Mama Jimmy, si hizo ni vyombo mingi unajiwekea aki kwa sink? But umewatengenezea balanced diet. Nakupenda tu sana. Siku ingine tuonyeshe how you cook your own style of pilau
Why are you concerned about what she cooks for her family? She is trying her best to keep her family fed. There's children dying of hunger. Some of y'all lakini..Appreciate people's efforts without nit picking
Nachukia hiyo smoke alarm😅. Kwanza kwetu Australia walileta sheria, iko kila room, ( bedroom, living, kitchen , hallway) moja ikilia zote zinalia. Nilikua na blow dry nywele in my room wacha ilie, zote zikalia .mama akatoka mbio hadi kitchen😂. Na hivyo ndivyo nilibaniwa from blow drying in the house .
Just a reminder mama Jimmy, to cover your hair completely or tie it up. It’s dangerous for health especially if it gets to the lungs. Remember we all learn every day. Do not feel bad please.
Thank you Ma Jimmy for the hard work taking care of your family! You are a good role model to many of us even way older than you
We love you and your content 🎉🎉 keep going mama jimmy ❤❤👏👏👏
Thanks ❤
Wow good job mama jimmy you are doing great
Its Cynthia for me😊so cute 🥰
Good job mama Jimmy
Tasa esauti mwana wefwe kupotea njia ndio kujua good job ❤❤❤❤
Awesome.....
Watu wa mama Jimmy pitieni kwangu tugrow pamoja
I love egg and cheese sandwiches mama Jimmy😊Good job on your channel,it's growing steadily 🎉
Mama nakupa bacon tent, fanya na baba Jimmy how well do you know each other Mtu kama anapata wrong anapakwa unga kwa face
Okay
NICE TO SEE YOU PEOPLE ONCE MORE AGAIN❤
Hello team mama jimmy nipitieni to grow pamoja ❤
Nawapenda sana
Thanks
Mama Jimmy uko poa ❤🎉
Good girl keep up
Kazi tamu
Good Mama Jimmy ❤
A wholesome supper
Mama Jimmy, si hizo ni vyombo mingi unajiwekea aki kwa sink?
But umewatengenezea balanced diet.
Nakupenda tu sana. Siku ingine tuonyeshe how you cook your own style of pilau
Thanks ❤
Looks yummy!
Naona umeanza kupatia watoto snaka kama sapa na ni waluhya😂
Mama Jimmy tupikie pilau
Always face pan handles kwa side ways to avoid kitchen accidents.
This isn't supper,tuambie ukweli wewe utashiba mkate na mayai for supper?
Why are you concerned about what she cooks for her family? She is trying her best to keep her family fed. There's children dying of hunger. Some of y'all lakini..Appreciate people's efforts without nit picking
Nunua toaster
Niko nayo 🥰
Ongea nanguvu plzzzzz
Kabla umalize kupika unakuanga umeshiba already😊😊
🤣🤣🤣🤣
Use the cutting border pls 🙏
Nilitumia confirm vizuri
@@MamaJimmyOfficial😂😂mwambie
Nachukia hiyo smoke alarm😅. Kwanza kwetu Australia walileta sheria, iko kila room, ( bedroom, living, kitchen , hallway) moja ikilia zote zinalia. Nilikua na blow dry nywele in my room wacha ilie, zote zikalia .mama akatoka mbio hadi kitchen😂. Na hivyo ndivyo nilibaniwa from blow drying in the house .
Sipendi inainterrupt🤣🤣
Kwanini tumbo inakusumbuwa sihiyo mimba
Wacha kulamba mikono wakati unapika uko ulaya😢
Naskia wakisema ati hiyo advice ujiwekee😂😂😂😂
We pika yako bila kulamba wherever you're from
Nani ameletwa huku na Cinthia 😂
❤
Muko poa mama j
Meant kacontent
Mama Jimmy, stop adding fake hair ... God wants us to be natural
Mama jimmy learn how to greet people as part of introduction.......
Just a reminder mama Jimmy, to cover your hair completely or tie it up. It’s dangerous for health especially if it gets to the lungs. Remember we all learn every day. Do not feel bad please.
Nkt mind you business
Nothing to do but comment negatively, us mama Jimmy says they wait for mistakes
Her hair is covered enough she should and will be just fine
Wewe achana na mama Jimmy, wewe huoni amefunga nywele
Wewe achana na mambo ya mama Jimmy! Fanya mambo yako wivu tu na roho mbaya unaonesha uko nayo
Caver your hair when cooking, please, Mama J
Ako kwa nyumba yake na hizo ni braids hakuna shida.
Kwani anakupikia wewe?
Kwani hajacover😂😂😂nyinyi wasee kwani mnaangalia wapi😂😂😂mind your own business banaa😂
Wewe Hua uncover ukisishasonga rasta. Leave the lady alone. She is brave