu, hivi we mama kipindi msukuma alivyokuwa Rais we si ulikuwepo sasa imekuwaje umekuwa mtu tofauti sana au nikweli kuna watu wLimutoa ili wakuweke wewe, sasa unawasikiliza tuu?

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 Год назад +1

    Daah hiv tuko wapi hapa?

  • @abdallahalbakri2561
    @abdallahalbakri2561 Год назад

    Asante Mama kazi endeleya. asante tena Mama kws kutakali sisi walala hoi Mungu akubariki Mama yetu

    • @abdallahalbakri2561
      @abdallahalbakri2561 Год назад

      Kwa kutujali sisi walala hoi asante sana Mama Mungu akubariki

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Год назад +2

    Mwaka mmoja na miezi sita ndio umeme wa uhakika !!? Hata huku tulipo kwenye grid umeme ni mizengwe tu. Tuwe siriasi na uwajibikaji!!

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Год назад

    1961 - 2023 was not enough to bring power to these people of Southern Parts of Tanzania?

    • @froma3732
      @froma3732 Год назад

      Walikuwepo viongozi 5 wamepita hata kufikiria walikuwa hawana hiyo ajenda Rais Samia anaweka tafakari

  • @victorphilipo
    @victorphilipo Год назад +1

    Wewe ndo unaongeza migogoro piga chini Kuna wenye uwezo zaidi ya hao vipenzi vyako wars Hera tu

  • @petermbise
    @petermbise Год назад

    Rais wetu upo kazini kimamilifu labda watumishi wako tu wakuangushe.

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do Год назад +1

    Ww ndo unafuga mafisadi wamezidi rushwa Kila mahari sijui Tanzania yawapi bila kusahau mkataba wakihuni WA bandari ufutwe haraka

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Год назад +1

    Hamna kitu hapo porojo tu mmepigwa na kitu kizito kichwani

  • @MpandeKilometa
    @MpandeKilometa Год назад +1

    Njoo na chunya uone

  • @roseamos2812
    @roseamos2812 Год назад

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 Год назад +1

    😂😂😂😂😂 leo kawa choka kudadadeki

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Год назад +2

    wewe mwenyeo failure , unategemea wao kuwa bora kuliko wewe ??? ndio maana kuna msemo usemao maji hufuata mkondo !!!!😂😂😂

  • @YosamSaidy
    @YosamSaidy Год назад +1

    Hiii tutaibiwa xana 😂😂😂

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

    😂😂😂😂😂yaani miaka 5 yote unawapitisha watu bila umeme kisa muuze masolar yenu na majenereta yenu we mama huna huruma kabsa

  • @RichardJailo-pp7kj
    @RichardJailo-pp7kj Год назад

    hiyo mila ni sawa na Mila za dini huwezi kuondoa

    • @abdirizakibrahim1975
      @abdirizakibrahim1975 Год назад

      Dini na Mila ni vitu viwili tofauta dini ni kuamini Imani kupitia vitabu Quran ama Bible na vitabu Mila ni tamaduni ya mwafrika alorithi kutoka kwa Babu zetu

  • @RichardJailo-pp7kj
    @RichardJailo-pp7kj Год назад +3

    FUTA MKATABA WA BANDARI NA DP WORD MAMAA

    • @MozaMohd-o1c
      @MozaMohd-o1c Год назад

      Toka zako kafuteni mkataba WA ruzuku kanisani kwa kuchukua kodi za wengine hii SI haki kwa katoliki

    • @froma3732
      @froma3732 Год назад

      Halafu iwe nini

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      ​@@MozaMohd-o1cwakifuta ruzuku kwa makanisa nanyie mrudishe majengo yao maana hopital zote kubwa nizahao makanisa viongozi wenu hawa mnao wapenda wavivu magu tu ndio aliweza hawa wengine wavivu majengo yote ya zahanat na hopital kubwa tanzania nimali za hao makanisa hospital za rufaa zote za zaman nimajengo ya wanakanisa haya muyarudishe mjenge yenu ili wafute ruzuku ndogo wanayopata kwa ajili ya mali zao mnaongea bila kujua kua viongoz walio pita nahuyu wa sasa hawana akili ya maarifa yakujenga maendeleo ndio maana wamekod majengo ya watu wa makanisa ndio wanayatumia sasa unataka watumie bure wakat pesa za watanzania wanazichezea kwenye stareh zao viongozi ,,,,

  • @mkude
    @mkude Год назад

    Mama upo ngangari sanaa.piga kazi tupo pamoja na wewe huna mpinzani 5 mingine inakusubiria.

  • @mselematrans3474
    @mselematrans3474 Год назад +1

    Mtwara kuchele, nani kama Mama? Unaupiga mwingi saana Mama yeti, ishi miaka mingi mama

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Год назад +1

    Wewe huna uwezo wakuleta umeme wa uhakika hiyo KAZI alikuwa anaiweza MAGUFULI TUUU wewe KAZI YAKO kupandisha vitu bei nakuuza bandari zetu ZOOTE

  • @PeterAlanus
    @PeterAlanus Год назад +1

    Mama huna denìiìì acha waongeèe ila mitano tena

  • @missminnatz
    @missminnatz Год назад

    Madiwan kazi yao huwa nini jamn hasa vijijin mbn naona wanajinenepea matumb yamening'inia tu wanatembea na magar makali alf matatizo ktk maeneo yao chungu nzima hawayatatui na maendeleo yapo chini miradi haikamiki na pesa ishatoka so tunajiuliza je madiwani hawa wakurungez sjui wakuu wa wilaya kazi zao ni nini hasa!?

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 Год назад +1

    Very weak speech

  • @erastomathias911
    @erastomathias911 Год назад

    😂😂😂

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 Год назад +2

    😂😂😂😂😂 leo kawa choka kudadadeki