MTOTO ACHINJWA SHINGONI KWA MSUMENO, MWENYEWE ASIMULIA "NILIKUWA NATOKA HOTELINI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии •

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 12 часов назад +5

    HUYO MTOTO ANANYANYASIKA SANA NA WEWE MAMA MZAZI NI MJINGA SANA TENA MPUMBAVU SANA UNAMTELEKEZA KWA MTU AMBAYE CY NDUGU. MKAMATENI ACHAPWE FIMBO. MAMA MZAZI.

  • @KassimallyKassim
    @KassimallyKassim 12 часов назад +2

    Saa kumi na moja jaman c Giza kbs

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 10 часов назад +2

    Zibua Kofi Moja tu huyo mama wa mtoto azinduke ngombe hii mshenzi sana huna akili Yani nataman ningekuwa jirani hapo sijui😭😭

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 12 часов назад +3

    😭😭😭😭 Jamani 😢😢 kwanza saa 11 iyo ya asubuh au usiku km ya asubuh kwanini unamtuma Mtoto km uyo kupeleka mahalage 😢😢 uyo mama wa kufikia kachangia Kwa asilimia % wallah

    • @khamiskhamis2131
      @khamiskhamis2131 7 часов назад

      Si ndio malezi ya wamama wakufikia hlf ss wababa baadhi hatuna sauti kwa wake zetu unamtumaje mtoto muda huo

    • @mwajumakweli
      @mwajumakweli 6 часов назад

      @khamiskhamis2131 Mitihani kwa kweli

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Час назад

    Subuhanallah. Huyo mbaba alokukaba na kutaka kukuchinja kwa sababu gani mbonaanaroho mbaya hivyo mtoto kamkosea nn 😢 kunawatu wapo wanaroho mbaya.

  • @NeemaKimario-o7h
    @NeemaKimario-o7h 3 часа назад

    Ulimwacha amlee au awe mfanyakazi wake!! Saa 11 na maharage mgahawani wapi na wapi!

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 3 часа назад

    Isee nimechoka

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 11 часов назад +1

    Umemuacha mtoto kwa mtu ukaenda kutafuta kazi lakini umeenda kutafuta na mtoto mwingine

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 12 часов назад +1

    HV WEWE MAMA WAKUFIKIA UTAMTUMAJI MTOTO MDOGO NA GZA LIKIWEPO?MI MAMA KM HII HAIFAI KUISHI

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 11 часов назад +1

    Mmmh yaan mtoto saa11 na dk45 mtoto mdogo anatumwa khaaa hata kama sio mtoto wako

  • @Nuraida-r8x
    @Nuraida-r8x 4 часа назад

    Isije kuwa kachinjwa na huyo anayekaa nae kisha wanaficha

  • @azizahassan6803
    @azizahassan6803 3 часа назад

    😭😭