Eh Rafiki shaka zako
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- 1. E rafiki, shaka zako zipeleke kwako Yesu! Aliyemwamini yeye hataona haya kamwe.
Naamini, naamini, ninakuamini, Yesu.
Naamini, naamini, naamini neno lako.
2. Zambi zote ziungame na kwa damu utakaswe, akuvike haki yake! Atakufikisha kwake.
3. Masumbuko yako yote uyaweke mbele yake! Ukipita uvulini, Bwana Yesu yupo nawe.
4. Na furaha yako pia ijulike kwake Yesu, Yeye, Bwana ju’ ya yote, akubarikie yote!
5. Ujitoe kwake Yesu: Roho, mwili na akili! Vyote vya maisha yako anataka ku’takasa.
God bless you His Saints. Just love the songs, especially the Swahili ones! Sasa nina shauku ya kujifunza nyimbo za Kiswahili. Atukuzwe Mwenyezi Mungu daima. Amina.
Mungu awa bariki sana tena sana🎉❤❤
Yesu ni bwana
Mungu abaliki sana wa ndugu na dada ktk jina la yesu kristo
Naitwa esperance kutoka Rwanda
Sasa hii assamble inukuwa wapi??
I'm blessed to find this kwaya from Luanda- Angola estou abençoado encontrando este grupo coral.
God bless you sisters. Very soon, I will be there with you
May the lord almighty bless richly our beloved sister those who are plying to the piano, j sui tellement epenter Que le seigneur Notre Dieu soi vtre soutien en touts cest vtre frere aurateur nsenga a Cape town south Africa MARANATHA.
@Boboto Beatrice exactement ma soeur
Amen Cher soeur egallement
God bless you
N'a amini buana neno lako
Rafiki, Peleka Shaka zako kwake Yesu mwokonzi.
Naamini neno lako
Ce tabernacle se situe où ?
Thanks you
Nkolo apambola bino. Lokumu nionso ezongela ye.
Amen.
Amen 🙏💓
Hii church hukuwa wapi?
Slvpl donné nous lyrics