ALICHOSEMA MTOTO WA WAZIRI MWIGULU BAADA YA KUSHINDA UCHAGUZI CHIPUKIZI WA CCM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 289

  • @frankdionis7700
    @frankdionis7700 Год назад +19

    Wanasema mtoto wa sheta alipaswa kuwa hapa agonge like kama zote

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l Год назад +8

    Kila mtanzania Anaweza! NIWASIHI WATANZANIA WENZANGU HASA WAZAZI MUWAFUNDISHE WATOTO WENU kuwa Viongozi Bora wa KESHO 🇹🇿

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 Год назад +1

    Nchi ya watanzania hawa hawa akina hawa da kazi kweli

  • @eliusgration4150
    @eliusgration4150 Год назад +9

    Hizi nafac zipo kwa wote ww kama ujamjenga mtoto wako kwenda huko usilalamike…Hongera Dogo naamini utafika mbali🙏🙏

    • @omaryonga-hv3lk
      @omaryonga-hv3lk Год назад +1

      Unamjenga huko ukiwa na chaneli kutoka wapi ndugu tuulize sisi tunaokaa MAISHA ya chini ndio utapata majibu sahihi,wengi wanakosa nafasi Kwa kukosa watu huko juu, ndugu Kuna watu wana vipaji vya Hali ya juu LAKINI wapo wapo....mfano HATA huyo mtoto hapo hiyo nafasi amepata LAKINI uliza chaneli yake Kuna watoto wengi wamemzidi uwezo LAKINI kachaguliwa yeye.

    • @iddyiddy7358
      @iddyiddy7358 Год назад

      Wewe nani kakwambia

    • @NixonGerson
      @NixonGerson 8 месяцев назад

      Nafasi au wizi tu wa kodi

  • @jacksonbuchocho12
    @jacksonbuchocho12 Год назад +26

    acheni maneno ya kashifa kwa mtoto na matusi ,kila mtu uzaliwa bila kujua ila sote tunajifunza ,kajitaidi sana hvi unafikili ni rahisi kusimama mbele ya camera kama ujazoea ,kuna watu wazima wanasweet alfu dogo chemba wa miaka 7 au 8 mnamtukana ,na kumbekeni mbuyu ulianza kama mchicha na sahv ndo mti tishio na pendwa kwahy tuwape support hawa ni wadogo zetu na watoto wetu ,nitafteni baada ya miaka 10 au 5 ijayo utakumbka comment yangu ,Amina sana

    • @yasiniswedi8835
      @yasiniswedi8835 Год назад +6

      Hapo nizamu ya uwoga imetumika hanakigezo hata1chakushinda kujieleza hajui domo zto Ila kamayengekuwa mashindano ya mashavu makubwa ushindiwake ungekuwa halali

    • @JamesMisalabaPalu
      @JamesMisalabaPalu Год назад +3

      Tutumie maneno ya staha, hawa ni watoto. Kasoro za mzazi asibebeshwe mtoto.

    • @Alphakadege-m2j
      @Alphakadege-m2j Год назад +1

      Nani kasema

    • @nin6324
      @nin6324 Год назад +4

      Yaani mtoto wa daktari akiwa Dr ni Sawa, wa Mwalimu akiwa Mwalimu ni Sawa, wa mkulima akiwa mkulima ni sawa, wa Askofu akiwa Mchungaji ni sawa, sasa iweje wa mwanasiasa akiwa mwanasiasa iwe kero na mnapandwa na ghadhabu kiasi hicho?

    • @omaryonga-hv3lk
      @omaryonga-hv3lk Год назад +6

      Kuna watoto wana vipaji kuliko huyo mtoto wa Mchemba LAKINI wameachwa hapo inaangaliwa mtoto wa nani ? au chaneli wangelifata haki HATA asingepata hiyo nafasi...hii nchi kama auna chaneli utaangaika sana.

  • @HappinessSawe
    @HappinessSawe Год назад +21

    Ila mtoto wa sheta ana kitu atakuja kuwa mtu mkubwa sana,mara nyingi watu wasio na watu wa kuwasemea huwa wanatetewa na Mungu mwenyewe na ubora wao huja kuonekana mbeleni, cha msingi watu wake wakaribu waendelee kumjengea uwezo wa kujibu maswali na kuzidi kujiamini❤

    • @Alphakadege-m2j
      @Alphakadege-m2j Год назад +2

      Wa kwako hana

    • @sovajulius3870
      @sovajulius3870 Год назад

      Unajua ni mjukuubwa nani?usiseme bila kuwa na fact fatilia utashangaa

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 Год назад

    Ni vizuri. Wazazi wajitahidi kuwarithisha kazi zao watoto wao. Waalimu watoto wao wawe waalimu. Askari watoto wao wawe askari na pia majambazi watoto wawe majambazi.

  • @Dantaata
    @Dantaata Год назад +1

    karibu dogo kwenye siasa mtunyooshe kwelikweli

  • @charlesjaphet5768
    @charlesjaphet5768 Год назад +22

    Kuna kile kitoto kibinti kilikuwa na speech nzuri sana lakini hakijapewa limepewa hili litoto la fisadi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Год назад

    Eeee sawa watoto wa wenye hela wataendelea kutawala,nampenda mama Samia watoto wake wametulia Asante mama

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 Год назад +1

    HAJUI KUONGEA, HAJUI KUJIELEZEA ANACHOULIZWA SICHO HAWEZI KUJIELEZEA, BY THE WAY HONGERA KWA WOTE WALIOCHEZA MCHEZO MCHAFU WA KUMTENDA VIBAYA MTOTO WETU ALVIN.

  • @omaryonga-hv3lk
    @omaryonga-hv3lk Год назад +15

    Wanaandaliwa kuja kututawala na kutuungoza sisi wasaka tonge ....hatariiii

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Год назад

    Hongera mwanz mzr tuwatie moyo watoto wetu kwny vitu wanavyovipenda

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 Год назад +3

    Mh Waziri na Mama Mwigulu mnajisikiaje kusoma hiz comments kuhus mtoto wenu na nyie wemyeww??

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 Год назад +2

      Wanajali basi mijusi hao😂😂😂😂😂

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Год назад +28

    Fedha zimembeba hata kujieleza hawezi

  • @gambagumu368
    @gambagumu368 Год назад +1

    Mamba HAIWEZI shindana na kenge SIKU zote

  • @omarymoshi6238
    @omarymoshi6238 Год назад +3

    Pesa tu hata kujieleza hajui

  • @royalahmed7024
    @royalahmed7024 Год назад +3

    Tumefika pabaya hili toto limetembelea nyota ya baba ake maana hata kujieleza haliwezi

  • @shabanimmbaga1409
    @shabanimmbaga1409 Год назад +15

    Hana sifa na uwezo wa kujiamini nabhata kuongea

  • @ISSAMOHAMED-f4f
    @ISSAMOHAMED-f4f Год назад +2

    Kweeeli Tz Inawenyewe😊

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Год назад +5

    kwa utaratibu huu wa tanzania nchi itaendelea kuongozwa na watu wale wale wa koo zisizo zidi 10 itaendelea kutawaliwa na ukoo wa kina makamba, kikwete, nape, mwigulu nchemba, kinana, mwinyi, mana ndio wanao panga mitaala ya elimu yetu kuwa mbovu, na wana panga elimu yetu iweje huku wao wanawapeleka watoto wao international shule za kulipia halafu watoto wengine wa kitanzania wanasoma shule za serikali ambazo darasa moja inakuwa na wanafunzi zaidi ya 100 walimu .unategemea nchi itaendelea kuongozwa nanani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад +15

    Uko kama mjingq mjinga mjinga tuhuna lolote umeshinda kwa ajili ya jina la baba yako tu hata kujieleza huwezi

  • @shabanikisiga5710
    @shabanikisiga5710 Год назад +10

    Majizi yanazidi kuchipukia Hii Nchi LaaaNa Tupu hasa Hiki chama Nakichukia SaNa Aiseee

    • @rommyshabby3959
      @rommyshabby3959 Год назад +1

      Kaka njoo Canada tupige boksi huku, achana na nchi ya kusadikika hiyo marehem Shaban Robert kitambo tu alishaiona

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Год назад

      @@rommyshabby3959 nipe njia zakufika uko bas

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 Год назад +1

    Kazi tunayo

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Год назад +1

    Karibuni tule nchi kama wazazi wenu!

  • @mango.jayzo.
    @mango.jayzo. Год назад +3

    Actually Hana sifa ya kuwa kiongoz

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 Год назад +1

    Nimempenda bureee

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Год назад +2

    Hii nchi kuna watu wanatukosea sana..

    • @willymdeka6034
      @willymdeka6034 Год назад

      Hasa hawa viongozi wa Sasa hivi hata haya hawana

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 Год назад

      @@willymdeka6034 Wacha tu kaka..

  • @MrishoMzelela-xb9bb
    @MrishoMzelela-xb9bb Год назад +9

    Maandalizi ya wezi wapya😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 Год назад

      Wacha tu bro😢..

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Год назад

      Roho za husda tu kwa mtoto Mdogo shenzi zenu mtakufa na vijiba vya moyo mtoto kajitahidi si eti ni mtoto wa waziri

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 Год назад

    Confident...fact...

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 Год назад +2

    Kwa hiyo na hawa wanafundishwa mbinu za kuiba kura?

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 Год назад

    How possible? Mbona hata kujielezea hajui?

  • @feliciantarimo
    @feliciantarimo Год назад +7

    Nchi hii ya Tanzania tutaona mengi sana kwani misingi yake ni kubebana

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 Год назад +1

      Kubebana wap wakat mtoto wako yupp home na bint wanagombea remote control ya tv 😅 wafunzen watoto bado wadogo

  • @brianmushi7004
    @brianmushi7004 Год назад

    Kitu gani kilikufanya upende siasa. ‘ cha msingi babaangu ubunge na chipukizi’ 😂😂😂😂😂 alooohh

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 Год назад +15

    Inchi hii ya ajabu sana bora tuseme hatuongozwi kidemokrasia tuwe huru mnarithishana Madara kwa mgongo wa demokrasia

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Год назад +2

    Kama baba jambaz kiac hiki je mtoto itakuaje?...linapikwa jambaz jipya😂😂

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 Год назад

    Tuondoleeni huo upumbavu wenu watu wanamaisha magumu halafu mnaleta Sanaa na masihara na maisha ya watu pumbavu kabisa

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 Год назад

    Ili mtutawale vizuri sisi wanyonge mtawale na watoto wenu

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 Год назад +2

    Hili la watoto kushirikishwa siasa badala ya elimu na vipaji vyao ni sio sawa na halikubaliki. CCM mnavunja sheria ya Haki za Watoto na UN Convention on the Rights of Children not to engage in politics

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 Год назад +4

    Yani sasa kwakuwa mumeona Mumesha tuweza na ujinga wetu wa kila munayo tufanyia tuna kaa kimya.basi mumeona mutuletee na hiv vizazi vyenu muendelee kulisi Shana .haya twendeni tu.ipo siku isiyojulikana

  • @VelonikaMakota
    @VelonikaMakota Год назад

    Hajui jaman

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 Год назад

    😅😅😅hatujawa mwiguru mwingine mdogo hatuwa tupigwe nabadooo tutaibiwa mpaka vizazi navizazi

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Год назад

    Usije kutuibia kama Baba ako uwe mzalendo, sema mtoto wa sheta yuko vizuri

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 Год назад +4

    Duuh nchi hii hasa ccm hawa viongozi wabaya sana toto hata kuongea hawezi mnalipa uwongozi baba yake kichwani hamna kitu na mtoto naye karisi

    • @mustafaalli4698
      @mustafaalli4698 Год назад

      😂😂

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Год назад

      Selemani uneliona hilo liko kama halipo sasa hilo la nini limenenepeana kama dudu vule kujieleza haliwezi kama jinga jinga heri hata lingeachwa bila kuhojiwa aibu tupu wstoto wa wazazi wao wasiotaka kutolewa mitandaoni ni bright sana kuliko hilo watoto wazuri ni wa wenzake na nk hawa wengine waliobaki wengi wao mibomu tupu katika watoto wa Marais wastaafu ni mtoto mzuri ni Hussein mwinyi tu mingine iliyobaki miuza madawa ya kulevya mikomba pesa za Nssf halafu inataka Urais 2030 ipewe na nani

    • @salmoomorefeelingproductio1744
      @salmoomorefeelingproductio1744 Год назад

      Mbona kajibu vizur,kama we ni mpiga debe basi mwanao nirahisi kuwa konda ila mmesahau maji hufuata mkondo?

  • @joshuasamweli6139
    @joshuasamweli6139 Год назад

    Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema🚶🚶🤗🤗🤗😅😅 acha tu niendeleee kujifukiza

  • @BakuzaSimon
    @BakuzaSimon Год назад

    Kwanini watoto wa viongozi ndoo nao wawe viongozi wa Uvccm tuwe macho

  • @denyu9975
    @denyu9975 Год назад

    Katiba mpya muhimu sana sjuii huu usingiziii tumeutoa wapii watanzania

  • @benjatv2493
    @benjatv2493 Год назад

    Mtoto hajui hata kuongea me nadhan tunawaharib watoto kuwafundisha siasa wakiwa bado wadogo sana

  • @AbdallahMohamed-wz8lc
    @AbdallahMohamed-wz8lc Год назад

    Limeshiba hela za trab mpaka haliwezi ongea😮

  • @KaizaMandike
    @KaizaMandike Год назад +6

    Mtoto wa "trabu and trakti" 😢😢

    • @magrethsanga942
      @magrethsanga942 Год назад +1

      Hahahaha 😆 hata kujibu hawezi haya maisha bhana nilichokiona wamejazana watoto wa viongozi humu ndani watoto wa watu wa chini ni wachache na wengi wamepigwa chini ni mtoto wa shelter tyuu Mungu kamtetea na anastahili

    • @magrethsanga942
      @magrethsanga942 Год назад +1

      Kama mtot wa trabu na trakt dah hata kuongea bado lakin dah

    • @KaizaMandike
      @KaizaMandike Год назад

      @@magrethsanga942 Watoto wa viongozi washatengenezewa chain, hakuna nafasi kwa mtot wa maskin hapo

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 Год назад +8

    I don't know but I deeply feel sorry for these kids

    • @danielmussa6944
      @danielmussa6944 Год назад +3

      But You dont feel sorry for the kids watching cartoons with LGBTQ themes😢

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 Год назад +1

      ​@@danielmussa6944: It's timely and perfect response to non analytical guy.

    • @mdedsm5522
      @mdedsm5522 Год назад

      ​@@danielmussa6944who allowed them to watch....

    • @kibbysaidi7813
      @kibbysaidi7813 Год назад +2

      @@danielmussa6944 It's unfortunate you should think so. How would you possibly know that? I commented on that specific clip did you maybe expect me to comment on every bad mistreatment our kids undergo?

    • @danielmussa6944
      @danielmussa6944 Год назад

      @@kibbysaidi7813 how is it mistreatment if its not child labour?are we not supposed to teach them while they are young?

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi Год назад

    Hii nchi hii....... Watoto kwenye siasa?, hayaa

  • @machedafederico572
    @machedafederico572 Год назад +1

    Mtoto wa maisha bora

  • @mohamedially5330
    @mohamedially5330 Год назад

    Wa sheta sawa lakini huyu janga hatakuongea shida tumipigwa na kitu kizito

  • @nuruanaingimayo1675
    @nuruanaingimayo1675 Месяц назад

    Mimi enywe chipukizi tena mkoa

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Год назад +3

    huyu mtoto amepewa Tu hata kujieleza hajui 😂😂😂

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 Год назад

      Anapata taabu kujieleza kwa kiswahili bila shaka lakini anaweza kujieleza vema kwa kiingereza.

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Год назад +2

    yaani hiii nchi vichaa hawaishi watoto waachwe wachague wanachopenda

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 Год назад

      Akipenda kuwa kama paula kajala unamwacha tu alaf badae unaanza kulaumu viongoz wanabeba watoto wao wakat wanawafundisha ulikua unawabeza

  • @leahsangawe9609
    @leahsangawe9609 Год назад

    Maandalizi😁😁😁

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 9 месяцев назад

    Ni nchi pekee duniani ambayo watoto wa viongozi nao pia hufanywa viogozi na wazazi wao.
    Nchi imekuwa biashara ya watu fulani.
    Watoto wa viongozi wamevimba mashavu kwa utajiri, watoto wa kimasikini wanakondeana kwa umasikini.
    Masikini wanazidi kumasikinika na wanyonge wanazidi kunyongeka, viongozi wanazidi kutajirika na kila kukicha pesa haziwatoshi.

  • @nuruenock5402
    @nuruenock5402 Год назад

    Haya bwana nasoma coment😂😂😂

  • @mmubaraka5394
    @mmubaraka5394 Год назад +5

    Mitoto inaandariwa kuwa mijizi ya baadae maongo mifisadi kama wazazi wao ccm kenge kweri

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli Год назад +2

    Kama kubebwaa ndoo huku, kama kupendelewa ndo hivi. kitu kiko waxi kabisaa hata hakitafutwi. Pesa imetumika

  • @StephanoCharles-nq8tf
    @StephanoCharles-nq8tf Год назад +1

    Hyu mtoto apewa tu...Yaan hmn kitu bora mtoto wa sheta yuko vizuli kuliko huyu

  • @iringanboy8025
    @iringanboy8025 Год назад +2

    Kuipinga serikali si kuichukia; bali ni ombi la kutaka ibadilike.Kwa mfumo huu hapana

  • @felixmganga2121
    @felixmganga2121 Год назад +2

    Domo Kama mwanyaaaa

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 Год назад +2

    Tangu lini bonge na akili wa kakaa sehemu moja

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 Год назад

    Kitu gani kilikufanya upende siasa? Namshukuru baba yangu cha msingi ubunge na siasa 😂😂😂😂😂😂😂 baba alinishauli niingie kwenye siasa 😂😂😂😂😂😂kazi tunayooioo

  • @Samuelmongi
    @Samuelmongi Год назад

    Hii nchi ngumu sana

  • @happyhillu3013
    @happyhillu3013 Год назад

    Naona watoto wa viongozi tu!

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 Год назад

    Jamani hizi nafasi za chipukizi mbona hamjasema tukagombanie na Sie😅 watu mna siri uchoyo gani huo😅😅

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o Год назад

    Awa ni wahudumu uchumi, wako tayari kuuwa kwa ajiri ya masrahi yao. Utu mtoto hajui njaa ni nini shida ni nini. Mwisho wa yote eti aje kuwatetea wanyonge kamwe haiwezekani. Watanzania zindukeni. Ukoloni kwa mgongo wa waswahili unakuja kututawala

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Год назад

    Wow❤

  • @ndupdatestz
    @ndupdatestz Год назад +3

    Huyu hapendi uongozi ila anapelekwa kugombea

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 Год назад +1

    kuongea tu Shida mwambie akufundishe na kupandisha tozo

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 Год назад

    Jifunzeni mambo ya Mungu na mjue kwamba yote yanapitilia mbali 1Yoh 2: 15-17

  • @6VEVONEWS
    @6VEVONEWS Год назад

    Kila la heli

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Год назад

    Mbona ajui kujieleza

  • @eng.mallya9532
    @eng.mallya9532 Год назад +1

    Mbona kama hamnazoooooo jamni😅😅😅😅😅

  • @credomatanga2301
    @credomatanga2301 Год назад

    Nimekumbuka Trabu na Trat😂😂

  • @ainekishagodwin1877
    @ainekishagodwin1877 Год назад

    Mbona ni watoto wa viongizi

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 Год назад +2

    Naona wengi wao watoto wa viongozi tyuuu

  • @GiftMwakalinga-yp2fh
    @GiftMwakalinga-yp2fh Год назад

    Shida hii nchi tuliwahi sana kupata uhuru😢

  • @aciamwinyi3991
    @aciamwinyi3991 Год назад

    Jamaniiiiii jamaniii jamaniii jamaniiiii wanawekanaaaaaa tuuuuu

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад +2

    Ndio mambo yakina mseven, poul kagame, wananda familia zao kushika nchi

  • @salmoomorefeelingproductio1744
    @salmoomorefeelingproductio1744 Год назад +2

    Kama we ni mkulima muandae mwanao kuwa mkulima,maji hufuata mkondo kwanini dogo asipende uongozi wakati kila huwa anaingia bungeni,baba akiwa mganga hushangai mtoto kurithi vipi hili maneno mengi baba ndio huandaa dira ya watoto na mtoto huchagua,mimi sio mtu wa chuki Hongera CHIPUKIZI,#Mwigulu

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 Год назад +2

    chama cha familia, duh...ni ukoo na familia. tutaumizwa sana. nani likifanyika sio atawajibishwa

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Год назад

    Uchaguzi ujayo tunampa ubunge wa dar es salaam

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Год назад

    Tunajua mnaanda watoto wenu waendelee kutawala taifa hili

  • @mwitajohn4882
    @mwitajohn4882 Год назад

    Lilieni katiba mpya tu,bila hivyo tutaishia tu kwenye mitandao

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Год назад +6

    Hata kuongea hajui masikini daa

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 9 месяцев назад

    Mtoto anarithishwa uchawi

  • @abelicharles6874
    @abelicharles6874 Год назад +2

    Ushenzi mtupu

  • @naomilyoto1977
    @naomilyoto1977 Год назад

    Mmmh hapa wamepigwa 😂😂😂😂😂😂

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 Год назад +1

    Unaweza ona kwamba hiii nchi inawenyewe

  • @JamesNgondo-n5c
    @JamesNgondo-n5c Год назад

    Kweli sisi maskini hatuna chipukizi ya utajiri tuu

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 Год назад

    Fisadi lingine hilooo

  • @Maaworldwide
    @Maaworldwide Год назад

    Hamna kitu hapo kawekwa tu,,hajui maskini ya MUNGU hapo katikaje

  • @Adnani-j5y
    @Adnani-j5y Год назад

    Dah dogo mdomo wake mzito sana kuongea.mdo auna panchi ya kuweza kumshawishi mtu amvutie kumsikiriza

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Год назад

    Dogo eeh, tutaonana miaka 15 ijayo. Tukiwa hai ntarudi tena hapa hapa

  • @ibrahimsaad617
    @ibrahimsaad617 Год назад

    CCM INA mikakati ya baadae chadema jipangeni