@@mimiraia2531 mwambie gay huyo ,ukimtoa jk nyerere marais waliopita hawamfikii hata kidogo jpm kikazi hata kimaono ,Awamu ya 5 ni wizi tuu watanzania karibu 85% wanalijua hilo
Kiukweli ningelisikia vibaya na kuwalaani kama msingeliweka jina la Magufupi kwenye makala yenu, ila niwapongeze kwakuishi kwenye uhalisia wandoto zake Hongera Salim baharesa.
Shida ya Watanzania huwa mnachanganya hamjui tofauti ya technician na Academician km Prof. Kazi za prof. sio kuendesha mitambo kazi yake ni kufanya tafiti. Halafu wabunifu wanaweza kusoma hizo tafiti na kubuni technologia. Hao unaowasifia wamefundishwa na maprofesa halafu na wao wakajiongeza.
Magufuli kabariki hilo eneo kuanzishwe kiwanda lakini hakulitoa bure,Bakhresa amelipia acheni kumsifu huyo mtu wenu tatizo la watanzania tunashabikia ujinga ni sawa na Makonda kutoa eneo na kuwapa yanga kumbe eneo lilikuwa la Manji ambae alikuwa mfadhiri wa yanga walimnyanganya.
Maasha Allah.... Allahumma baarik... Hadhaa Min fadhir Rabbi.
MAGUFULI REST EASY focus yako kwenye future ilikua best
VP aliwekeza bei gani kwenye kiwanda hiki?
Magufuli alimpa Bakresa ekari elfu 10 alime miwa za kuzalisha sukari. Umeelewa we PIMBI!?
@@mimiraia2531 alimpa halafu Bakhressa akalipa zaidi ya billion kuhamisha watu. Unajiona una akili sana sio? Shwain kabisa
Yes...he is the one provided suitable environment
@@mimiraia2531 mwambie gay huyo ,ukimtoa jk nyerere marais waliopita hawamfikii hata kidogo jpm kikazi hata kimaono ,Awamu ya 5 ni wizi tuu watanzania karibu 85% wanalijua hilo
Mungu andelee kukubarik said Salim bakharesa na akupe umri mrefu na maarifa inshallah
Hongera sana kwa SSB & Azam Group of companies kwa mradi huu. Sisi wakazi watarajiwa wa Makurunge tunafurahi kuwa karibu na mradi kama huu. 👏👏👏😃
MashaAllah Bahresa,Bahresa
RIP JPM we love you
Hongera sana mzee bakhresa,hongera pia kwa waandishi walioandaa makala hii kwaubunifu wakiwango kikubwa.
This man 👍. wa tofauti.
Ahsante sana SSB
Big up Bagamoyo sugar SSB group
Namshukuru mungu kwa uwepo kwa mwekezaji wetu mzawa
Kongole kwa Azam Group💪🙏🙏🙏
Ni Jambo la kujivunia kwa mafanikio yenu na uthubutu wa hali ya juu kuijenga Tanzania mpya. HONGERA sana.
Pesa zinatoka mbali sana
Mwenyezimungu Amjaalie kheri
Na afungue viwanda vingine vingi
Inspired. A lot
KILA LA KHER BAKHRESA GROUP ❤
يستاهل حکومتنا الرشيدة مع رجل الأعمال سعيد سالم بخريس کل التهاني بهذا المشروع الضخم الذي من المتوقع أن يسهّل حياة المواطنين
Bakhresa tajiri ambae hana majivuno:inshallah:
JPM forever
Hakika kabisa kabisa
Hongera Sana...Mega investment! 🙏
Sasa tutapata team ya mpila Bagamoya sugar kama kagera na mtibwa 😊😊😊
ni team ya mpira sio mpila
Magufuli hakutoa eneo bure sema alibariki uwekezaji,ila Bakhresa alitoa pesa zake na kulinunua.
Hongereni woote kwa ujumla
Magu aliona mbali sana na ndiyo maana sasa hivi Azam wanaongoza kwa mifano.
Pongezi kwako mwekezaji mwenzangu mzawa, pongezi kwako pia mwandishi kwa usanifu wa kuwasilisha makala.
Jpm alitamka na mzee bakhresa akafanya kwa ujumla mnastahili pongezi
Nakumbushia zijengwe Nyumba za Ibada kwa dini mbalimbali sambamba na makazi mazuri ya wafanyakazi wenu Bagamoyo Sugar. Kongole sana
Excellent job...baada ya kufaidika na Mali ya umma
tanzania ya viwanda.pongezi nyingi sana kwa ssb
Muwe waungwana lazima msifie magufuli bila yeye msikuwa na eneo
TumuenZi Bahresa
RIP JPM
SSB inahit kupewa kudos!
Kwak Hali his jamani mbona Tanzania isifanye kilimo cha umwagiliaji,jamani vijana wengi hawana ajira,njaa kali, Mama yetu jaribu hii,waziri wa kilimo
Kiukweli ningelisikia vibaya na kuwalaani kama msingeliweka jina la Magufupi kwenye makala yenu, ila niwapongeze kwakuishi kwenye uhalisia wandoto zake Hongera Salim baharesa.
Watu mia tano walikuwa na vijumba vyao kule.
duh kumbe na wewe umeiona hiyo,nilfikiri nimeona peke yamgu
MashaAllah!!!
ongezeni sana ndg zangu mbali kwanza yote mkali wazawa
Hongereni sana
Safi sana
Kasulu sugar inafuata, trust the process.
R.I.P JPM
anahusika nn hapo
Uzuri wa Bakhresa vitu vyake huwa sio vya janja janja.
Mmepewa ardhi bure na serkali sasa sukari muuzie watanzania kwa bei ya nafuu.
Makilmani unatuangusha unatundanganya muhindi wa wawatu hajasema hayo unayotafsini aisee
Hatujaona nafuu kwa nchi
Hawa ndio wasomi sio maprofesa wa bongo na wasomi wetu hata sindano Hawawezi kutengeneza
Shida ya Watanzania huwa mnachanganya hamjui tofauti ya technician na Academician km Prof. Kazi za prof. sio kuendesha mitambo kazi yake ni kufanya tafiti. Halafu wabunifu wanaweza kusoma hizo tafiti na kubuni technologia. Hao unaowasifia wamefundishwa na maprofesa halafu na wao wakajiongeza.
rais magu alitoa eneo hilo moja ya mategemeo yake ni ushushaji wa bei ya sukari lakini mbona sukari yene iko juu kuliko iliyopo madukani hivi sasa?
Kwani Nini kilicho mtokea Dangote kwene Cement
mashaallah
Nikitaka molasisi nipataje ? Mimi nimfanya biashara ya .
Ni juhudi kubwa Ila u aguzi wa dini katika ajira!!!!
Bakhresa ndio tajiri anae jielewa
sasa sukari mbona aishuki bei uku Arusha 2800 kwa kg 1
Hi
Revolt mind
Umaskini tunajitakia-serkali kutaka kufanya kila kitu badala ya ku-facilitate biashara. Angalia inavyofanya kwenye entertainment- inaendesha tuzo..!!!
Mapinduzi ya fikra
Yaliyoletwa na Magufuli
JPM NI RAIS TUNAENDA KUISHI NAE MUDA MNO .SIO SIASA ALIKUWA MTENDAJI WA WANANCHI