Uchaguzi wa Marekani: Biden amwambia Putin kuwa Marekani haitaondoka Ukraine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Kinyang’anyiro cha urais wa Marekani kati ya Rais Joe Biden na rais wa zamani Donald Trump bado lengo liko katika mzozo mwingine wa sera ya mambo ya nje - Rais Biden atuma ujumbe kwa Putin kuwa Marekamni haitaondoka Ukraine. Na Donald Trump adai kuwa Marekani imeshapeleka misaada mingi.
    VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
    Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
    Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
    Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
    Jiunge na VOA Swahili:
    » Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
    »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
    »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
    »Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
    »Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili.com/
    »Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
    »Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
    »Tufuatilie katika X: / voaswahili
    »Tufuatilie katika RUclips: / @voaswahili

Комментарии • 18

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 17 дней назад +5

    Mko vzr ila muache upendeleo wa kupendelea magharibi

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 17 дней назад +6

    Uwepo wa marekani n janga kwa dunia bora afutike yeye mdo chanzo cha vita duniani yeye n nani atapigika vzuri2 yeye na umoja wawajnga nato

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 16 дней назад

      Mtoto wa kahaba 😂😂😂lini utakuwa nahakilii lini urus china Korea ..linii wametoa msadaa popote wakimbiziiii unawasaidia ww 😂😂😂😂 yanii ww na maviiiii 😂😂😂

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 16 дней назад

      @@liberatusjackson5045 we c shoga unezoeya misaada ya kishoga utapewq2 msaada mtoto wa kiume unataka kusaidiwq watakusaidia mpaka kuingiza

    • @toymadebho7048
      @toymadebho7048 16 дней назад

      Huy0 anatka misaada yavidonge vya ukimw au😅😅😅

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 15 дней назад

      ​@toymadebho7048 😂😂😂😂😂😂 hakuna vya bure😂😂😂😂😂

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 15 дней назад

      ​@@liberatusjackson5045Acha ubwege wewe kibuyu unaishi kwaajili ya msaada

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 17 дней назад +2

    Mmmh na ndo maana halisi kwamba Marekani na Ulaya wanapigana na Urusi siyo Ukraine inapigana na Urusi

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 16 дней назад +2

    Dunia huru ndio dunia gani?
    Au ndio ile ya kulawitiana?

  • @ibba8082
    @ibba8082 17 дней назад +3

    FEDHA ZINAZO TOLEWA MSAADA ZINAHISHIA MIFUKONI MWA WAMAREKANI NA VIONGOZI WA UKRENIA,WANAJESHI NA RAIA WANAKUFA BURE😮

  • @ABUUKAJEMBE-vk8ql
    @ABUUKAJEMBE-vk8ql 16 дней назад +1

    Ww kaaa cc tunaendelea kuchukua miji2

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 17 дней назад +2

    Kuwepo kwako akuna maana uko.ata china aina mpango marekani.

  • @user-er3bl3ng7i
    @user-er3bl3ng7i 17 дней назад +2

    Iyo ni kwel❤

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 14 дней назад

    Huyu Hana anachopoteza, muda wowote mungu anaweza kumhitaji yeye watu kufa haoni shida.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 16 дней назад

    Babu hana mpya huyo akae Pemben anaharibu dunia

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 17 дней назад +3

    Wewe km ahuta ondoka marekani urusi itahendelea kupiga ucrene baiden amesha kosa kwenye uchaguzi serekali km marekani inachukua pesa yabwana inchi ilikusaidia ucrene n'a izraeli uku wamarekani wanao pesa yao wana hangaika ukiwa raisi mzee basi akili azifanyi kazi tena vizuri 😂😂😂😂😂😂