Munakuwa mnaweka nusu twa nini sas sibora muwe munaacha sas kuweka kbc.....kam munaweka wekeni zote season 1 had ya 7 na epsod zake bhn au ndio kutulingishia😔😖😖
Message reçu le prix asoa Kalenga de m Message à yuop Message messieurs Message de m Message reçu le monde entier vp To To messieurs les deux hommes sont aussi je suis pas sûr pour les députés de m Message reçu le prix asoa Kalenga a perdu son père et le monde entier Rouge Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs les députés de m avoir un autre sujet de la meilleure façon de Message messieurs
Move nzuri sana Duuu Mpaka Najikuta natamani Kuoa Ila Naogopa sana❤❤❤🎉🎉🎉
Nawapenda sana washiriki wa hii tamthilia
mashaailaah_asanteni_ongereni_washiri_wote_kazi mnzuri
😀😀😀penda sana obama na dayan
Oi
Movie nzur sana jaman
Nzr sn
Siri za familia napenda kuifuatilia maan najifunza mambo mengi Sana!!!
Mmmh akianza hayo namla😂😂
Obama jamoni 😢big up sana obama obama😘😘😘
Thanks again nimerud kuiangalia maana nilikuwa naipenda sana
Saudi
Upo wee😀😀
mie niliitazama miaka 2 iliopita na leo nailudia tena haishi hamuuu
Mashallah movie nzuri sana lkn mbn imefanana na ile nyengine ya familia pia jamani
Yes kumbe hata wewe umetambua Hilo
Kazi nzuri washirika
Huy so mwanamke eti hapo umeoa mwanamke hat kutoa mashuk ndan mwak anashidwa
Leila Mwenda sikasema ajisikia vibaya mwezioo🙄
@@lizzyshayo209 Ata shuka 😃😃 jamani khaaa!!
Obama nakumbali san wew jamaa
Nawapenda sana nampenda sheila
Asante kwa kutuwekea maana nilikuwa naipenda sana na kwetu atuna tv😆😆
Hqhaaaa ww kama Mimi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hongeren sana
Mwanamme akisha shikwa shikwa kichwa na mke basi aambiwalo atakubali
siri za familia3
Mwanamke ukishindwa kufanya kazi za nyumbn lazm usaidiwe kulelewa ndoa😂😂😂😂
Mwanamke hat kupika hawezi looh
Hapo sasa
Shukran Sana Kwa movie nzuri, Duh tamuuu jamani Obama utaingia kwa mtego au la.
Obama alikuwa mzuri😂😂
Yan dayan nikama wema
Hahaaaahaaa polee mamaaeeeeheee
😹😹😹
mwanamuke huyo nimuzembe
hivi wanaume wamewahi kujua maumivu wanayi yapata ndo wanawake wanayapata pindi wanapo wasaliti.
Dop
Obama mzur i love you😗😗
mchezo
Obama madam keshakupenda uyo
Mashaanllah inapendez xaut ik pow nzr imetulia sio kam il ya huba
Nzur sana
Sikuizi wanabia kwasauti ila hiii kiboko
Hyu kaka uwa yupo vizur hatakagi upuzi hyu mke mbaya
Sir zafamiria sehemu yanne
Sheyla we ni Mrembo xn Dada mungu kajua kukuumba wallah
Salma Mastoid
Sanaa nampenda
hongereni jaman nzuri sanaa
Jane Loy
1
Obama unapata chance unacheEzea axeh 💯💯💯
Diana mara hiyo umeanguka😂😂😂😂😂😂
😹😹🙌🙌😹😹😹kumbe nawe Umeona
Dah
Nzr
Sheila mzur sana nampenda
Halima Ramadhani .
Halima Ramadhani umeona heeee
Halima Ramadhani
Pastor David mbaga
Mchezo huu umenifuhisha tu sana.
Good movie
Mko vzr sana
nzr sanaaa
Pendo Emanu
Ukwel house boy wana majaribu meng
Napenda kazi zenu ,Mungu azidi kuwainua.
Mpo vizuri
sawa bb
Munakuwa mnaweka nusu twa nini sas sibora muwe munaacha sas kuweka kbc.....kam munaweka wekeni zote season 1 had ya 7 na epsod zake bhn au ndio kutulingishia😔😖😖
Eeeeee bwana we
Enhe mke kashtuka
Xanaaa Obamaa blood yang
Amo este país de Tanzania saludos desde México!
Nawapenda sana
Safi season nzr saña
Hous boy mzuli hhhhgg
Camera zenu ni Automatic,Hongereni kwa kazi nzur
Yann
Good job
Nawapa asilimia Mia kwa Mia mnatixha xana big up kwwbu
zao
mnajua kuigiza
Hahaha patam apo
Sikosi kuiangali
Hii epsode nzr kuliko
😢😢😢😢❤❤❤
Naanza kuielewa hii kitu
good
nice sanaaa
sir za familia ni nzur san niliifatilia san mmefanya kax nzur
Obama maskini pole
Obama good sana
Vp mwaka huu siri za familia itakuwep
Nzur sana ongerani
Kazi nzuri ila inset na shot za obama zimepungua editor kuwa makini na kazi zako
Kaz nzr xn
Mwendelezo
maneno ya kuambiwa
Haji Idrisa episod ya saba
Obama nakupenda sana
Aziza juma mambo
nice
Mgen ajatuliaa kaj n mapep
Sabrina😃
Kwer kabisa
Ndo mapepe mazur
syo kwa kujiangusha huko
Hii kitu nihatari sn nilikua nashindwa kula mpaka nitizame kwanza hawa watu niwaigizaji mashuhuri sn
mimi mars
Nice
Da zuri
Message reçu le prix asoa Kalenga de m Message à yuop Message messieurs Message de m Message reçu le monde entier vp To To messieurs les deux hommes sont aussi je suis pas sûr pour les députés de m Message reçu le prix asoa Kalenga a perdu son père et le monde entier Rouge Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs Message messieurs les députés de m avoir un autre sujet de la meilleure façon de Message messieurs
Ndo mmekua kimy msiwe mnatujalib ban inatakiwa WK kit toa kit nyi vip
Mgeni kuja siku moja tu unajidondosha
Anna Kashelo movie nzr
nampendaga ili li kaka jamani
naupenda mchezo huu noma,,
mko vizuri sana
Nice 💞👌👌👌👌nimependa sana
Sana
nice
the earlier is the valid.....iko njema
nyuno
IPO vixul
Kwel move iko vizur?
Zefania online
nzuri sana kabisa
Nzur cna
Marceline
Obama.umenitoa.machozi😥😥😥😥
Obama ni wazir wa afya
😂😂
Asante
dah Carlos umepta mtoto
tamu sana
Nice
Hapo sasa
love you Obama
Mai
maskn Obama mpole mpk rah asq unalia jamani
Like kama unawakubali..
Hii ndo episode ninayoipenda kuliko zoote ktk episode zote mpk sasa za tamthilia hii, ipo poa sanaaa namkubali sana Obama ktk Siri za familia.
Mbona sipati season 1episode 4
nasibu mwanamsangu
Nawakubali siri za familia
@@mariamakombe6070 mimi napata mbili tu
nailudia tena naleo maana hii moto
waooo!!!
Jmn muendelezo jmn
🥰🥰🥰
*Mbona Kuna wengine hawapo serious?*