Ĥizo chapati ni mbaya, usingeweka mtandaoni. Pia neno kuunda sijui umelitoa wapi, sio kiswahili sahihi Neno kuunda halihusiani na shughuli za jikoni. Hongera Mama Jimmy kwa jitihada zako. Pia ùsijiongeleshe mwenyewe, tuongeleshe wanamtandao tukusikie,
Kenyan food kweli ni delicious!, asante Jubilee, umeroll chapati size poa. Pan ndio ilikua ndogo. Mama Jimmy usijali, bila chai, muluya si muluya.😂😂😂😂😂❤❤❤❤
My daughter for good results ya Chapo, kausha kwanza both sides bila mafuta, then weka mafuta u fry both sides again. Try this next time zitakuwa golden brown
Napenda your content mama jimmy but I think unafaa utumie microphone ndio atleast tukuskie vizuri some of the videos sauti hatusikii Kuna video ilifanya juzi na microphone and I really enjoyed it shida ni ulizitoa badae
Mama Jimmy you are doing a great job. Can you please watch videos on how to make better chapatis please? Watch on RUclips you will learn. Just a polite advice
@mama jimmy try putting your spices nyama ikishika mafuta so that the taste itakua even because ukiweka your spices Kwa soup that taste itakuwa different...you can even season the chicken 30 minutes before and make a sauce with mayonnaise,ketchup , soysauce small chicken soup mixed together than kuweka kuku yako soup anyway i still love your cooking and your food is amazing ❤
Nafurahia ukiwa na jubilee . Nampenda sana jubilee mtoto mzuri na hodari. Allah ambarik
Ĥizo chapati ni mbaya, usingeweka mtandaoni. Pia neno kuunda sijui umelitoa wapi, sio kiswahili sahihi
Neno kuunda halihusiani na shughuli za jikoni. Hongera Mama Jimmy kwa jitihada zako.
Pia ùsijiongeleshe mwenyewe, tuongeleshe wanamtandao tukusikie,
Jubilee should be part of your content. You vibe so much together. Good content
Huwezi kuunda vyakula!
Unaweza kuunda magari.
Jubilee apate tu mwanaume mjaluo wa kanisa ya owuor,she's so lovely and social
Jubilee is my fav❤Beautiful soul
Great content ma Jimmy please Kaushal Chapo before oiling for better results kuiva huko mwisho mwisho......we love Ur content ❤
sure
Okay
Exactly 💯 iyo pan ni ndogo Chapo hazitoshei so mwisho round zote hazija iva
Kenyan food kweli ni delicious!, asante Jubilee, umeroll chapati size poa. Pan ndio ilikua ndogo. Mama Jimmy usijali, bila chai, muluya si muluya.😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Mama Jimmy Walmart inakuwaga na ile flat pan mzuri ya chapo kama ya nyumbani.
Thanks for sharing! Good team work too with your lovely family
Mama jimmy and jubilee you make a good team 👏👏,, sweet and interesting vlog 🎉🎉❤❤ yummy yummy food 😋😋
Content iko top notch💯,,,,lakini🤔Kuku ya 2022?,,,,,, anyways😅😅
Yesss the intro is here
I love it mama jimmy ❤️
Wow jubilee anaroll vizuri❤
Jubilee ni karembo na roho safi,hanapika Chapo vizuri🎉
Hizo chapo za Jubilee ziko eeextra round....wow ☺️
Jubilee unaroll kunishinda..good job na mum jimmy uko good chef kwa kupika kuku iyo greens inaongeza appetite..bonne appetite to you and your guest 😊
Chapati hazijaiva vizuri mama jimmy they should cook to golden brown
Walahi😂😂😂😂
My daughter for good results ya Chapo, kausha kwanza both sides bila mafuta, then weka mafuta u fry both sides again.
Try this next time zitakuwa golden brown
That dress is so nyce...buy more of that type...jubilee is so lively
Veeeeerry nice 😊😊😊
Barikiwa sana
The food looks yummy as always ❤❤❤
Kila mtu na style yake please.
the intro was everything
I love you mama jimmy,lakini chapo hazijabrown aki...unakausha chapo halafu unaweka mafuta
Napenda your content mama jimmy but I think unafaa utumie microphone ndio atleast tukuskie vizuri some of the videos sauti hatusikii Kuna video ilifanya juzi na microphone and I really enjoyed it shida ni ulizitoa badae
Mama Jimmy, sema kutengeneza sio kuunda.
mama G ako sawa, chapo inauundwa nguo inatengenezwa😊
Kabisa 😂😂@@austineodhiambo4095
Lovely jubilee, God bless you🙏
jubilee anajua kuroll kunishinda good job❤❤
Mama Jimmy get a microphone sometime tunang'ang'ana kukusikia
Mama Jimmy you are doing a great job. Can you please watch videos on how to make better chapatis please? Watch on RUclips you will learn. Just a polite advice
Thanks ❤
Hiyo dustbin kanyaga tu Kama wapika maana waweza sahaunkuosha mkono
Jubilee is a vibe mama Jimmy ❤❤❤more content na yeye
Jubilee is great sister-in-law. You are blessed Mama Jimmy
Thanks ❤
Good job mama Jimmy na Jubilee next mtupikie mandazi
Chapo mbona hamuroll for layers? Then unatoa haraka na kando ni white.
Jubilee great job for perfect circles.
Aki cynthia kweli ni mkenya hadi anapanda juu
Mama Jimmy ensure the pressure cooker pot is dry before you put it in the exterior housing.
Mama chimmy chapo ni mbichi
Jubilee amevaako vizuri mama jimmy salimiako jimmy
Great content mama ebu try using a bigger pan ❤
mnapendeza , kazi nzuri. Muundie Jubilee youtube channel yake..
Good team work ❤❤
Mama Jimmy, so.. So.. So kila saa.
Team kupitiana nipitieni niwapitie tugrow please ❤
hizo chapati nazo hapana
Leo chapati zinapikw bila Joan, her favorite 😊
Nipitieni we grow together guys
Mmepikako chapo bila kuinvolve Joan woiye
We love you mama Jimmy but sauti iko chini Sana sana
Kofia yako na jubilee nj mzuri mama jimmy
Jubilee soon naona atakuwa content creator mnoma❤
Love you daughter, you are as same age with my daughter. Good work but uwe ukifanya content na jubilee I love her
Khandi,jina CHUPILEE,inatokelezeako wapi? Asking in peace ✌️😅
Next time tupikie samosa
Watu WA mama Jimmy pitieni kwangu tugrow pamoja
Leo mmepeleka Joan wapi? Anyway I love you guys ❤
❤❤❤❤❤
Premier gang mniadd aki
2022,iko fresh kweli?
Jubilee Ako smart ❤❤
Ati kuku ni ya 2022?..yawa
Awuoro sana.
Mama Chimmy unsema hautakiko mafuta nyingi kwa chakula yako lakini unaweka mafuta kama yote ukikaranga😅.
😂
Great cooking,next time you can use paprika n Tumeric,gives stews good taste and beautiful color
🥰🥰
Kindly use kitchen claves when cooking
@@emilymasiga4456 What are claves? And when did Kenyans start using gloves while cooking!
Acha kupatia watu advice hazina mwelekeo
@@emilymasiga4456 Mama Jimmy is a very clean lady so mbona avae gloves akipikia Familia yake?Wewe nunua hizo “claves” uvae 😂
Jubilee is very mature at her age...she rolls very perfect circles for chapoo
Yani mama jimmy umeenda America ukafundisha mpaka inlaws wako kiswahili, thts nice and she speaks nice kiswahili lakini accent ya kiluhya😂😂😂
😂😂
Mama Jimmy tafuta flat pan for your chappati
Kutoka jana hujatoa nguo mama jimmy nrusheni mawe😂😂😂😂
Hakuna mawe just elewa kuna time difference ya Kenya na America 😂😂hio Jana uliona akifanya kazi ya nyumba sio leo😂😂😂
What about alifanya usafi asubuhi na akapika jioni ni vile ame weka video mara mbili
You can do better girl. These videos were made the same day. You don't always have to criticize.
Love jubilee❤
More ❤ to Jubilee
Say "hi" to our Baby Jubilee 😊😊
chicken ya 2022 tuko 2024
Next Cook macaroni veshamel ❤ with cheese and meat
I love jubilee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
But kwa kuku umeweka salt mingi+spicis,wah
Ulionja ukaskia?
😂😂@@Life_42424
Dark soy sauce pia husaidia kubadilisha rangi ya chakula na kuthicken stew na kuongeza ladha..
Weka spices kwa nyanya Ive nayo ndio uweke kuku
kaa! mama jimmy unapika chapati mbichi unaharakisha kutoa kabla hajakuwa brown
Hiyo kuku kama ni boiler mama jimmy umeandika kwa kuweka maji miiingi na chumvi pia wueeeh imezidi five handfuls mwana
Ilikuwa sana
Jubilee is the best ❤
Guys tipitianeni tugrow,, nipite nikupitie back
Mimi naona chapo iko fitie mbona mna complain na sio nyinyi mtakula😂😂😂
Kila mtu na taste yakeeeee😂😂😂 cna ubaya aki
😂😂😂wanakula kwa macho
Kweli kabisa😂😂😂😂😂😂❤❤
I LOVE JUBELEE SO MUCH
Chakula tamu
When to put dania?
People cook different dear
Jubilee ni karembo
Aki hiyo chumbi si ni mob
Kauza chapo side zote 2 kabla uweke mafuta
Ok
@mama jimmy try putting your spices nyama ikishika mafuta so that the taste itakua even because ukiweka your spices Kwa soup that taste itakuwa different...you can even season the chicken 30 minutes before and make a sauce with mayonnaise,ketchup , soysauce small chicken soup mixed together than kuweka kuku yako soup anyway i still love your cooking and your food is amazing ❤
Napenda content yako na jubilee
Jubilee knows how to roll chapati well❤❤
so........
Jubilee is very mature at her age...she rolls very perfect circles for chapoo