Ile nyingine kwishatolewa RUclips na mimi kahamia hapa ili niliendelee kupata uhondo. Wale tumeitafuta hii video na audio yake ile clear tukaikosa RUclips tokea jana gongeni likes hapa.
Kusema ukweli nawapenda hawa vijana saaana. Nilikuwa nimewamissssssss sana. Msinyamaze hivyo tena jameni mwatuumiza roho. Mimi Mkenya, na hiki ndicho kikundi nikipendacho zaidi ya vikundi vyote. Wimbo mzuri saaan
Aslyei hapo anaonakana ndio alikua mwali anafatia mwanangu mbossa.uyu mwengine wa nyekundu.kisha eneck sauti bessi ya kiume .watoto saidieni mfike msitegane kabisa .mungu atawasaidia
Who is here in 2024?
Yamoto band jamani nawapenda Sana Hadi naumwa!.nawakubali Sana,napenda kazi zenu ,napenda nyimbo zenu sanaaa!...Big up guys!🙌👍👌❤️❤️
Oooooooohh!!! Nilikua nime miss xn kuwaona pamoja big up am a Kenyan bt kwenu nadata
Ile nyingine kwishatolewa RUclips na mimi kahamia hapa ili niliendelee kupata uhondo. Wale tumeitafuta hii video na audio yake ile clear tukaikosa RUclips tokea jana gongeni likes hapa.
Tunao angalia 2020 Mbosso akiwa yupo Moto fire tujuaneeee
Dec 2020 watching
2024😂 still here
Masha Allah congratulations mkubwa fella na wanao.muendeleee na umoja ni nguvu.penda sana nyimbo zenu.
Waooooo nawapenda sana nikiwaona pamoja nawapenda sanaaa
Yamoto band you are awesome and amazing we love you from Sudan Asanti sana
Mkubwa una Akili yaku tengeneza Pesa Mungu akubariki. Wana Yamoto hicho kikundi kikopoa Umoja ndo nguvu zahidi.
Riziki Pindila beka noma
ya moto band kweli mmetisha na sema baci😍
Naipenda walai hii nyimbo tamu sana that's good guys
yap yap...we ar waiting for this...umbea wa gwajima basi basii...nw ni burudan tuu
Kusema ukweli nawapenda hawa vijana saaana. Nilikuwa nimewamissssssss sana. Msinyamaze hivyo tena jameni mwatuumiza roho. Mimi Mkenya, na hiki ndicho kikundi nikipendacho zaidi ya vikundi vyote. Wimbo mzuri saaan
I like it
pow nakwako pia
nawakubali sana wakubwa na wanae ya moto band.
Naipenda basii😍😍
penda sana yamoto.effort bro,much love from Nairobi kenya
Ila asley we nistar lakin huna makuu yani unavaa simpo2 minakupenda Bure mungu akujalie ufike mbali zaid
Fantastic song from young gifted african musicians......
Tunawakumbuka jamani daah 25/09/2020
Bigup yamoto your music is so creative more so aslay congratulation . from kenya
Jameni tulikuwa tuwamiss 😢😢😢🤞🤞💪💪💪
14 november 2019 still watching🙌🏻🙌🏻
Aslyei hapo anaonakana ndio alikua mwali anafatia mwanangu mbossa.uyu mwengine wa nyekundu.kisha eneck sauti bessi ya kiume .watoto saidieni mfike msitegane kabisa .mungu atawasaidia
Enock Bella amependa hiyo nyimbo Sanaaa.ona anavyofurahia
Katunga yeye
GEA UMEBARIKIWA SANAA MAMAA,ANAEKUTIA HONGERA ZAKE..
Nice song ya moto band mim ni mu burundi na wapenda sana awa wakiyana i love u so much guys and big _up
2023 NASEMA YAMOTO MULITUKOSEA SANA KUTUACHA
Msiachane tena bana mnapendeza sana na alaf mnajua sana
Yaani nawapenda sana nyie watoto.
2019 still watching their last song
And 2020 too
mmewaziba mdomo walokuwa wamesema mshapotea....all the best to you guys......
Mmmmh, noma sana
Mlitokesea sana kaka zetu 254
duuuh ipo vizur sanaaa, big up to yamoto band
Ingekuwa inawezekana kwa Sasa hiv mngekubaliana2 mrudi muwe pamoja sema bas2 tunawamis😭
Dah nimefrah sana kurud kwenu mkiwa pamoja
Eheee nakupenda sana mbosso luv yah
Yamotooooooooo mpooooo kaz zur mola awabarikiiiiiii enock bezii hiloooo
Enock killed it free style !Mbosso baba yao
mhuuu!!nyie wakaliiiii had rahaaaaaaa😀😀😀😇😇😇😇
Laizer classic ndo producer hapo.big up to u bro.
Nawapenda sna wote pamoja na mkubwa fella ila naomba mkubwa fella mm nije kujifunza kucheza tu je inawezekana
wouuuu safi nawakubali hatarii
Nice song tisha sana nyie wa tmk
Wow.enock.napeda.❤wimbo.wako.sana.❤.wow.keep.up❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Woow i like the way kumeback together ..nice work ...aslay nakupenda buree...#254.
love this song💋❤👍👌👏👏
ipo vzr naona wamelejea baada ya ukimya
Aisee... Ya moto ya moto...Bella masauti
Watoto walikua wanajua sana hawa
Am here in 2022.. these boys should give us one more hit.. mob love from 254🇰🇪🇰🇪
come back to kenya this year i luv u
hongera sana twawapenda sana mimi mkenya
I mis yamoto bańd i wilľ be soo hapy tp see u back
mnajua sana nyie ni noma
greatest band ever
Wow katika ubora wenu .Hongera yenu
Mary Mashao
huu wimbo ningependaelea uwe wa mwaka for real kill it duu!!!
nawapenda.sana
muhire innocent
abuu.jux
Basi murudi pamoja Yamato band.
2020 watching from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
I love this band
😍😍😍nice song jamaaan
Weuweeeeeeeeee,,,, you killed it💯💯💯💕💕💕💕💕
254:::😂 ndo ome ila mbona mkutoa hiiy ngoma bna😁,n noma kinyama.
World best song from ya moto
Mbosso Mbosso Kumamamake Shikamoooooh
2025 and I am still watching...❤😊
Nawapenda sana yamoto
basi Acha nifurahi yamoto wamerudi😜😜😜basi ninomaa napenda sana yamoto band
Halima Amini
Silvia Tegeja
SIJA AMINI KAMA WAMERUDIAN I LOVE YA MOTO BAD
Good job nawapendaga sana wadogo zangu
mm niko omani nimependa sana ✌💞💝
safi sana Yamoto band
mko vizuri vijana kazeni buti
Watu wenye hela mpo wapi?wanyeni hawa vijana warudi Pamoja, kwanini watengane?!Mungu hapendi watu watengane
yamoto band mwanitoa roho nice song
safi san song ...nzuri
You guys you are amazing when you work together
ngoma kari sana niliwamisi kinoma kazeni buti
nice song yaniiii niliwqmic atry yamoto band
Nzuri kweli basi.....
Yaan hadi machozi yananitok kwa kuona Tim hii kwamar nyingine ten wakiepo pamoj aisee wimb huu hatar mmekinukisha yan hatareeeeeee
Irudi tena yamoto band
I love you guys mwapendeza sana
yamoto big up sana!
bonge la ngoma yani
Vp
kaz mzur yamoto
Haifai Makwila
Niec yamoto
Powerful voices, powerful song.I wish they could be together.
kaz kaz appriciate sana
Enock napenda sauti kwel
Ili bass la enock linasikika lkn......🔥🔥🔥🔥🔥
Still watching 2021
ur always perfect keep shinning Yamoto 😍
Woooooooow.....!
Hao wawili wanafanana kweli
Nawakubali kwazi zao bora warudiane safisana hio nyimbo
Natamani hii band irudi
Duuh iyo ngoma iko mwaaakeee
Alexandrina Domaino
yaaan khater hii nyimb yamoto band nyie aaa mnaukosh moyo wng
Hatari sana