Asante sana Anko JK kwa makala hizi nzuri. Naomba kujua ni upi mchango wa wanamziki wa kutoka Kongo katika kukuza mziki wetu wa dansi? Unadhan pasipo kuwa na wao mziki wetu ungefikia level ambayo ulikua wakati huo?
Tino alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba sauti zote pia mtunzi mzuri ,ukiacha arawa,kuna jino la pembe msamaha zote akiwa sikinde,nakumbuka ilikuwa julai 1991 anajiunga na sikinde
Mzee Kitime,kwani kwa hakika umenizidi umri japokuwa na mimi ni mzee nimezaliwa mwishoni kabisa mwa 60s. Nimpenzi mkubwa wa muziki na nimekuwa niki kufuatilia sana.Ningependa kukutana nawe Mwezi October mwaka huu.Nitakapokuja likizo nyumbani Tanzania.Ikikupendeza hii ni namba yangu ya simu.Tunaweza kuwasiliana, tubadilishane mawazo
Ni Jambo jema Sana 🙏
Shukrani Mzee Kitime... Tupo Pamoja
This is awesome, a lover of Tanzanian rumba, I'm really getting information.
welcome
Ni jambo zuri sana.Wadau tupo
Hii session ni kali sana
usikose part 2
A very good idea
Glad you think so!
Kitime next time present Shabani Dede please
Nimeisikia kwa mbali sauti ya Dede, Bushuke nimemsikia hapo nafikiri Mwinyi Kondo yupo Ngosha yupo pia. Nimekumbuka Kigongo Bar Buguruni miaka ya 90
kumbukumbu mkuu
Asante sana Anko JK kwa makala hizi nzuri. Naomba kujua ni upi mchango wa wanamziki wa kutoka Kongo katika kukuza mziki wetu wa dansi? Unadhan pasipo kuwa na wao mziki wetu ungefikia level ambayo ulikua wakati huo?
Hakika ungekuwa vingine sana
Iko siku ntaongelea hili
Tino alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba sauti zote pia mtunzi mzuri ,ukiacha arawa,kuna jino la pembe msamaha zote akiwa sikinde,nakumbuka ilikuwa julai 1991 anajiunga na sikinde
Kumbukumbu sahihi subiri part 2
Mzee Kitime,kwani kwa hakika umenizidi umri japokuwa na mimi ni mzee nimezaliwa mwishoni kabisa mwa 60s. Nimpenzi mkubwa wa muziki na nimekuwa niki kufuatilia sana.Ningependa kukutana nawe Mwezi October mwaka huu.Nitakapokuja likizo nyumbani Tanzania.Ikikupendeza hii ni namba yangu ya simu.Tunaweza kuwasiliana, tubadilishane mawazo
Ni bendi ngapi zaidi ambazo zilipata huduma yako bro Kitime?
elewa swli ningekujibu mkuu