Stephen Wassira Atangazwa Kuwa Makamu Mwenyekiti Anayefuata CCM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 15

  • @JosephatiKisinda
    @JosephatiKisinda 2 часа назад +1

    Kwanii vijana hawapo mnachsgua wastafu wanini 😊

  • @RichardYomo
    @RichardYomo 2 часа назад

    Steven Wasira safiiiiiiii

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 часа назад

    Toka Nyerere Hadi Samia yupoooo

  • @MustafaHassanii
    @MustafaHassanii 2 часа назад

    Makamba kama sijamuelewa hivi😂😂

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 часа назад

    Mmelikumbuka Hilo lizee baada yamsoto wa mda mrefu limefurahi mpaka likichwa

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 3 часа назад +1

    Ndio wale wale

    • @AnociathaChuwa-cb5nk
      @AnociathaChuwa-cb5nk 2 часа назад

      EE MUNGU TUONDOLEE HIKI CHAMA KIOVU KILICHOJAA KILA AINA YA UOVU!!
      EE MUNGU TUINULIE TU MZALENDO ANAYEFAA AANZISHE CHAMA KINGINE HIKI KIONDOKE MADARAKANI KABISA!!!

    • @MustafaHassanii
      @MustafaHassanii 2 часа назад

      ​@@AnociathaChuwa-cb5nkUnachokitaka ndio wanagombana kinyama

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 2 часа назад

    😂😂😂 makongoro nyerere typing

  • @SelijusiMalambo-f8x
    @SelijusiMalambo-f8x Час назад

    Tusubiri muwalete ili tuwanyoshe mnatuletea walio choka

  • @ezekielmabwai4614
    @ezekielmabwai4614 2 часа назад

    CCM WANA BONGO KWELI? WAMEKULA MKENGE!

  • @HongeraCharles
    @HongeraCharles 3 часа назад

    CCM YA CCM ILISHAKUFA

  • @HongeraCharles
    @HongeraCharles 3 часа назад

    CCM YA NYERERE ILISHAKUFA

  • @josephlango5591
    @josephlango5591 2 часа назад

    CCM wana Wasira. Chadema wana Mbowe. Ngoma droo