Jinsi ya Kupata Vocha ya 1000 ya Tigo au Voda Bure Kila Siku

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии •

  • @TanzaniaTech
    @TanzaniaTech  5 лет назад +3

    SOMA HAPA KUJUA UKWELI KUHUSU APP YA DENT - url.tanzaniatech.one/dent

  • @TanzaniaTech
    @TanzaniaTech  5 лет назад +1

    Tujadiliane Hapa - forums.tanzaniatech.one/

  • @MkaliStudio-w6v
    @MkaliStudio-w6v 2 месяца назад

    Kaka mbona kwangu imekataa kujiunga kwa namba ya simu nifanyeje?

  • @nduluclassic4746
    @nduluclassic4746 3 года назад

    habari mbona kila nikifika katika kusubr verification inajipg inakta na nikisubiri ije ile kwa njia ya sms haiji Nifanyeje

  • @amashamussa6473
    @amashamussa6473 3 года назад

    Hii app naipataje play store mbona hakuna?

  • @josephnyanda8921
    @josephnyanda8921 5 лет назад +1

    You guyz rock!!

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад +1

      Thank you very much for your kind words 👍

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 5 лет назад

    Mbona share link aipo

  • @ntemimuyuga5932
    @ntemimuyuga5932 4 года назад

    mbona Mimi miefikisha coin 5401 lakini kutoa salio la buku inakataa

  • @fahadalismailiy
    @fahadalismailiy 5 лет назад

    Then naomba link yenu ya Telegram

  • @iscofundi8738
    @iscofundi8738 3 года назад

    Mbon kweny verification hawaniletei sehem ya sms ina inafel alaf hawanionyesh chochot

  • @lazarowerema2534
    @lazarowerema2534 5 лет назад

    Vodacom waga hawatumi this 1000 hata Siku moja tumien maalifa yenu kuelimisha watu na sio kupotosha

    • @yahayachaha8107
      @yahayachaha8107 4 года назад

      Acha ujinga wewe tushatumia sana dent fala sana wabongo bwana

  • @gillymusic4406
    @gillymusic4406 4 года назад

    sawa

  • @mashalahkasanda8824
    @mashalahkasanda8824 5 лет назад +2

    Unapateje point

  • @hilalijuma3005
    @hilalijuma3005 3 года назад

    Unawezaje kupata pesa dent

  • @Na3Hypex
    @Na3Hypex 3 дня назад

    😢😢😢😢

  • @ALENGAKASHINDI-d1w
    @ALENGAKASHINDI-d1w 4 месяца назад

    Inaitwaje hii app

  • @athumaniyahaya3059
    @athumaniyahaya3059 4 года назад

    Vp kwa halotel

  • @mhptechmovies8945
    @mhptechmovies8945 5 лет назад +3

    Mkuu unawezaje kuongeza zile coin

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад

      Kivipi unaweza kuelezea zaidi

    • @mhptechmovies8945
      @mhptechmovies8945 5 лет назад +1

      Yaan Kama una Mia tano ili zizid ili uwez kupata iy elfu moja au mbili

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад

      @@mhptechmovies8945 Ndio inawezekana

    • @mhptechmovies8945
      @mhptechmovies8945 5 лет назад +1

      @@TanzaniaTech kusema ukishare mtu asipojiung coin haiongezek

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад

      @@mhptechmovies8945 Ndio ni lazima ajiunge

  • @abduzidon1676
    @abduzidon1676 4 года назад

    Sijaelewa bado

  • @fahadalismailiy
    @fahadalismailiy 5 лет назад

    Na umesema ktk video yako kwamba ukishajiunga tu unapewa points 1590 sasa mm mbona nimepata point 590 vp hilo

  • @BrianNgasa-ee4ml
    @BrianNgasa-ee4ml Год назад

    Mbona mm inaniletea zingine

  • @Ambwenefilm
    @Ambwenefilm 5 лет назад +1

    Ni nzuri ila natamani nizi hack hzo coin ili ziwe nyinyi

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад +1

      Share na watu link yako utapata Coin nyingi.

  • @justinematisho9816
    @justinematisho9816 Год назад

    Mbn inagom inakataa kuregister namb yang

  • @fahadalismailiy
    @fahadalismailiy 5 лет назад

    Habari yako
    Nimejiunga na hio application lkn nimeletewa kiasi cha Tsh 590 tu

    • @mahersaid258
      @mahersaid258 4 года назад

      Iz pwet kila siku uzifunguee

  • @lazarowerema2534
    @lazarowerema2534 5 лет назад

    Mnakwama WAP nyie KWA kupotosha huku

  • @shakurukakuru7636
    @shakurukakuru7636 9 месяцев назад

    naomba faili bas

  • @maha2ismail67
    @maha2ismail67 3 года назад

    Huyu jama ni muongo

  • @AnuaryMrisha
    @AnuaryMrisha 4 месяца назад

    R

  • @ismailyunus5306
    @ismailyunus5306 4 года назад

    Mbona unatidanganya

  • @athumanichoyo1522
    @athumanichoyo1522 5 лет назад

    Wanasema ukijiunga ...next unakuja katwa pesa ktk account za tgo pesa au m pesa.. hiyo link ina tumika ku trac no za watu

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад

      Brother hii ni kama bitcoin tu haina tofauti na tumefanyia uchunguzi sana hii kabla ya kuileta hapa.. kifupi ni kuwa hakuna maswala ya mpesa wala tigo pesa wala hakuna mahali unaweka password zako za mpesa au tigo pesa, kama kwenye app yako kuna sehemu kama hiyo basi hiyo sio app ambayo tumeonyesha hapa.

    • @athumanichoyo1522
      @athumanichoyo1522 5 лет назад

      @@TanzaniaTech bro bit coin ni nin pls?

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  5 лет назад

      @@athumanichoyo1522 Soma hapa url.tanzaniatech.one/uvV

  • @athumaniyahaya3059
    @athumaniyahaya3059 4 года назад

    .

  • @ismailyunus5306
    @ismailyunus5306 4 года назад

    Kwelnimuong www anko vp

    • @TanzaniaTech
      @TanzaniaTech  4 года назад

      Una maana gani.? Unaweza kuuliza swali lako au kama kuna mahali umekwama unaweza kusema.

    • @abdillahiissa2625
      @abdillahiissa2625 3 года назад

      @@TanzaniaTech bro kuna sehemu cjakufahamu pale ikifeli ili verification unafanyaje

  • @mamudukilofase2768
    @mamudukilofase2768 11 месяцев назад

    Aaaaaaaaaaaaaaa wewe mongo