Wow pako powa sana unni na tamani tufundishe kwa mfano jinsi ya kuomba maji kwa kikorea ni saidie au mama anakuita au baba yani namanisha Mazungumzo ya kila siku unni
Ushindi park. Ningekua mfalme ningekupa nusu ya ufalme wangu. Ningekua na nyumba ya room nane ningekupa room nne. Moyo wangu una vyumba vinne. Lakini vyote havifai kuishi. Sina Cha kukupa... Nakupenda tu kwa jina la yesu
Ushindi kuna mama angu mmoja mama mchungaji yupo uku TANZANIA anaongea kiswahili vzur sana inaweza kuwa Good MOMENT wakorea wawili kuongea kiswahili +kikorea
Nimependa mji huo... Ni mzuri sana .. hata ushindi pia Ni mzuriii.... Na yeye nimependa na mji nimependa.. natamani niuchukue nije niuweke hapa bongo.. mji umeendelea sana nadhani kuzidi dar
Ushindi nichukue na mm tukatembee really kupo vizuri sana
Napenda unavyotujuzaaa uhalisia wa huko
🎬
Added to my bucketlist
Nipazuri kweli
Wow
Natamani sana Nifike korea
Utanisaidia dada ushindi
Pazuri sana seoul
Wow pako powa sana unni na tamani tufundishe kwa mfano jinsi ya kuomba maji kwa kikorea ni saidie au mama anakuita au baba yani namanisha Mazungumzo ya kila siku unni
Ushindi we noma
Ni pazuri kweli,,,kuna majengo makubwa🏢na mazuri yakupendeza☺️
Napenda sana video zako
Ushindi wewe mjanja kweli...nakpenda kutoka kenya🙋🙋❤❤
Nakupenda Sana Ushindi Welcome Singida Tanzanian
Sehem gan
I love your videos 😍😘💞
Asante sana🥰
@@복숭아쌤 itakuja Tanzania lini
Nimeipenda pia ❤
natamani sana hicho chakula kizuri sana
Ushindi
Unapenda kiswaili
Ushindi park. Ningekua mfalme ningekupa nusu ya ufalme wangu. Ningekua na nyumba ya room nane ningekupa room nne. Moyo wangu una vyumba vinne. Lakini vyote havifai kuishi. Sina Cha kukupa... Nakupenda tu kwa jina la yesu
Nakushukuru saaana 🥲🙏 Mungu akubariki
Ushindi kuna mama angu mmoja mama mchungaji yupo uku TANZANIA anaongea kiswahili vzur sana inaweza kuwa Good MOMENT wakorea wawili kuongea kiswahili +kikorea
Yeye mchungazi anaitwaje? Anaishi wapi?
!Anaitwa Yerin Kim! Anaongea kabisa na amekua m,bongo kabisa😂 ni mama mchungaji anafundisha vijana vizuri sana
Kumbe siku moja nataka kumtana naye. Msalimie mnaishi wapi?
@@복숭아쌤 Sawa sawa ! Anaishi uku Dar es salaam maeneo ya kunduchi siku ukija ntakukutanisha nae yuko vzur sana ! Hana tatzo
nawezaje kupata uraiya wa huko kwenu 🚃🚄
Poa ti cha
Nimependa mji huo... Ni mzuri sana .. hata ushindi pia Ni mzuriii.... Na yeye nimependa na mji nimependa.. natamani niuchukue nije niuweke hapa bongo.. mji umeendelea sana nadhani kuzidi dar
Upo vizuli Sana na watanzania tunakupenda kalibu sana
Hauishi Seoul?unaishi mji gani ?
Naishi Cheong-ju ☺️
Dada ushindi naomba kuuliza korea kusini kuna miji mingapi?na je kuna makabila tofauti tofauti kama ilivo Tanzania?
Safi sana,unaishi wap korea?
Unaishi mji gani korea au upo bongo?
naupenda mto Han natamani siku moja nije Korea na kitu chakwanza kukiona ni mto Han maana una historia kubwa sana Korea
Ushindi unn tufundishe namna ya kutumia jon-dat-mal na ban-mal