VIDEO.:WAKILI KIBATALA ALIVYO KIWASHA MAHAKAMANI KESI YA BONIFACE JACOB

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 30

  • @ShekySwai
    @ShekySwai Месяц назад +1

    Safiiii sanaaaa msomiii kibatalaaa wachapeee maswaliii watakimbiaaa wote haooi

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe Месяц назад +10

    Mijitu ya ccm mbona kama hawana akili why mbona alietangaza kuhusu matokeo ya wizi wakura hakukamatwa na kuchunguzwa why w

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад +4

    😢😢TANZANIA ya sasaivi sijui inaenda wapi 😢

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Месяц назад +4

    Kwahyo Police wanajua kuwa Boniface hajadanganya ila wanataka kujua anapata wapi hizo taarifa za wahalifu

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n Месяц назад +3

    Mungu anaenda kujibu

  • @rehema971
    @rehema971 Месяц назад +4

    Usimsingizie mwezio uongo ni dhambi mmmmmm

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 Месяц назад +3

    Unajiuliza tu swali la kawaida "Je ikitokea kwa bahati mbaya Boni Yai roho ikaacha mwili akiwa rumande umma utaambiwa nini?" 😮 kuna loop holes zinatengenezwa ili watuhumiwa wawe na penyo za kupitia aidha ni nafasi hiyohiyo kuonesha wanaonewa!! hatari sana wanasiasa mmmh! TUJITATHMINI

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh Месяц назад

    Pole baba ulizungumza ukatoa mfano wa kuku bandani ulitabiri jambo mungu akusimamie akupiganie baba

  • @Mingler_Skimmer
    @Mingler_Skimmer Месяц назад +5

    🔥🔥🔥🔥

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Месяц назад +2

    Yeye atoe paswedi kama simu ni sarama inaonekana simu inasili nyingi hiyo moto umewaka

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu Месяц назад

    Nchi hii bwana

  • @fredgonga9470
    @fredgonga9470 Месяц назад

    Safi mwandishi👍

  • @info-w4l
    @info-w4l Месяц назад +2

    Kwa nn watu wengi wanaotekwa wawe wa mlengo wa upinzani na hususani chadema? Kwani Tanzania kuna vyama vingapi? Au vyama vingine ukiondoa ccm havina wanachama wala viongozi? Je wanachama na viongozi wa chadema wana kipi cha zaidi cha kuwafanya wawe mawindo? Siri ya Kata.

  • @henrymligo2440
    @henrymligo2440 Месяц назад +2

    kwa haya inasikitisha

  • @mathewshoko3099
    @mathewshoko3099 Месяц назад +1

    Mm mambo magum

  • @Anton-t5c2w
    @Anton-t5c2w Месяц назад

    Kaka just utakuwa huru rais anaongea bila kuruhusu maoni

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 Месяц назад +1

    ANAKATAA NINI KUTOKA PASWORD KAMA KWELI YEYE MSAFI , SI YUKO MAHAKAMANI SASA SHIDA YA NINI ASITOE PASWORD? HII INATISHIA ANA MADUDU MENGI. YA AJABU AJABU

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 Месяц назад +9

      Toa ya kwako mkeo kauweka password kwenye simu yake mbona hulazimishi atoe password yake Ili uone ayafanyayo?

    • @joegemihayo8625
      @joegemihayo8625 Месяц назад +2

      ​@@alexkatabi2951😂😂😂😂😂

    • @suleimanmkongwa9950
      @suleimanmkongwa9950 Месяц назад +2

      ​@@alexkatabi2951Nimependa hilo jibu😅

    • @AlphaMollel
      @AlphaMollel Месяц назад +1

      Jitambue we malayaaa

    • @juliusmix
      @juliusmix Месяц назад +1

      Unajua sheria za mawasiliano? Unajua ni nini kilichomfanya Kiongozi wa Jamii Forums kukamatwa na kupata misukosuko kwa kukataa kutoa Password za watu? ​@@alexkatabi2951